ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Namtumikia Mungu kwa miaka zaidi ya 19 sasa. So, nazijua vizuri sana attitude za wanawake wengi when it comes to 'church going'😀Aisee dah
Kuna tofauti kati ya Mke wa kujitafutia mwenyewe na Mke wa kupewa na Mungu. The choice is yours!Ila haya mambo ya mke Mtarajiwa wiki Moja kabla ya Ndoa kubanduliwa na Ex zake huwa inakata Sana
Inauma Sana yaani kitaa wanajua kuwa unapigiwa
Sawa mtumishiNamtumikia Mungu kwa miaka zaidi ya 19 sasa. So, nazijua vizuri sana attitude za wanawake wengi when it comes to 'church going'😀
Just because umekuzwa kwenye familia ya kilokole una insecurity watanionaje nisipo enda... Unasingizia integrity wakati unajua fika hakuna integrity kwenye kwenda sehemu uliyo I outgrow?...As in how? Seen na nani?
Kila kitu tena? 😂 Wewe umedata... Si ulesama ya kuwa mna bishana linapokuja swala la patriarchy!? Na anawaweka accountable, nilipo sema ua advocate hukutaka ya kuwa Uta advocate upande hata wa accountability... Haya vipi huo upande? Uko tayari?Mbona mi na Natafuta ajira tunafahamu kuwa huwa tunapingana kwenye almost kila kitu. Tatizo lako ninini?
Ni catch feelings? Kwako ama?Hili pia wala sielewi maana yake, umecatch feelings mara hii?
How is this even your concern? Na nani alikwambia nimekuzwa kwenye familia ya kilolole acha vimbwaga Gunner, hubadilikagi!Just because umekuzwa kwenye familia ya kilokole una insecurity watanionaje nisipo enda... Unasingizia integrity wakati unajua fika hakuna integrity kwenye kwenda sehemu uliyo I outgrow?...
Ulikuwa unasema uniweke kundi gani ndio nikakwambia sihitaji kukwambia nimeokoka au lah integrity inaamua, bado haujafanyia kazi comprehension skills , jitahidi it’s not a rocket science 🤣Eti integrity like serious uudanganye umati kuwa hiyo ni integrity Unachekesha ujue! Live who you are na ndo wanawake madhaifu yenu hayo mko radhi kubaki kwenye mahusiano just because na nyie muonekane mmeolewa hata kama hamna feelings na huyo mtu ila anamawe(kuonekana vipi na jamii)
“Neno almost” hapo umelikwepa shwaaaa! Kama tu unavyokwepaga facts ukiwa unataka kutoa opinions zako.Kila kitu tena? 😂 Wewe umedata... Si ulesama ya kuwa mna bishana linapokuja swala la patriarchy!? Na anawaweka accountable, nilipo sema ua advocate hukutaka ya kuwa Uta advocate upande hata wa accountability... Haya vipi huo upande? Uko
Finally mkia wako umeutoa nje, kama kawaida character assassination ndio kete yako maarufu humu,tayari?
Ni catch feelings? Kwako ama?
Mimi nakwambia uache kujimwambafy, unapenda sana..
Sasa bikra itapatikana vipi, wakati zinatolewa kabla ya ndoa??Ni kweli ila bora mwanamke tu ajitunze maana sasa mwanaume yeye akiamua kuacha uhuni hata trace inaweza futika kirahisi.
Mwanamke mara sijui nyonyo zimelala, mara bikira isiwepo, sijui kadi ya clinic ina miscariage, complication nyingi nyingi zinakuwa kama Alert inasema Hey my background ni balaa.
Sasa kwanini ushawishi bikra uitoe na unajua hutamuoa? Sasa bikra zitaendelea kuadimika kwa kuwa nature inataka hivyo.It's nature na ipo hivyo sio Africa mpak Ulaya sasa hivi kuna watu wanaitwa Passport Bros. Mwanaume hata awe malaya vipi au mlevi anapokuja kufanya maamuzi huwaga anatuliza kichwa kweli,hao binti anaye kutana nae huko batani/malaya,lazima ataopt binti aliye tulia na bikra ni best option kwa mwanaume yoyote duniani.
Halafu bikra ni mali ya mwanamke, ipo chini ya maamuzi ya mwanamke na Mungu kampa akili na utashi imsaidie kwenye kufanya maamuzi yahusianayo na roho na kimwili. Hawashikiwagi bunduki wakati zikitolewa, japo wanadai kwamba wanashawishiwa na wanauume,Okay tufanye kweli wanashawishiwa, hivi leo nikimshawishi binti niliyekutana nae labda hata kwa wiki,anipe laki moja,je atanipa kisa tu nimemshawishi?
Unaona! Unayaa kataa maneno yako mwenyewe? Unasema you're not religious hapohapo unasema una integrity ila ukiulizwa iko wapi unasingizia eti kanisani is a social place! Like serious how can a non religious person show up to wafia dini na akashiriki nao huku akiwa anajua kabisa they're lost? Nimekwambia hakuna integrity hapoo 🤣 unaishi kioga alaf unajiita Feminist! Shida kweli kweliHow is this even your concern? Na nani alikwambia nimekuzwa kwenye familia ya kilolole acha vimbwaga Gunner, hubadilikagi!
Pole kama unadhani mimi ni aina ya mwanamke ambaye huwa nasema “watu watanionaje” Kanisani ni social place , tunaenda na hatuachi.
Wewe usijifanye kusahau tuliko toka.... Unapenda sana kuswitch mabandiko tu your own concerns... Mara useme naenda kanisani nimetokea family ya kilokole mara ukatae kuwa ww sio religious, mara useme vita bado mbichi... Kwenda zako mwana hidaya wewe..Ulikuwa unasema uniweke kundi gani ndio nikakwambia sihitaji kukwambia nimeokoka au lah integrity inaamua, bado haujafanyia kazi comprehension skills , jitahidi it’s not a rocket science 🤣
Si kushambulii na kufanya uwe accountable kama unavyotaka iwe... Unapenda kuongea vitu usivyo vimaanisha na hiyo inakupunguzia maksi za feminism. Mimi naenda na wewe bampa tu bampa hakuna kuchenganaSio kwa wewe kuniambia nifanye advocacy! Nina advocate haki za wanawake already, na Natafuta ajira huwa tunakutana kwenye accountability, sababu feminism inaamini accountability. Na wala hatujawahi argue popote ukakuta ananishambulia kama unavyofanya wewe, do better!
Ahahahaha wewe wasema, mimi sina character assassination nina attack maneno ulosema ambayo ndo yata reflect character.. Maana what's character by the way?Finally mkia wako umeutoa nje, kama kawaida character assassination ndio kete yako maarufu humu,
Tulia tukuaweke sawa wewe acha kuwa triggered...Najimwambafy ni sawa, nina ego kama unavyoniambiaga wala sio uongo, jana umeniongezea nini? Toxic nini nini? bahati mbaya i will never shrink myself to make anyone feel better about anything, labda kama unatabia ya kusahau mi siombagi samahani kwa kuwa na tabia niliyonayo. Deal with it or get the f* out of my face. Kama haujazoea kukutana na wanawake kama mimi who are noisy and opinionated pole, hilo sio tatizo langu ni lako. Wewe sio JF’s mother supreme utake kudeal na tabia zangu.
They run, not because nawakwaza, ila nawahold accountable kwa hoja na kuwa taka watetee kile wanacho dhani kiko sawa. It's not my ego, it's their insecure asses. Huwa wanakimbia because they can't stand meNikuulize swali: Kuna mtu yeyote JF ushawahi kujadili nae msifikie kwenye mashambulizi binafsi? If you have a functional brain you will clearly see who is a problem here, but i guess again it’s me 😂😂😂😂😂😂 (napenda kuilisha ego yako)
I won’t understand it for you okay?! Nimekwambia kanisani people are lost? Sio kwamba tulikuwa tunajjadili kundi dogo la watu kanisani wanaoenda ndivyo sivyo? Usinilishe maneno sawa.Unaona! Unayaa kataa maneno yako mwenyewe? Unasema you're not religious hapohapo unasema una integrity ila ukiulizwa iko wapi unasingizia eti kanisani is a social place! Like serious how can a non religious person show up to wafia dini na akashiriki nao huku akiwa anajua kabisa they're lost? Nimekwambia hakuna integrity hapoo 🤣 unaishi kioga alaf unajiita Feminist! Shida kweli kweli
Nililetee sehemu niliposema nimetokea familia ya kilokole, kuna laki 2 yako hapa ukipata hiyo sehemu, ukiikosa niambie utanipa nini. (taja now kabla haujaenda kutafuta)Wewe usijifanye kusahau tuliko toka.... Unapenda sana kuswitch mabandiko tu your own concerns... Mara useme naenda kanisani nimetokea family ya kilokole mara ukatae kuwa ww sio religious, mara useme vita bado mbichi... Kwenda zako mwana hidaya wewe..
Bampa to bampa ilibidi iwe kwenye mada, acha utoto. Fundishika hata kana ego yako ya kisukuma hairuhusu.Si kushambulii na kufanya uwe accountable kama unavyotaka iwe... Unapenda kuongea vitu usivyo vimaanisha na hiyo inakupunguzia maksi za feminism. Mimi naenda na wewe bampa tu bampa hakuna kuchengana
Nimekuuliza swali kuna mtu ulishajadili nae msifikie huku? usijifanye huelewi nachosema.Ahahahaha wewe wasema, mimi sina character assassination nina attack maneno ulosema ambayo ndo yata reflect character.. Maana what's character by the way?
I’m an old dog, acha kupoteza muda Gunner. You na wenzio wajao, na ID zako zote hamtaweza kuniweka unavyotaka, kama sawa tayari niko sawa, hamna sawa nyingine ambayo unaweza kuniweka.Tulia tukuaweke sawa wewe acha kuwa triggered...
Uombe msamaha usiombe, your dark side must feel guilty, hatutii huruma sisi.. Your ego is nothing but a wounded inner child. Kubaki upone.
Accountable kwenye nini? Sikumbuki kwenye mjadala mzima kama kuna mahali nilitakiwa kuwa account.I will never get my face out of your fucking face because of your insecure ass. It's either ukimbie au ukubali kuwa accountable... Idgaf.
You are so delusional! aaiiiii 😂 gafla kila mtu ana insecurity.They run, not because nawakwaza, ila nawahold accountable kwa hoja na kuwa taka watetee kile wanacho dhani kiko sawa. It's not my ego, it's their insecure asses. Huwa wanakimbia because they can't stand me
I’m calling you out, i’m not pissed, kuna watu kama 7 tu duniani wanaoweza kunipiss off, we sio mmoja wao usijipambe hapo!Hahaha leo Nimecheka balaa, hadi wewe umekuwa pissed kweli... Calm down my dear si unajua we more than this😀
Fundishika hata kana ego yako ya kisukuma hairuhusu.
Mpaka hapo tayari nimesha chukua point zangu 3 kibindoniI’m an old dog, acha kupoteza muda Gunner. You na wenzio wajao, na ID zako zote hamtaweza kuniweka unavyotaka, kama sawa tayari niko sawa, hamna sawa nyingine ambayo unaweza kuniweka.
Kwani wanaume wenye hela watapatikana vipi ikiwa mabinti wanataka gawio kwenye hicho hicho kidogo kutoka kwenye hela ya vijana wanaojitatuta?Sasa bikra itapatikana vipi, wakati zinatolewa kabla ya ndoa??
Ndo maana zinaadimika sababu wenye nazo wanazigawa. We Sema Genz nao weshajizoelea wanajiokotea tu wanaweka ndani vilio vitafuata.Sasa bikra itapatikana vipi, wakati zinatolewa kabla ya ndoa??
Bila shaka, i’m honored to take the title.Kumbe wewe binti kiziwi ni old dog basi nakubatiza