Afisa_Nkai
JF-Expert Member
- Jul 5, 2025
- 504
- 1,071
kangekosekana haka huu uzi ungekuwa batili (null and void)Don’t be a simp
kangekosekana haka huu uzi ungekuwa batili (null and void)Don’t be a simp
Ukiongelea purity unatafuta vita ya tatu, kuna dada alinimind utazani bikra yake niliitoa mimi. Bikra kwa kiasi kukubwa ni solutions ya vitu vingi kwani ni kielelezo cha uaminifu, uvumilivu, heshima na utii ,adabu,hofu ya Mungu,Maadili nk,bikra haina mbadala na kitu chochote kile, likija swala la ndoa. Sema siku hizi wanaume tunawasitiri mabinti tunao waoa na hawalijui na kuliheshimu hili.Ni kweli sio vibaya kuokoka na hata Mungu mwenyewe anasamehe kama ukitubu kwa kudhamiria. But it doesn't means from that moment her past fade away. Emotional baggages bado zipo, comparisons bado zipo, kama alishanya abortions au kutumia vidonge maana yake damages bado zipo.
Bila kujali ameokoka au ametubu, mimi sishauri kijana kwenda na hawa wanaojirebrand. Nenda na mwanamke ambae bado ana purity na innocence, and those traits live in young women.
Purity ianzie na kwa mwanaume anayetafuta Bikra, sio mwanaume amechakaza wasichana kibao huko, afu akitaka kuoa anataka akute bikra, itatoka wapi wakati yeye alisha chakaza huko nyuma.Ukiongelea purity unatafuta vita ya tatu, kuna dada alinimind utazani bikra yake niliitoa mimi. Bikra kwa kiasi kukubwa ni solutions ya vitu kwani kielelezo cha uaminifu, uvumilivu, heshima na utii ,adabu nk,bikra haina mbadala na kitu chochote kile, likija swala la ndoa. Sema siku hizi wanaume tunawasitiri.
Mfano tu ambao juzi mwanangu alinisimulia ana ex wake anajiandaa kuolewa mwezi huu, mahusiano yao na yajua na demu alimwacha mwana,akaenda kwa ex wake baada ya miezi mitano akapigwa chini na kuomba kurudiana na mwana, alibembeleza sana mwana kakaza, mwana alikuwa akimpiga block anabadilisha line, baadae akachoka akawa hapokei simu zake.Demu anaolewa kamuadd jamaa kwenye group la send off, jamaa akaona poa akamwambia atamchangia na kweli akamtumia hela ya mchango wake. Zimebakia wiki mbili, demu analazimisha amletee mwana kadi ya mwaliko kwake mwana anapoishi, wakati anaweza kumtumia kwenye WhatsApp, mpaka hapo kabisa unaona demu anatafuta nini na hapo hujui je ex wake wa mwanzo unaweza kukuta wanawasiliana na binti ana miaka 32.Nilimshauri tu hasiende na amzungushe amwambie amesafiri kikazi.
Si yeye mimi mwenyewe nikuwa added kwenye group la michango la ex wangu na siku hizi kawaida,madem kuwaadd maex wao kwenye magroup ya send off zao.
Hahaha, washenzi kweli.Mkuu, wengi wana agenda aliyoisema mleta mada. Mpango wa kuokoka kwa dhati kabisa hawana. Wataokoka kimaigizo kama huko "kuokoka" kutampa matumaini ya kupata Mume.
Akiona siku zinaenda hapati Mume anaacha vyote ;Yesu,Kanisa na Wokovu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nina ushahidi wa kutosha sana kuhusu hili. Yaani mtu anataka aombewe apewe Mume on the spot. Mambo ya kumwambia Mungu hachelewi wala hawahi huwa hawaki kusikia kabisa!🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kimsingi ni kwamba walio wengi,hawamtaki Yesu ila vya Yesu including Mume mwema wanavitaka🤣🤣🤣🤣🤣
Ni kweli ila bora mwanamke tu ajitunze maana sasa mwanaume yeye akiamua kuacha uhuni hata trace inaweza futika kirahisi.Purity ianzie na kwa mwanaume anayetafuta Bikra, sio mwanaume amechakaza wasichana kibao huko, afu akitaka kuoa anataka akute bikra, itatoka wapi wakati yeye alisha chakaza huko nyuma.
Lol
Mimi sina kabisa ratiba ya kwenda kanisani. Nikienda kanisani basi kuna event yenye umuhimu wa kuwepo mfano kipaimara, kumunio ya kwanza, ubatizo wa mtoto wa ndugu wa karibu au ndoa ya ndugu au rafiki wa karibu sana. Sasa siku za nyuma nipo kanisani nikawaona wadada wawili nikajiuliza nimeziona wapi hizi sura.
Wapi nimewaona hawa? Baada ya kurudisha kumbukumbu kidogo ndio nikakumbuka ooooh ni Sandra na Grace(sio majina yao halisi). Wanafanya nini kanisani tena mbele kabisa mmoja wao akiwa ameshika microphone mkononi.
Kwa kifupi Sandra na Grace walikimbiza mtaa kwa zaidi ya miaka 10 enzi zao. Niliishi nao mtaa mmoja maeneo ya Mwenge wakati huo mimi nilikua bado mtoto. Pale Mwenge mpakani zamani kulikua na kiwanja kinaitwa silent inn. Hawa wadada wawili walikua masuperstar pale. Baadae silent inn ikabomolewa kupisha ujenzi wa barabara. Sandra na Grace wakaamishia harakati zao meeda bar. Pale sinza ambapo ipo kitambaa cheupe sasa hivi. Zamani kulikua na bar inaitwa meeda. Ilikimbiza sana zama za Mkapa.
Baadae Sandra na Grace waliama mtaani na mimi pia kwenye harakati za maisha nikaondoka mtaani. Nikabaki na swali jingine. Nini kimewaleta kanisani? Tena wapo mbele kabisa kule. Nikapata jibu oooh ndoa, wamekuja kutafuta ndoa, wanataka kustaafu, wapo kanisani kuwalaghahi nice guys na church boys.
Kwa kuwaangalia kwa kusema kweli hata kupiga bure lazima ujiulize kwanza. Sio wale wadada hotcake wa enzi zao. The looks have faded so much they can't even land customers again. The best bet is a christian brother that will have to wait untill marriage to touch her
Idadi ya wanawake makanisani ni kubwa zaidi ya wanaume, na tafiti zinaonyesha wanawake wenye umri mkubwa ndio wahudhuriaji zaidi uko makanisani. Haijatokea hivyo kwa miujiza au by coincidence, isipokua ni life cycle. They pivot to religion for rebranding when the dating market stops rewarding their choices.
Gents, pick young women who are not used up for marriage. Your father picked your mother young and fresh. He never looked for maturity, he simply looked for youthfulness. Because the truth is women don't mature, they just get old. There's really not much difference between a 30 plus years and 18 years old women. The only difference is the older woman has lost value on the sexual market, but they are all still childish. When they faced with tough situation, both will either call a man for help or just cry
Kusettle na mwanamke wa 30+ utalipia gharama ya uaribifu aliofanyiwa na wengine. Utalipia gharama ya usaliti aliofanyiwa na maex wake. Utalipia gharama ya kila chozi alilomwaga kwenye mahusiano yake ya nyuma. Utaingia kwenye uwanja wa vita ukifikiri ni upendo. You will say something simple and she will overreact like you hit a landmine, because you did. Men before you buried it there.
After more than a decade of partying and exporation in dating pool. Now her looks starts fading, she don't get attention like before and menopause is around the corner. She will rebranding herself as a matured and religious woman and start searching for a naive, fool and innocent man who will ignore her past, fix her mistakes and secure her future. Don't be that man.
Sielewi kwanini mpka leo hii tupo 2026 kuna wanaume wanadanganyika na rebranding. Your job is not to judge salvation. Your job is to protect your legacy. Verify her character. Check her past. Test her discipline, humility and teachability. This is not hate. This is clarity. Simps get trapped by guilt and religion performance. Alpha men evaluate patterns.
Go for a young and feminine woman. You didn't hustle building your life to end up with a left over.
Don’t be a simp
Kwa kweli kimoyomoyo huwa nashindwa kujizuia kucheka!😀Hahaha, washenzi kweli.
Sio vibaya kuoa mwanamke uliekutana nae kanisani maana hata wanawake wema pia wanaenda kanisani. Ila bila kujali umekutana nae mtaani, kanisani, sijui ameokoka, zingatia past yake. Hawa wanaojifanyia rebranding ni wa kuachana nao kabisaWanaume wote WAPUMBAVU na ma simp hukimbilia kanisani kutafuta wake BORA,waliokua nyuchi za mazoezi za Ma-PLAY BOY😃😆😆
Ila hawajui tu, kuna siri hii dunia haielezeki, sijui inakuaje ila mwanadamu anapobadilika kwa dhati, akaacha uovu ni kama kuna positive energy fulani inakuwa imemzunguka, background haifutiki lakini kuna heshima fulani hivi inajengeka taratibu na in time unashangaa anaheshimika zinabaki tu zile hadithi za kibanadamu za kusengenyana kwa wanaomjua alivyokuwa kabla.Kwa kweli kimoyomoyo huwa nashindwa kujizuia kucheka!😀
It's nature na ipo hivyo sio Africa mpak Ulaya sasa hivi kuna watu wanaitwa Passport Bros. Mwanaume hata awe malaya vipi au mlevi anapokuja kufanya maamuzi huwaga anatuliza kichwa kweli,hao binti anaye kutana nae huko batani/malaya,lazima ataopt binti aliye tulia na bikra ni best option kwa mwanaume yoyote duniani.Purity ianzie na kwa mwanaume anayetafuta Bikra, sio mwanaume amechakaza wasichana kibao huko, afu akitaka kuoa anataka akute bikra, itatoka wapi wakati yeye alisha chakaza huko nyuma.
Lol
Haswaaa.Mifano ni mingi akiwemo Mtume Paulo lakini wenzetu hawa hawataki process. Wanataka tit for tat!.Ila hawajui tu, kuna siri hii dunia haielezeki, sijui inakuaje ila mwanadamu anapobadilika kwa dhati, akaacha uovu ni kama kuna positive energy fulani inakuwa imemzunguka, background haifutiki lakini kuna heshima fulani hivi inajengeka taratibu na in time unashangaa anaheshimika zinabaki tu zile hadithi za kibanadamu za kusengenyana kwa wanaomjua alivyokuwa kabla.
Siyo kwenye umalaya tu, hujawahi kutana na watu walikuwa majambazi wa kutupwa ila leo anakaa kwenye mikutano ya kijiji na ushauri wake unathaminiwa. Inabaki tu ila huyu Jamaa enzi zake....
Bila shaka hawezi kukupa hiyo pesa hata kama anayo, na hii ni ishara ya kwamba wakati wanashawishiwa huwa wanakua na option ya kusema hapana.It's nature na ipo hivyo sio Africa mpak Ulaya sasa hivi kuna watu wanaitwa Passport Bros. Mwanaume hata awe malaya vipi au mlevi anapokuja kufanya maamuzi huwaga anatuliza kichwa kweli,hao binti anaye kutana nae huko batani/malaya,lazima ataopt binti aliye tulia na bikra ni best option kwa mwanaume yoyote duniani.
Halafu bikra ni mali ya mwanamke, ipo chini ya maamuzi ya mwanamke na Mungu kampa akili na utashi imsaidie kwenye kufanya maamuzi yahusianayo na roho na kimwili. Hawashikiwagi bunduki wakati zikitolewa, japo wanadai kwamba wanashawishiwa na wanauume,Okay tufanye kweli wanashawishiwa, hivi leo nikimshawishi binti niliyekutana nae labda hata kwa wiki,anipe laki moja,je atanipa kisa tu nimemshawishi?
Unawafungua bongo sana vijana, lakini sikio la kufa...!Mimi sina kabisa ratiba ya kwenda kanisani. Nikienda kanisani basi kuna event yenye umuhimu wa kuwepo mfano kipaimara, kumunio ya kwanza, ubatizo wa mtoto wa ndugu wa karibu au ndoa ya ndugu au rafiki wa karibu sana. Sasa siku za nyuma nipo kanisani nikawaona wadada wawili nikajiuliza nimeziona wapi hizi sura.
Wapi nimewaona hawa? Baada ya kurudisha kumbukumbu kidogo ndio nikakumbuka ooooh ni Sandra na Grace(sio majina yao halisi). Wanafanya nini kanisani tena mbele kabisa mmoja wao akiwa ameshika microphone mkononi.
Kwa kifupi Sandra na Grace walikimbiza mtaa kwa zaidi ya miaka 10 enzi zao. Niliishi nao mtaa mmoja maeneo ya Mwenge wakati huo mimi nilikua bado mtoto. Pale Mwenge mpakani zamani kulikua na kiwanja kinaitwa silent inn. Hawa wadada wawili walikua masuperstar pale. Baadae silent inn ikabomolewa kupisha ujenzi wa barabara. Sandra na Grace wakaamishia harakati zao meeda bar. Pale sinza ambapo ipo kitambaa cheupe sasa hivi. Zamani kulikua na bar inaitwa meeda. Ilikimbiza sana zama za Mkapa.
Baadae Sandra na Grace waliama mtaani na mimi pia kwenye harakati za maisha nikaondoka mtaani. Nikabaki na swali jingine. Nini kimewaleta kanisani? Tena wapo mbele kabisa kule. Nikapata jibu oooh ndoa, wamekuja kutafuta ndoa, wanataka kustaafu, wapo kanisani kuwalaghahi nice guys na church boys.
Kwa kuwaangalia kwa kusema kweli hata kupiga bure lazima ujiulize kwanza. Sio wale wadada hotcake wa enzi zao. The looks have faded so much they can't even land customers again. The best bet is a christian brother that will have to wait untill marriage to touch her
Idadi ya wanawake makanisani ni kubwa zaidi ya wanaume, na tafiti zinaonyesha wanawake wenye umri mkubwa ndio wahudhuriaji zaidi uko makanisani. Haijatokea hivyo kwa miujiza au by coincidence, isipokua ni life cycle. They pivot to religion for rebranding when the dating market stops rewarding their choices.
Gents, pick young women who are not used up for marriage. Your father picked your mother young and fresh. He never looked for maturity, he simply looked for youthfulness. Because the truth is women don't mature, they just get old. There's really not much difference between a 30 plus years and 18 years old women. The only difference is the older woman has lost value on the sexual market, but they are all still childish. When they faced with tough situation, both will either call a man for help or just cry
Kusettle na mwanamke wa 30+ utalipia gharama ya uaribifu aliofanyiwa na wengine. Utalipia gharama ya usaliti aliofanyiwa na maex wake. Utalipia gharama ya kila chozi alilomwaga kwenye mahusiano yake ya nyuma. Utaingia kwenye uwanja wa vita ukifikiri ni upendo. You will say something simple and she will overreact like you hit a landmine, because you did. Men before you buried it there.
After more than a decade of partying and exporation in dating pool. Now her looks starts fading, she don't get attention like before and menopause is around the corner. She will rebranding herself as a matured and religious woman and start searching for a naive, fool and innocent man who will ignore her past, fix her mistakes and secure her future. Don't be that man.
Sielewi kwanini mpka leo hii tupo 2026 kuna wanaume wanadanganyika na rebranding. Your job is not to judge salvation. Your job is to protect your legacy. Verify her character. Check her past. Test her discipline, humility and teachability. This is not hate. This is clarity. Simps get trapped by guilt and religion performance. Alpha men evaluate patterns.
Go for a young and feminine woman. You didn't hustle building your life to end up with a left over.
Don’t be a simp
Uzi mzima hauna wanawake?Idadi ya wanawake makanisani ni kubwa zaidi ya wanaume, na tafiti zinaonyesha wanawake wenye umri mkubwa ndio wahudhuriaji zaidi uko makanisani. Haijatokea hivyo kwa miujiza au by coincidence, isipokua ni life cycle. They pivot to religion for rebranding when the dating market stops rewarding their choices.
Akaona unamchelewesha hahaha.Haswaaa.Mifano ni mingi akiwemo Mtume Paulo lakini wenzetu hawa hawataki process. Wanataka tit for tat!.
Kuna mmoja alinijia akasema amechoka kuishi peke yake. Anataka Mume!. Sasa Mimi najua kanuni za kiroho za Mungu kumkirimia mtu mema yake, ikiwemo Mume au Mke mwema.
Basi nikamwambia "hili kwa Mungu ni jambo dogo sana cha msingi zingatia 'password' za Mungu nitakazokupa halafu zifanyie kazi". Akaona namchelewesha!. Akaamua ajitafutie Mume kwa njia anazozijua yeye. Akakutana na muhuni,'akamchezea' kisha akapita na akiba ya pesa zake alizokuwa amejiwekea kwa miaka kadhaa(millions). Kwa maelezo ya mdada mwenyewe yule muhuni aliingilia gia ya kutaka kumuoa na akahakikisha mdada wa watu anaamini kabisa kwamba sasa amepata Mume!. Kumbe🤣🤣🤣🤣🤣🤣