Baada ya miaka 30 sababu inayowafanya wanawake kuzama kwenye dini sio wokovu. Kijana shtuka

Either unajua au haujui past yake ni bora kuwa ruthless kwenye kumuhukumu mwanamke kuliko kuacha hizo soft spot moyoni mwako.

Ukiwa ruthless hata kama instincts zako zilikudanganya au zilikuambia ukweli bado utabaki salama. Lakini ukiwa soft kuna uwezekano ukajiingiza kwenye mtego.

Ni bora kuwa ruthless tu kwamba uko makanisani wanaenda kuwawinda nice guys na church boys baada ya kumaliza kufanya exploration kwenye dating pool. Ukiingiza softness kwamba kuna wengine wapo tofauti tayari ushaachia goli
 

Subiria kina Evelyn Salt watoke Saloon wake wakujibu Mchana kweupe kupinga hili bandiko lako
 
Either unajua au haujui past yake ni bora kuwa ruthless kwenye kumuhukumu mwanamke kuliko kuacha hizo soft spot moyoni mwako.
Kujua ukweli kuhusu hadithi ya mtu uliyoamua kumtumia kutoa ushauri sio kuwa soft, ni kuwa mkweli.

Wanaofikiria kubadili tabia baada ya kuwa na historia mbaya wana haki ya upande wa hadithi zao kuhadithiwa kwa ukweli.

Ukiwa ruthless hata kama instincts zako zilikudanganya au zilikuambia ukweli bado utabaki salama. Lakini ukiwa soft kuna uwezekano ukajiingiza kwenye mtego.
Tatizo si ushauri kwa Simps, tatizo ni uhalisia uliousema wa sababu ya uwepo wa hao mabinti hapo kanisani.

Pengine kiu yako ya kushauri Simps imekublind ukawapachika sababu tofauti na sababu halisi ya wao kuwepo kanisani. Unless ni hadithi ya kufikirika ili ufikishe ujumbe otherwise kujua ukweli wa upande wa pili ni sahihi.
 
Wapo wengi sana uko makanisani na kwa wanaojiita manabii. Hao wawili ni mfano tu kwa sababu nawajua moja kwa moja.
 
Kuokoa ni kitu kizuri,tatizo wanaenda kanisani huku wakiwa hawapo tayari kubadilika. Wanawataka church boys ila still bado zile lifestyle zao wamezificha kwenye koti la dini na bado kuna maex ana connection nao. Ndio maana siku hizi kwenye group la michango ya ndoa, mwanamke anapata ujasiri wa kuwaweka maex wake kwenye hilo group wa mchangie, mixer kuwasumbua kwa simu na meseji.Ndio maana siku hizi mechi wenyewe wanaziita za kuagana zinachezwa sana ile wiki moja ya kufunga ndoa, utakuta bi harusi na ex wake wanakamuana baada ya hapo wanapeana hela za mchango.

Kuna wengine huwaga maombi yao ni magumu kusikilizwa sababu ya kufarakanisha ndoa au familia ya mwanamke mwenzie kipindi hiko yy yupo kwenye ubora wake, so vile vinyongo walivyo beba wale wanawake ,ndivyo vinavyo mfanya hata aombe vipi mume hapati,sababu hajaenda kuwaface kuwaomba msamaha.

Kuna mabinti wanabisha ila kwa mabinti 30+ ndoa kwao ni muujiza mkubwa ndio maana wamegeuka deal kwa wachungaji na waganga wa kienyenyeji na wanastress sana, hawa mabinti wenye hela ambao wao 30+,kuna wahuni wanazila sana hela zao na wengine hufikia hatua ya kuwablackmail ili tu wapate hela zao. Ila wakiwa mbele ya kadamnasi, wanavyo ziponda ndoa utazani hawazihitaji.
 
Wapo wengi sana uko makanisani na kwa wanaojiita manabii. Hao wawili ni mfano tu kwa sababu nawajua moja kwa moja.
Na mimi nawaongelea hao wawili tu uliowatumia. Je ni kweli wapo kanisani kutafuta ndoa? Inawezekana jibu ni kweli au si kweli.

Kama ni kweli no problem, upo sahihi.

Kama si kweli then umetumia identity ya watu wawili kusema uongo ili hadithi ifit kwenye kukata kiu yako ya kuwashauri Simps and that's where the problem is, sababu hadithi ya hizo identity zina haki ya kusemewa ukweli.
 
Ni kweli sio vibaya kuokoka na hata Mungu mwenyewe anasamehe kama ukitubu kwa kudhamiria. But it doesn't means from that moment her past fade away. Emotional baggages bado zipo, comparisons bado zipo, kama alishanya abortions au kutumia vidonge maana yake damages bado zipo.

Bila kujali ameokoka au ametubu, mimi sishauri kijana kwenda na hawa wanaojirebrand. Nenda na mwanamke ambae bado ana purity na innocence, and those traits live in young women.
 
Kwa utafiti wangu mimi ni kweli lengo lao na wengine wengi kukimbilia makanisani umri ukianza kuwatupa mkono ni kujirebrand. Kama unafikiri kuna sababu nyingine basi wewe ndio upite huko makanisani ufanye utafiti wako na kutuletea majibu.

Kuhusu mfano wa hao wawili nisingeweza kuwatumia wote kuanzia wa kwa mwamposa, kwenye upepo wa kisulisuli n.k ndio maana hao wawili wakatumika kama mfano
 
Wakiristo tunaamini YESU ni MUNGU aliyekuja duniani kupitia mwanamke. Complicated but it's faith.

MUNGU alipotaka mwanamke amzae YESU alimtafuta bikira hakutafuta kahaba aliyestaafu ila YESU ambaye ni MUNGU alizuia mwanamke mzinzi asipigwe mawe, aliruhusu mwanamke mzinzi amuoshe miguu.

FUNZO: Regardless ya historia ya mwanadamu na makosa yake, anapoamua kubadilika anapaswa kuheshimiwa na kupokelewa kama sehemu ya jamii kama YESU alivyompokea mwanamke aliyemuosha miguu.

Ikitokea kuna anayeamua kujihusisha na mwanadamu aliyebadili tabia kimahusiano hapaswi kupuuza historia yake kama ambavyo MUNGU hakupuuza historia ya atakayemzaa YESU.
 
Siwaongelei wengi uliowafanyia utafiti.

Nawaongelea hao wawili tu uliowatumia kwenye hadithi yako.

Umewachagua kama perfect candidates wa kutumika kutoa ushauri kwa Simps, sawa, Je ni kweli wapo kanisani wakitaka ndoa au ni hisia zako zilizoongozwa na kiu ya kushauri Simps zimekupeleka huko?
 
Ya Mungu tumwachie Mungu, ya wanadamu tuwaachie wanadamu.
 
Ule UKIMWI ulinifanya Nikaiogopa ngono sana. Unamuona binadamu mwenzako Kawa kama kijiti, madonda mdomoni, ute mweupe, chakula ni uji mwepesi na ananyweshwa na mtu anamuogopa utadhani anategua bomu.

Gen-Z hawaujui UKIMWI wenyewe! Sababu ya shudu; kwa sisi tuliouona UKIMWI wa 2005 kushuka chini, moto ni wa kuogopa sana. 😊
 
Ni kweli wapo kanisani wanataka ndoa
 
Piga tena kwenye mshono bado wanapumua 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…