Baada ya miaka 30 sababu inayowafanya wanawake kuzama kwenye dini sio wokovu. Kijana shtuka

Baada ya miaka 30 sababu inayowafanya wanawake kuzama kwenye dini sio wokovu. Kijana shtuka

Mtoa mada una akili sana!
Mwanamke ni mtu mwerevu!
Mwanamke ni bingwa wa kujificha kwa mazingira "Camouflage"!

Fear women.

Nje ya mada; Umetaja Silent inn, menikumbusha kitambo around 2001-2005 nikiwa sekondari, kilikuwa ni bonge la kiwanja, mambo Isidingo; mademu nusu uchi fegi mdomoni. Watu walikuwa wakipiga starehe mitaa hiyo, kulikuwa hapo, DDC-Mlimani Park- Survey, Igongwe Mwenge, Kwa macheni Magomeni.
Kwa udogo wetu, sisi tukikuwa tunapita tuu mitaa hiyo kuangalia wakubwa wanavyokula bata, hasa siku zile kulikuwa na matamasha, wasanii na shows. Asubuhi ni pakti za kondomu zimezagaa, vizibo vya bia na sindano za mateja/wala unga. 😊
Note: UKIMWI umepukutisha watu hapo sio poa.
Yah kweli kuna Kaka zangu wao walikua hawana pesa za kiingilio kwahiyo walikua wanazamia kwa kupenye juu ya paa na kutokea chooni.
 
Ni kweli. Na wakiona siku zinaenda tu wanachokitaka hawakipati,wanahama fasta sana. Yaani huwa wananichekesha sana.

Kuna mmoja alinijia kwa gia ya kuomba ushauri wa kiroho kumbe yupo mawindoni(anawinda Mume). Nilimbloku chap!
Ndiyo Tabia zao hao na tena wana fosi ndoa yani akili zao za kijinga yani utashangaa umetongoza leo yeye anataka baada ya mwezi mmoja umuoe.Mwanaume mwenye akili timamu hawezi kufanya ujinga huo wa kuoa kirahisi kihivyo.
 
Shida ni kwamba hawaokoki kweli!

😂

Hii code imekuwa wazi sana nadhani tutafute nyingine!

Kuna usemi unasema hivi; ukitaka imani yako itetereke kaa karibu na overly-religious people!
Na kuna wale wadada ambao hawaendi kanisani, ila wanakukubali sababu wanaume ambao ndo first choice zao hawaeleweki

Anakuangalia anapiga hesabu anajisemea kichwani huyu mwanaume sio handsome kihivyo, hana hela nyingi ila ana kikazi chake, na ni mtu anaonekana yupo responsible, hatokimbia familia, mpambanaji na atakua a good and responsible father, ngoja nijiegeshe hapa maana ninaowataka hawanitongozi, wanapiga na kusepa, wengine ninaowataka hawako tayari kuoa na hawana hela ya kuhudumia familia

binti kiziwi Natafuta Ajira
 
Back
Top Bottom