Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Yaani she wa soo smart, alikuwa ana kuchapa za usoo, alikuwa anakubishia na facts hata kama ni za mchongo atazinoa to her advantage mpka utaomba poo. Halaf alivyo kuwa anajiamni kwenye majibizano ni as if mtu asiye na cha kupoteza aisee Jadda rudi uokoe jahazi huku 😂😂 ila all in all deep down huwa tunajua kabisa ila ego na ujuaji vinatusumbua..Aisee kama Jadda kaelewa basi kazi kubwa mlifanya kwa kweli mana Mimi nilijaribu Kidogo nikasema huu mziki siuwezi nikakimbia na JF nikawa naogopa kuingia hahahahah