Baada ya miaka 30 sababu inayowafanya wanawake kuzama kwenye dini sio wokovu. Kijana shtuka

Kusettle na mwanamke wa 30+ utalipia gharama ya uaribifu aliofanyiwa na wengine.
Nimequote hayo maneno yako hapo...Daah, nimetaka kucheka ila pia nimeumia na kuona kama umewadhalilisha sana Wanawake...kwhy 30+ ages wanakuwa wameharibiwa

Anyway, umeandika mambo ambayo naamini yana ukweli kabisa.
 
Yapo mapambano mengine makali zaidi kati yangu na Gunner labda tu haujapita pita vizuri kitambo humu, au labda hili la leo limekufurahisha zaidi 🤣
Hili la leo lilinifurahisha sana kwa sababu mwisho ikaonekana Sasa pambano la ulingoni live live ndio suluhisho... Nikawa nasubiri tarehe ya pambano vitasa live hahahahah
Ufeminist umejengwa katika dhana ya uhuru, tukiwa huru kama mlivyo nyie hatutaki kuambiwa chochote kuhusu bikra zetu sababu tuko huru kuzitoa muda wowote.

Hatuingilii preferences zenu kutaka bikra lakini tunawauliza maswali yale yale anayoyauliza cocastic hapo kwenye comment section hamna haja ya mi kuyarudia.
Sasa wakati Ninyi mpo huru na miili yenu pia na sisi tupo huru na standards Zetu,, kwaiyo Miongoni mwenu awe huru kutumia mwili wake atakavyo lakini na sisi ikifika mda tunapeana code kuhusu Mwanamke wa kuoa asitokee Tena Mmoja wenu akatupangia Kipi Cha kusema Kipi Cha kuacha Kila mtu yupo huru...

Ila hili hamliwezi/Hamlitaki kwa sababu Kuna benefits zitakosekana.

Ndio mana brother Natafuta ajira anasema Bado feminists hawaelewi wanachokitaka,,, patriarchy hawataki ila Kuna benefits zake wanazitaka ,, Na usawa wa kijinsia wanautaka ila Kuna Disadvantages zake hawazitaki.

Mfano utasema kuwa feminism inataka Haki sawa Kwenye fursa, ajira na nk alafu Kwenye suala la usawa wa provision useme feminism haimaanishi hivyo,, hii ni bias na selfishness naona!!! Kwanini usawa usiwe hadi Kwenye Provision??

Kama ni usawa simamieni usawa Kwenye Kila kitu,, Ila hilo hamuwezi kwa sababu mnajua mkisimama Kwenye msimamo huo baadhi ya benefits za traditional Patriarchy mtazikosa na Ninyi mnazitaka kwa sababu zina maslahi Kwenu.
 
Hatuingilii preferences zenu kutaka bikra lakini tunawauliza maswali yale yale anayoyauliza @cocastic hapo kwenye comment section hamna haja ya mi kuyarudia.
Huwezi kukwepa lawama za Makosa eti kwa kusingizia ushawishi.

And too me mtu Bora aniambie amefanya Makosa kwa kuwa ameteleza au amepitiwa ila akiniambia kwa sababu nilishawishiwa ndio namuona Hana Akili kabisaaaa.
 
Hili la leo lilinifurahisha sana kwa sababu mwisho ikaonekana Sasa pambano la ulingoni live live ndio suluhisho... Nikawa nasubiri tarehe ya pambano vitasa live hahahahah
Kuna majamaa nasikia waliitana wakazichape tabata sijui wapi 🤣

Sasa wakati Ninyi mpo huru na miili yenu pia na sisi tupo huru na standards Zetu,, kwaiyo Miongoni mwenu awe huru kutumia mwili wake atakavyo lakini na sisi ikifika mda tunapeana code kuhusu Mwanamke wa kuoa asitokee Tena Mmoja wenu akatupangia Kipi Cha kusema Kipi Cha kuacha Kila mtu yupo huru...
Kupingwa sio kupangiwa, ni natural human being kuargue kwenye kitu chochote. Kupangiwa ni pale tutakapofanikisha kupitisha zote kisheria which is impossible, mpaka leo movement yetu inastruggle kupenya kwenye mambo ya msingi, sembuse mambo yasiyomsingi ambayo ni choice binafsi? Come on!

Ila hili hamliwezi/Hamlitaki kwa sababu Kuna benefits zitakosekana.

Ndio mana brother Natafuta ajira anasema Bado feminists hawaelewi wanachokitaka,,, patriarchy hawataki ila Kuna benefits zake wanazitaka ,, Na usawa wa kijinsia wanautaka ila Kuna Disadvantages zake hawazitaki.
Tunaelewa tunachokitaka, labda yeye haelewi tunachokitaka, misimamo yetu iko wazi na iko documented, again mfenimia mmoja mmoja aliyepata mapokeo popote akienda ndivyo sivyo haiwezi kuwa kauli ya moja kwa moja ya feminism.
Mfano utasema kuwa feminism inataka Haki sawa Kwenye fursa, ajira na nk alafu Kwenye suala la usawa wa provision useme feminism haimaanishi hivyo,, hii ni bias na selfishness naona!!! Kwanini usawa usiwe hadi Kwenye Provision??
Hakuwezi kuwa na usawa kwenye provision kwasababu kuna kitu sisi tunaprovide ninyi hamuwezi.

Btw, hapa tutarudishana kwenye mila na desturi za jamii husika. Mwanaume wa kiafrica ukimuondolea provision anabaki na nini?

Kama ni usawa simamieni usawa Kwenye Kila kitu,, Ila hilo hamuwezi kwa sababu mnajua mkisimama Kwenye msimamo huo baadhi ya benefits za traditional Patriarchy mtazikosa na Ninyi mnazitaka kwa sababu zina maslahi Kwenu.
Kwasababu nanyi pia mnapata maslahi kwa wanawake, iweje mwanamke akitaka maslahi kwenu mna kuwa wakali?
 
Kuna majamaa nasikia waliitana wakazichape tabata sijui wapi 🤣
I'm not good on arguing hasa na wewe ila ngoja nijaribu,, nikizidiwa brother Elevenn atakuja kunisaidia hahahahaha
Kupingwa sio kupangiwa, ni natural human being kuargue kwenye kitu chochote. Kupangiwa ni pale tutakapofanikisha kupitisha zote kisheria which is impossible, mpaka leo movement yetu inastruggle kupenya kwenye mambo ya msingi, sembuse mambo yasiyomsingi ambayo ni choice binafsi? Come on!
Na huko kupinga Kwenu kuko rooted Kwenye benefits ambazo mtazikosa na sio kwamba mna urge the logic...

Ladies wanataka at their 20s akitembeze Kila kiwanja afanye Kila Cha kufanya kibaya au kizuri alafu pia anataka at her 30s awe na uhakika wa Ndoa. Sasa akisikia watu wanazungumzia Virginity au things alike lazime achanganyikiwe lazime aje aseme bikra ipo overrated ila ukisikiliza hoja. HAKUNA.
Tunaelewa tunachokitaka, labda yeye haelewi tunachokitaka, misimamo yetu iko wazi na iko documented, again mfenimia mmoja mmoja aliyepata mapokeo popote akienda ndivyo sivyo haiwezi kuwa kauli ya moja kwa moja ya feminism.
Misingi yenu haiko wazi kwa sababu feminism Bado inajitafuta(evolution) feminism imepitia phase kadhaa Hadi Leo na Kila phase ilikuwa quit different from the previous one kwaiyo kusema eti feminism iko wazi ni kama vile una ignore on going evolution ya feminism.
Hakuwezi kuwa na usawa kwenye provision kwasababu kuna kitu sisi tunaprovide ninyi hamuwezi.
Kitu gani hiko and how that inaweza kuelezewa Kwenye Misingi ya equality ya kifemina??

Namaanisha how feminism and it's pillars inaelezea legibility ya inequality Kwenye Provision btn genders??
Btw, hapa tutarudishana kwenye mila na desturi za jamii husika. Mwanaume wa kiafrica ukimuondolea provision anabaki na nini?
Are we arguing logically au tunaangalia social constructs??
Kwasababu nanyi pia mnapata maslahi kwa wanawake, iweje mwanamke akitaka maslahi kwenu mna kuwa wakali?
Maslahi Gani??
 
Wanawake hawa hawa hutoa zaidi ya laki kwa wanaume waliokutana nao baada ya siku 2 tu, achilia week, inategemea na ushawishi uliopo baina yao.Wanawake hawa hawa hutoa zaidi ya laki kwa wanaume waliokutana nao baada ya siku 2 tu, achilia week, inategemea na ushawishi uliopo baina yao.

Hilo kosa la bikra, linahusika kwa wote wawili wafanyao kuitoa kabla ya ndoa, sasa iweje lawama iwe kwa ke pekee? Na km bikra ni jukumu la mwanamke, mbona wanaolia kuikosa ni wanaume?

Nasemaje kilio ni endelevu, hemkwa kadri ya utakavyo. Ila ukweli ndio huo.

"Wanawake hawa hawa hutoa zaidi ya laki kwa wanaume waliokutana nao baada ya siku 2 tu, achilia week, inategemea na ushawishi uliopo baina yao."

Hayupo huyo mwanamke.

"Na km bikra ni jukumu la mwanamke, mbona wanaolia kuikosa ni wanaume?"

Hamna mwanaume anayelia kuikosa bikra, hapa ni sawa ukute mteja analalamika mbona Mastafeli hadimu, halalamiki bali anaonesha uhitaji wa Mastafeli hamna anaye lalamika. Mnaye lalamika ni nyinyi, ukiangalia Podcasts hasa za nje, swali ambali wanawake huwauliza wanaume why tunaprefer bikra au low body counts, so majibu yetu sometimes yanaonekana kama malalamiko, ila ndio kweli uhitaji wetu.

We si mzima.
"Hilo kosa la bikra, linahusika kwa wote wawili wafanyao kuitoa kabla ya ndoa, sasa iweje lawama iwe kwa ke pekee?"

Unamiliki kiwanja then akaja mtu akakushawishi, kukigawa bure so we unazani nani atabeba lawama? au inamaana wewe mmiliki ni bwege huna akili.Kwa akili zako wewe unaweza ukatoa hata ini, kisa umeshawishia kuna uwezekano unakili za kuvukia barabara.
 
Tatizo ni kwanini umeweka bias ya miaka 30, ikiwa mchezo kama huo unaweza ukachezwa hata na wanawake wa miaka 23, 25, 27.....?

Meanwhile wanawake wa miaka 30, 33, 35... Wanaweza pia wakawa waumini wakweli wasiokwenda kanisani kwaajili ya hayo?
23,25,27 bado ana options nyingi haihitaji kwenda kwenye upepo wa kisulisuli. From 30s mwanamke anaingia kwenye declining phase. Kama bado hana ndoa su mahusiano yenye muelekeo kunakus na ugumu kidogo hapa.
 
Kijana wa kiume anaye jitafuta kifedha, anafuatwa na binti au yeye ndio ana mfuata binti? Naomba uelewe dhana hapo.

Halafu sasa wanao lia sio wanawake kukosa wanaume wenye uwezo kifedha, ila ni wanaume kulia kukosa wanawake wenye bikra.

😂😂😂😂 kazi ipoo.
Naona hatujaelewana
 
Ufeminist umejengwa katika dhana ya uhuru, tukiwa huru kama mlivyo nyie hatutaki kuambiwa chochote kuhusu bikra zetu sababu tuko huru kuzitoa muda wowote.

Hatuingilii preferences zenu kutaka bikra lakini tunawauliza maswali yale yale anayoyauliza @cocastic hapo kwenye comment section hamna haja ya mi kuyarudia.
Hatukatai wanawake kuwa na sexual freedom, tunachosisitiza ni vijana kuoa bikira kuepuka na risk kama emotional baggage, comparisons, inability to bond, spiritual complexity n.k. Kwahiyo ukiamua kutumia haki yako ya uhuru wa ngono uamuzi wako utaheshimiwa. Vilevile mwanaune ambae preference yake ni bikira uamuzi wake uheshimiwe.

Ilo swali la cocastic ameshalileta hapa na limeshajibiwa sana tangu uko juu. Mnachokosea kwenye movement zenu za ufeminia ni kuassume kwamba mwanaume na mwanamke wapo uniform kwenye kila kitu.

Promiscuous past inachafua zaidi CV kwa mwanamke, na yapo mengine mengine ambayo kwa mwanaume ni kipengere lakini mwanamke haathiriwi nayo mfano suala la kupendwa na kuthaminiwa ukiwa hauna tangible contribution yoyote kwenye mahusiano. Mwanamke anaweza kupendwa lakini mwanaume ni mpaka awe na cha kuleta mezani
 
I'm not good on arguing hasa na wewe ila ngoja nijaribu,, nikizidiwa brother Elevenn atakuja kunisaidia hahahahaha
Actually you are good! kwanza uko logical na una stick kwenye mada no BS. Gunner ha-argue if you know you know what he does, tuhuma zake ziko kila kona ya JF . Sitaki kualika allies hapa, huwa naamini naweza pekeyangu.
Na huko kupinga Kwenu kuko rooted Kwenye benefits ambazo mtazikosa na sio kwamba mna urge the logic...

Ladies wanataka at their 20s akitembeze Kila kiwanja afanye Kila Cha kufanya kibaya au kizuri alafu pia anataka at her 30s awe na uhakika wa Ndoa. Sasa akisikia watu wanazungumzia Virginity au things alike lazime achanganyikiwe lazime aje aseme bikra ipo overrated ila ukisikiliza hoja. HAKUNA.
Hamtaki tuwe na uhakika wa ndoa at our 30’s or 40’s whatever the cap mmetuwekea? now huoni tatizo hapa? (This’s controlling ) and we shouldn’t automate kuwa kila ambaye hajaolewa at 30’s alikuwa anakitembeza at 20’s hii ni inference. Yawezekana mimi nimekitembeza lakini maria hajakitembeza, kwanini mtuweke kwenye fungu moja? hii ni point yetu. Na kwanini mnatu-pressure into marrying in our 20’s huku ni kuingilia uhuru wetu binafsi, Lakini pia tusipoolewa kwensekwense kila mtu ata face ya kwake na tutawajibika, wengine tunarudi kanisani wengine tutaenda kwa waganga na wengine tutachill tu, Personally naona watu wa age zote wanaolewa……. unalisemeaje hili?

Pia usiseme tunachanganyikiwa, earlier nilikwambia kupinga ni kitu natural, ni kitu kile kile kama mnavyotupinga tukitumia miili yetu.
Misingi yenu haiko wazi kwa sababu feminism Bado inajitafuta(evolution) feminism imepitia phase kadhaa Hadi Leo na Kila phase ilikuwa quit different from the previous one kwaiyo kusema eti feminism iko wazi ni kama vile una ignore on going evolution ya feminism.
Kitu kikievolve hakifuti misingi, misingi ya feminism unaifahamu haki na usawa, acha kupindisha.
Kitu gani hiko and how that inaweza kuelezewa Kwenye Misingi ya equality ya kifemina??
Namaanisha how feminism and it's pillars inaelezea legibility ya inequality Kwenye Provision btn genders??

Are we arguing logically au tunaangalia social constructs??
ninachomaanisha ni “reproductive labour” pregnancy, childbirth na breastfeeding. Hizi ni contributions za biological ambazo mwanaume hawezi kutoa. Kwa hiyo kusema equality kwenye provision sinamaanisha kila gender lazima iwe na exactly the same form of contribution. Equality haimaanishi sameness. Shida ambayo huwa naiona ni kuwa huwa hamuangalii contribution kwa logic yake halisi bali mnalazimisha 50/50 ili muweze kuiwekea feminism upinzani.

Maslahi Gani??
No please! 😂
 
Hatukatai wanawake kuwa na sexual freedom, tunachosisitiza ni vijana kuoa bikira kuepuka na risk kama emotional baggage, comparisons, inability to bond, spiritual complexity n.k. Kwahiyo ukiamua kutumia haki yako ya uhuru wa ngono uamuzi wako utaheshimiwa. Vilevile mwanaune ambae preference yake ni bikira uamuzi wake uheshimiwe.

Na sisi hatujakataa vijana kuoa bikra. Kuna mahali tumekataa hili?

Emotional baggage blah blah sio issue ya gender, tulishalimaliza hili kwenye ule uzi, japo hatukukubaliana as usual .
Ilo swali la cocastic ameshalileta hapa na limeshajibiwa sana tangu uko juu. Mnachokosea kwenye movement zenu za ufeminia ni kuassume kwamba mwanaume na mwanamke wapo uniform kwenye kila kitu.

Promiscuous past inachafua zaidi CV kwa mwanamke, na yapo mengine mengine ambayo kwa mwanaume ni kipengere lakini mwanamke haathiriwi nayo mfano suala la kupendwa na kuthaminiwa ukiwa hauna tangible contribution yoyote kwenye mahusiano. Mwanamke anaweza kupendwa lakini mwanaume ni mpaka awe na cha kuleta mezani
 
Actually you are good! kwanza uko logical na una stick kwenye mada no BS. Gunner ha-argue if you know you know what he does, tuhuma zake ziko kila kona ya JF . Sitaki kualika allies hapa, huwa naamini naweza pekeyangu.
Gunner in expert wangu bn
Hamtaki tuwe na uhakika wa ndoa at our 30’s or 40’s whatever the cap mmetuwekea? now huoni tatizo hapa? (This’s controlling ) and we shouldn’t automate kuwa kila ambaye hajaolewa at 30’s alikuwa anakitembeza at 20’s hii ni inference. Yawezekana mimi nimekitembeza lakini maria hajakitembeza, kwanini mtuweke kwenye fungu moja? hii ni point yetu.
Hili ndio kosa ambalo naona mara nyingi unalifanya.... Kuwepo wanawake Wasio na tabia Furani hakutuzii sisi kuwazungumzia wale walio nayo Kwenye kundi Furani la umri.

Na kwanini mnatu-pressure into marrying in our 20’s huku ni kuingilia uhuru wetu binafsi, Lakini pia tusipoolewa kwensekwense kila mtu ata face ya kwake na tutawajibika, wengine tunarudi kanisani wengine tutaenda kwa waganga na wengine tutachill tu, Personally naona watu wa age zote wanaolewa……. unalisemeaje hili?
No one is pressuring you.. men are here discussing their standards and sharing codes,, of which u take it dangerous,, jee ni insecurity???
Pia usiseme tunachanganyikiwa, earlier nilikwambia kupinga ni kitu natural, ni kitu kile kile kama mnavyotupinga tukitumia miili yetu.
Tatizo ni kwamba mtu anakwambia bikra ipo overrated lakini Hoja zinazotolewa hazieleweki, ni kama vile Kuna panic!!!!
Kitu kikievolve hakifuti misingi, misingi ya feminism unaifahamu haki na usawa, acha kupindisha.
Kuna Misingi ya phase one Mingi ilifutika Kwenye phase two and so on feminism Bado haijawa stable Bado ina evolve Kila siku,, na Kila mtu ana feminism yake kulingana na matwaka yake.
ninachomaanisha ni “reproductive labour” pregnancy, childbirth na breastfeeding. Hizi ni contributions za biological ambazo mwanaume hawezi kutoa. Kwa hiyo kusema equality kwenye provision sinamaanisha kila gender lazima iwe na exactly the same form of contribution. Equality haimaanishi sameness. Shida ambayo huwa naiona ni kuwa huwa hamuangalii contribution kwa logic yake halisi bali mnalazimisha 50/50 ili muweze kuiwekea feminism upinzani.
Yaani hapa ndio hakuna hoja kabisa
Huwezi kuizungumzia inequality Kwenye Provision kwa sababu ya reproduction.
Moja
Ukitaka kujua kwamba kubeba mimba na kuzaa sio logic ya inequality Kwenye Provision

Jiulize jee ni sahihi mwanaume kuacha kumuhudumia mkewe atakapo jua kuwa Hana uwezo wa kuzaa Wala kubeba mimba??

Pili hakuna msingi wowote Katika Misingi ya feminism inayoweza kuelezea hili,,, kama upo niambie.

Pili nataka nikufafanulie reproduction na mchango wa Kila Mmoja Kwenye mchakato huo.
•utengenezwaji wa mbegu za uzazi(wote)
•Copulation/sex (wote)
•fertilization(wote)
•implantation(more of KE)
•pregnancy(KE)
•Delivery(KE)

From there on ni almost wanahusika wote au ME anazidi sometimes (usinitajie breastfeeding maelezo yake ninayo ukiyataka).

Sijaandika haya ku_underate mchango wa mama Zetu Kwenye kuzaliwa Kwetu ila mchango wa mwanaume Kwenye hili pia ukumbukwe.

Sasa nataka kusema hivi kama mkilazimisha kuwa inequality iwe rooted Kwenye reproduction potentials mlizo nazo Kuna sehemu mtakuja kukwama(nawasanua Japo najua wengi wenu hamjui hili)

Kwani Katika hatua za reproduction nilizotaja zile ambazo anashiriki KE Pekee yake Kuna Namna watu Wanaweza ku manipulate asihusike Moja kwa Moja,,, nadhani ushawahi kusikia kuhusu Mwanamke Mwengine kubeba ujauzito wa wanandoa wengine kwa malipo maalumu hii technologia inaondoa hiyo potential mnayojidai nayo.

Na kwa logic ya hii ni kwamba hakuna haja ya kumuhudumia Mwanamke kwa Maisha yote kwa kitendo Cha miezi tisa tuu... Ikiwa Kuna haja basi kumlipa fidia kwa ule mchango wake wa Ziada ni logic zaidi kuliko kusema iwe lifelong provision. Hii ni exploitation kama tutaitazama Misingi ya Usawa vizuri.
No please! 😂
 
Gunner in expert wangu bn

Hili ndio kosa ambalo naona mara nyingi unalifanya.... Kuwepo wanawake Wasio na tabia Furani hakutuzii sisi kuwazungumzia wale walio nayo Kwenye kundi Furani la umri.

No one is pressuring you.. men are here discussing their standards and sharing codes,, of which u take it dangerous,, jee ni insecurity???

Tatizo ni kwamba mtu anakwambia bikra ipo overrated lakini Hoja zinazotolewa hazieleweki, ni kama vile Kuna panic!!!!

Kuna Misingi ya phase one Mingi ilifutika Kwenye phase two and so on feminism Bado haijawa stable Bado ina evolve Kila siku,, na Kila mtu ana feminism yake kulingana na matwaka yake.

Yaani hapa ndio hakuna hoja kabisa
Huwezi kuizungumzia inequality Kwenye Provision kwa sababu ya reproduction.
Moja
Ukitaka kujua kwamba kubeba mimba na kuzaa sio logic ya inequality Kwenye Provision

Jiulize jee ni sahihi mwanaume kuacha kumuhudumia mkewe atakapo jua kuwa Hana uwezo wa kuzaa Wala kubeba mimba??

Pili hakuna msingi wowote Katika Misingi ya feminism inayoweza kuelezea hili,,, kama upo niambie.

Pili nataka nikufafanulie reproduction na mchango wa Kila Mmoja Kwenye mchakato huo.
•utengenezwaji wa mbegu za uzazi(wote)
•Copulation/sex (wote)
•fertilization(wote)
•implantation(more of KE)
•pregnancy(KE)
•Delivery(KE)

From there on ni almost wanahusika wote au ME anazidi sometimes (usinitajie breastfeeding maelezo yake ninayo ukiyataka).

Sijaandika haya ku_underate mchango wa mama Zetu Kwenye kuzaliwa Kwetu ila mchango wa mwanaume Kwenye hili pia ukumbukwe.

Sasa nataka kusema hivi kama mkilazimisha kuwa inequality iwe rooted Kwenye reproduction potentials mlizo nazo Kuna sehemu mtakuja kukwama(nawasanua Japo najua wengi wenu hamjui hili)

Kwani Katika hatua za reproduction nilizotaja zile ambazo anashiriki KE Pekee yake Kuna Namna watu Wanaweza ku manipulate asihusike Moja kwa Moja,,, nadhani ushawahi kusikia kuhusu Mwanamke Mwengine kubeba ujauzito wa wanandoa wengine kwa malipo maalumu hii technologia inaondoa hiyo potential mnayojidai nayo.

Na kwa logic ya hii ni kwamba hakuna haja ya kumuhudumia Mwanamke kwa Maisha yote kwa kitendo Cha miezi tisa tuu... Ikiwa Kuna haja basi kumlipa fidia kwa ule mchango wake wa Ziada ni logic zaidi kuliko kusema iwe lifelong provision. Hii ni exploitation kama tutaitazama Misingi ya Usawa vizuri.
BINTI KIZIWI alitoa ubikra wake kwa tamaa ya chips akiwa under 18
Im joking anyway
 
Gunner in expert wangu bn

Must be nice 😂
Hili ndio kosa ambalo naona mara nyingi unalifanya.... Kuwepo wanawake Wasio na tabia Furani hakutuzii sisi kuwazungumzia wale walio nayo Kwenye kundi Furani la umri.
Na mimi hainizuii kuweka opinion yangu hapa, Hamtaki kuona maoni tofauti…?

No one is pressuring you.. men are here discussing their standards and sharing codes,, of which u take it dangerous,, jee ni insecurity???
Nikisema nina insecurity kwenye hili tutamove on? kuwa hii ni stereotype na ni cage mnayomfungia nayo mwanamke gafla nabandikwa kuwa nina insecurity, Sasa kumaliza utata niseme hivi yes nina insecurity. Utanikuta kwenye mada karibu zote za wanawake kwa stance ile ile, infact mada zote za liberation huko pia utaniambiaje?

Btw, sijakataa at all ninyi kupeana code, kama kuna mahali nimekataa niletee hapa.

Tatizo ni kwamba mtu anakwambia bikra ipo overrated lakini Hoja zinazotolewa hazieleweki, ni kama vile Kuna panic!!!!
Mnaona kuwa ni panic sababu ya “nia” wasome watu ujue wamesimamia wapi usiassume tu kuwa wamepaniki. (ni makosa lakini sababu ni mjadala i will let it pass)

Kuna Misingi ya phase one Mingi ilifutika Kwenye phase two and so on feminism Bado haijawa stable Bado ina evolve Kila siku,, na Kila mtu ana feminism yake kulingana na matwaka yake.
Weee tell me about it. Sitaki kukubandika moja kwa moja kuwa hujui feminism au unajua lakini unachekecha mambo. Labda tu huipendi au vyovyote. Nina acknowledged kuwa feminism kama movement ina mapungufu yake, lakini ni kati ya movement bora zilizowahi kuwepo duniani, kwangu mimi huwa naiweka next to democracy.

Yaani hapa ndio hakuna hoja kabisa
Huwezi kuizungumzia inequality Kwenye Provision kwa sababu ya reproduction.
Moja
Ukitaka kujua kwamba kubeba mimba na kuzaa sio logic ya inequality Kwenye Provision

Jiulize jee ni sahihi mwanaume kuacha kumuhudumia mkewe atakapo jua kuwa Hana uwezo wa kuzaa Wala kubeba mimba??
Habari mbaya huwa wanaachwa kabisa sio tu kuacha kuhudumiwa.

Equality sio sameness. Feminism hakuna mahali imesema mwanamke na mwanaume wako sawa katika maumbile, kwahiyo tukiyatumia maumbile hayo ku-unequalize provision huoni ni sahihi?!
Pili hakuna msingi wowote Katika Misingi ya feminism inayoweza kuelezea hili,,, kama upo niambie.
Haupo, ndio kati ya mapungufu ya feminism katika kujaribu kutafuta usawa, sijui wali skip au walitaka tu tusitie huruma.

Pili nataka nikufafanulie reproduction na mchango wa Kila Mmoja Kwenye mchakato huo.
•utengenezwaji wa mbegu za uzazi(wote)
•Copulation/sex (wote)
•fertilization(wote)
•implantation(more of KE)
•pregnancy(KE)
•Delivery(KE)
Lol, we na mwanamke wako ni sawa likija suala la reproductive labour? Acha matani basi.

From there on ni almost wanahusika wote au ME anazidi sometimes (usinitajie breastfeeding maelezo yake ninayo ukiyataka).
Ulaya au bongo land?

Sijaandika haya ku_underate mchango wa mama Zetu Kwenye kuzaliwa Kwetu ila mchango wa mwanaume Kwenye hili pia ukumbukwe.
Feminism hai-deny mchango wa mwanaume… lakini inaona si wa usawa na mwanamke , which is natural.

Sasa nataka kusema hivi kama mkilazimisha kuwa inequality iwe rooted Kwenye reproduction potentials mlizo nazo Kuna sehemu mtakuja kukwama(nawasanua Japo najua wengi wenu hamjui hili)

Kwani Katika hatua za reproduction nilizotaja zile ambazo anashiriki KE Pekee yake Kuna Namna watu Wanaweza ku manipulate asihusike Moja kwa Moja,,, nadhani ushawahi kusikia kuhusu Mwanamke Mwengine kubeba ujauzito wa wanandoa wengine kwa malipo maalumu hii technologia inaondoa hiyo potential mnayojidai nayo.
Analipwa eenhe surrogate mother, analipwa bei gani? sasa mkeo akizaa huwa unamlipa. Naiona haja yako ya kutaka nielewe hoja yako, kwanza naielewa, pili with all due respect, hii ni ngumu achana nayo.

Na kwa logic ya hii ni kwamba hakuna haja ya kumuhudumia Mwanamke kwa Maisha yote kwa kitendo Cha miezi tisa tuu... Ikiwa Kuna haja basi kumlipa fidia kwa ule mchango wake wa Ziada ni logic zaidi kuliko kusema iwe lifelong provision. Hii ni exploitation kama tutaitazama Misingi ya Usawa vizuri.
Huyo huyo mwanamke ambaye anatumikia miezi 9, na bado anafanya kazi after na bado anajenga familia yenu ndio unamzungumzia kwa namna hii?

Yes naiona haja ya feminism kuwa rooted zaidi, cause what is this!!!!!!
 
Must be nice 😂

Na mimi hainizuii kuweka opinion yangu hapa, Hamtaki kuona maoni tofauti…?
Hatuwezi kupinga ni natural hiyo. Shida wanawake hawataki men wapeane codes.
Nikisema nina insecurity kwenye hili tutamove on? kuwa hii ni stereotype na ni cage mnayomfungia nayo mwanamke gafla nabandikwa kuwa nina insecurity, Sasa kumaliza utata niseme hivi yes nina insecurity. Utanikuta kwenye mada karibu zote za wanawake kwa stance ile ile, infact mada zote za liberation huko pia utaniambiaje?
Ooh sorry... Niliposema insecurity haikuwa wewe it was general
Btw, sijakataa at all ninyi kupeana code, kama kuna mahali nimekataa niletee hapa.

Mnaona kuwa ni panic sababu ya “nia” wasome watu ujue wamesimamia wapi usiassume tu kuwa wamepaniki. (ni makosa lakini sababu ni mjadala i will let it pass)
Ukiliangalia vizuri utagundua urging Yao sio kwa logic imejaa hisia sana.
Weee tell me about it. Sitaki kukubandika moja kwa moja kuwa hujui feminism au unajua lakini unachekecha mambo. Labda tu huipendi au vyovyote. Nina acknowledged kuwa feminism kama movement ina mapungufu yake, lakini ni kati ya movement bora zilizowahi kuwepo duniani, kwangu mimi huwa naiweka next to democracy.
Sasa inabidi tufungue literatures na mjadala utakuwa mrefu sana en I'm not ready for it. Muda mrefu sana niliwahi kuwa na mjadala na member Furani kuhusu hili and it was so long.
Habari mbaya huwa wanaachwa kabisa sio tu kuacha kuhudumiwa.
Not our concern kuachwa ,, swali jee itakuwa sahihi huduma isimame??
Equality sio sameness. Feminism hakuna mahali imesema mwanamke na mwanaume wako sawa katika maumbile, kwahiyo tukiyatumia maumbile hayo ku-unequalize provision huoni ni sahihi?
Kuyatazama maumbile kwa Ujumla wake au kwa baadhi ya mambo yatakayo wa favour Ninyi?
Mana wanaume nao Wana bailogical potentials zao.
Haupo, ndio kati ya mapungufu ya feminism katika kujaribu kutafuta usawa, sijui wali skip au walitaka tu tusitie huruma.
Sasa kwanini unasisitiza feminism Misingi yake ipo wazi ilihali kina vitu muhimu ina miss
Lol, we na mwanamke wako ni sawa likija suala la reproductive labour? Acha matani basi.
Unanipachikia maneno,,, this is not Fair!!!!
Ulaya au bongo land?

Feminism hai-deny mchango wa mwanaume… lakini inaona si wa usawa na mwanamke , which is natural.

Analipwa eenhe surrogate mother, analipwa bei gani? sasa mkeo akizaa huwa unamlipa. Naiona haja yako ya kutaka nielewe hoja yako, kwanza naielewa, pili with all due respect, hii ni ngumu achana nayo.
Naona mkuu umeanza kutumia hisia hapa tunajadili logic,,, Sasa mambo ya kuwa Mimi namlipa mke wangu naona sio sawa.
Huyo huyo mwanamke ambaye anatumikia miezi 9, na bado anafanya kazi after na bado anajenga familia yenu ndio unamzungumzia kwa namna hii?
Mmhh mkuu stick Kwenye logic. Sio hisia Mimi nimechallenge msingi wenu na reason yenu feminism Kwenye inequality in provision,,, so unatakiwa unijibu logically sio kwa hisia.
Yes naiona haja ya feminism kuwa rooted zaidi, cause what is this!!!!!!
It's just a challenge mkuu.
 
Back
Top Bottom