Baada ya miaka 30 sababu inayowafanya wanawake kuzama kwenye dini sio wokovu. Kijana shtuka

Baada ya miaka 30 sababu inayowafanya wanawake kuzama kwenye dini sio wokovu. Kijana shtuka

Yaani unajua nini Natafuta Ajira sawa itakuwa alipigwa na tukio au laa ila kaja na comeback nzuri na ya kipekee kwenye kuamsha vijana.

Wanawake by nature ni soo manipulative ilianzia eden, na hili ndo lina fanya wanaume wengi wapotee kuto kujua how to beware of hizi tactics zao

Wanawake na wajua vizuri sana, huwa wanatumia hisia za mtu to their advantage, ila ukweli ni kuwa you can fool a person once. Hawajui ya kuwa in the long run lazima utajulikana tu. Sasa ya nini ucheze michezo

Wanawake ndo mnapo koseaga, huwa mnafagilia sana vitu vya kijinga, kama uzuri, simu kali, vipesa vya Kula chips, na masponsor ila ukweli mnasahau you're human too, utafikia utu uzima na soko lako la uzuri wa je litapungua..

Sasa huwa mna kuwa vichwa vigumu na soko by age 30 linakuwa limewnda kombo. Na matokeo yake ndo haya sasa... Ila yule aliyeolewa mapema a kapata mtu sahihi wakajenga family huishia kuheshomika na kumendewa tena na vibenten sio nyie kausha damu
Mbona kama mwanamke inaonekana ndio anapata hasara ila halalamiki
Nyie kutwa mnatoa mlio shida nini bwana mdogo🤣🤣
 
Mbona huku sioni wakilalamika
Nyie ndio mnalalamika sana
Au huku hawapo?
Society umefanya wanamke waonekane ni watu wema ndo maana huwezi kuta mwanamke anatoka nje kulia lia ya kuwa alikuwa Kahaba au alichezea usichana wake.. Wanajificha kuficha uchafu kupitia dini, kupitia waganga na kujifanya wema

Wanawake sijawahi kuwaelewa Kabisa because huwa ni wanakataa ukweli mpka kwa kulia machozii kabisa. Nimeshuhudia kijana anasingiziwa na mama wa kambo..

Kisa yule mama alikuwa mfia dini, na alikuwa malaya tu mtaani, ila akija kwa mume wake waliye kutana kanisani anajifanya mwema.

Nilikuwa mdogo na hizo pattern niliendelea kuziona growing up.... Najua nature ya mwanamke hasa mwongo,
 
Mbona kama mwanamke inaonekana ndio anapata hasara ila halalamiki
Nyie kutwa mnatoa mlio shida nini bwana mdogo🤣🤣
Tunawaamsha masimp. Jinsia me haiishii kwetu tu. Hata wadogo na watoto wetu wa kiume pia ni jinsia me. Tukikaa kimya kesho na kesho kutwa na wao wanaweza kuwa victims.
 
Society umefanya wanamke waonekane ni watu wema ndo maana huwezi kuta mwanamke anatoka nje kulia lia ya kuwa alikuwa Kahaba au alichezea usichana wake.. Wanajificha kuchicha uchafu kupitia dini, kupitia waganga na kujifanya wema

Wanawake sijawahi kuwa elewa Kabisa because huwa ni wanakataa ukweli mpka kwa kulia machizii kabisa. Nimwshuhudia kijana anasingiziwa na mama wa kambo..

Kisa yule mama alikuwa mfia dini, na alikuwa malaya tu mtaani, ila akija kwa mume wake waliye kufanya kanisani anajifanya mwema.

Nilikuwa mdogo na hizo pattern niliendelea kuziona growing up.... Najua nature ya mwanamke hasa mwongo,
Sawa kijana
 
Tunawaamsha masimp. Jinsia me haiishii kwetu tu. Hata wadogo na watoto wetu wa kiume pia ni jinsia me. Tukikaa kimya kesho na kesho kutwa na wao wanaweza kuwa victims.
Mkuu nilikuwa na idea... Fanya uwezalo tengeneza hata namna uwe kwenye social media.. Aisee unapotential kubwa sana kwenye ku wake up simps na kuwa awareness vijana kuhusu wanawake
 
Shida ni kwamba hawaokoki kweli!

😂

Hii code imekuwa wazi sana nadhani tutafute nyingine!

Kuna usemi unasema hivi; ukitaka imani yako itetereke kaa karibu na overly-religious people!
Religion is a scam
Na wewe umesema ni mlokole plus sijui tukuweke kundi lipi?
 
Mbona huku sioni wakilalamika
Nyie ndio mnalalamika sana
Au huku hawapo?
Jamii imeshashtuka mwanamke sio malaika kama ikivyozoeleka zamani. Sasa hivi wanawake pia wanawajibishwa kwaiyo ni ngumu kuja public. Mfano zamani single mother akilalamika moja kwa moja mwanaume anaonekana villain. Sasa hivi single mother ajichanganye kuja na habari za nimetelekezwa, sijui baba ahudumihi mwanae atashambuliwa mwenyewe atajuta. Watu washajua single mother ni victim wa maamuzi mabovu aliyofanya mwenyewe
 
Back
Top Bottom