Baada ya miaka 30 sababu inayowafanya wanawake kuzama kwenye dini sio wokovu. Kijana shtuka

Baada ya miaka 30 sababu inayowafanya wanawake kuzama kwenye dini sio wokovu. Kijana shtuka

Mkuu umewapiga knock out

Mishangazi inatamani uzi ufungwe kabisa.

Unajua hawa viumbe huwa siwaelewi kabisa at their prime huwa wanachezea sana miili yao, ila umri ukisogea ndo akili zinawarudia.

Ogopa sana wanamke mwenye miaka 30+ na hajaolewa broo kuimbia. Na makanisani ndo Kuna hao gold diggers in sheep's clothing
 
Nafikiri unajua wanawake huwa hawasemi ukweli kuhusu past zao. Obvious watakuja na story ya kupika tu
Wanawake washenzi sana ni waongo alafu anaweza hadi kulia mbele ya madhabahu kumbe anatoa huruma tu apate bwana wa kumhurumia aolewe sooo stupid
 
Kuhusu kijana kuoa binti mwenye historia hiyo upo sawa. Si salama na risk ni nyingi.

Kuhusu sababu halisi ya hao mabinti kuwepo kanisani pengine ukawa haupo sahihi. Pengine kuna funzo tofauti na uhitaji wa kuolewa.

Kupitia hadithi yako nimemkumbuka ndugu yangu mmoja[RIP], Katika ubinti wake hakuolewa, alikuwa mrembo pia. katika utu uzima wake alitumia muda wake kanisani mpaka anafariki akiwa 60+ na sababu ya kumtumikia MUNGU haikuwa kutafuta mume maana angeacha kadri umri unavyosogea. Na alitumika kanisani haswa na kanisa lilimzika kwa heshima aliyostahili.
Huko kutokuolewa ndio kulimpeleka huko Kanisani,wanawake wengi wanaenda kanisani na kujifanya wanajali Obada wakiwa na lengo fulani vichwani mwao_wengi wa mabinti ni kutauta ndoa na wasio na watoto wanakwenda ili wapate watoto na wenye ndoa zenye migogoro wanaenda ili waonekane wema machoni mwa watu na wame zao.
Ni wananwake wachache wanaenda kusali kwa lengo la kusali kweli.

Wanawake wa kiafrika 90% ni matapeli kwa njia moja au nyingine.
 
Uzi mzima hauna wanawake?

It’s okay kupeana codes, lakini ku-shame wanawake for returning to churches mnafanya kazi ya shetani (I wonder kama yall believers)

Kwanza kusema wanawake wote wa umri mkubwa walioko kanisani wanatafuta ndoa ni kauli ya jumla sana, kuna wanaotafuta ndoa wakidhani wamelogwa, kuna walioolewa siku nyingi ndoa zinawasumbua wanaziombea, kuna wanaoombea familia, kuna wanaaombea biashara, kuna wanaowakilisha familia (familia ipate uwakilisho kanisani ili wakati wa kuzika kisiwarambe) Kuna ambao wanaenda kanisani maisha yao yote, some of us tumebatizwa kanisani kwa walokole by age of 11. etc etc Kwa umri wangu ukinikuta kanisani ukanisingizia niko kanisani sababu natafuta ndoa ntakulamba makofi ukamuhadithie shetani 🤣

Kanisa /makanisa yamekuwa na wateja wengi wanawake wa kila rika, by numbers wanawake ndio tunaongoza kwa kwenda kanisani.

Mzigo wa kuomba/kuombea ndoa, familia, biashara etc tumeubeba wanawake for so long , shaming women of any age kwa kushinda makanisani ikiwa hamjui sababu zao za kushinda makanisani it’s so creepy!
Hayo makundi ya wanawake wanaohudhuria Kwenye nyumba za ibada yanajulikana,, na haikuwa concern ya mleta mada kujadili makundi hayo yote.

Yeye ame_base Kwenye kundi Moja la wale wanawake Ambao wanaenda Kwenye nyumba za ibada kwa lengo la rebranding and husband hunting(Baada ya Safari ndefu ya makando kando mengi). hawako sincerely Kwenye wokovu au kutubu bad enough Bado hawajaamua kwa dhati kuacha Yale makando kando Yao ya huko nyuma.

Kwaiyo kama aina hii ya Wanawake ipo basi mtoa mada Hana kosa ,, ila Ikiwa haipo ,, kwamba hakuna wanawake wanaokesha makanisani ili wawavutie churchboys basi itakuwa mtoa mada amekosea!!!

Ila kama wapo basi sio Mbaya Men wakipeana Codes zao.
Coz matukio ya maex kuichapa siku Moja Kabla ya harusi yanaongezeka kwa sababu wanawake hao Bado hawajaamua kwa dhati kabisa kutubu na kuacha makando kando yao.

Na churchboys na nicemen masikini ya Mungu walivyo kuwa hawana experience na hayo mambo wanajikuta ni wahanga wa Mahusiano ya kitapeli,, so kuwapa code ni muhimu sana.
 
Walahi sijapinga lolote, sijapinga kupeana codes.

i hope umekaona kakifungu nilichomqoute.

Next time ukiona comment yangu mahali jua napinga shaming dhidi ya wanawake katika hali yoyote ile.
 
Wote wanawakuwa malaika, yaani wanarudi nyumba za ibada.

Kuanzia hao waliyokosa mume au mke, hadi wazee wanaojuona wana mile age fupi ya kuishi. Kimbilio ni kuacha dhambi na kufanya ibada. Ndiyo maana nyingine ya huo msemo
Now you see!

Comment yangu ilikuwa na hii concern, kuwa kanisani ndio the worst place kupata a partner, kwa sisi wanawake we can attest to this, wachungaji wetu huwa na vikao na sisi why hatuwataki wanaume wa kanisani, kwanza wengi wana tabia mbaya na uvivu juu!

So hao wanaokuja baadae kusaka ndoa labda church boys ndio perfect match yao since hawajuani.
 
Ni kweli. Na wakiona siku zinaenda tu wanachokitaka hawakipati,wanahama fasta sana. Yaani huwa wananichekesha sana.

Kuna mmoja alinijia kwa gia ya kuomba ushauri wa kiroho kumbe yupo mawindoni(anawinda Mume). Nilimbloku chap!
Huu Uzi mbona unachekesha sana
 
Now you see!

Comment yangu ilikuwa na hii concern, kuwa kanisani ndio the worst place kupata a partner, kwa sisi wanawake we can attest to this, wachungaji wetu huwa na vikao na sisi why hatuwataki wanaume wa kanisani, kwanza wengi wana tabia mbaya na uvivu juu!

So hao wanaokuja baadae kusaka ndoa labda church boys ndio perfect match yao since hawajuani.
Wazungu wana nahau yao moja inasema "Devil lurks behind cross" yaani shetani hujificha nyuma ya msalaba, ikimaanisha kaamba kitu kiovu hujiweka karibu na kile kinachoonekana kitakatifu ila nacho kionekane chema. Kiufupi si kila unayemwona mwema anashika kitabu cha dini ana wema huo.

Wengi ni kama miguu ya paka kucha zipo ndani, akija kuzitoa ni baada ya kupata kilichomleta huko nyumba ya ibada. Huyo mke au mume yupo naye kwa ndoa halali
 
Kwa umri wangu ukinikuta kanisani ukanisingizia niko kanisani sababu natafuta ndoa ntakulamba makofi ukamuhadithie shetani 🤣
This is ego speaking

Kubalini tu ya kuwa tumewapiga knock out.. Chalii😂 hamna la kujitetea..
 
Wazungu wana nahau yao moja inasema "Devil lurks behind cross" yaani shetani hujificha nyuma ya msalaba, ikimaanisha kaamba kitu kiovu hujiweka karibu na kile kinachoonekana kitakatifu ila nacho kionekane chema. Kiufupi si kila unayemwona mwema anashika kitabu cha dini ana wema huo.

Wengi ni kama miguu ya paka kucha zipo ndani, akija kuzitoa ni baada ya kupata kilichomleta huko nyumba ya ibada. Huyo mke au mume yupo naye kwa ndoa halali
Mkuu nina ushahidi mkubwa sana..
Wanawake wanaokesha makanisani ni wachafu balaa... Tena yule ambae simu yake imejaa gospel ndo mwogope kabisa
 
This is ego speaking

Kubalini tu ya kuwa tumewapiga knock out.. Chalii😂 hamna la kujitetea..
Wala sijajitetea, deep down unajua i’m never an apologetic likija suala la kuolewa.

Maisha yangu yote nimekuwa kanisani, tena mi mlokole to be precise, sasa ukinikuta nina miaka 37 sijaolewa niache kwenda kanisani kwakuwa wewe usiyenijua utaassume nimeanza kwenda kanisani sababu nimekosa mume?

Make it make sense!
 
Mm natumia lugha ya kupindisha pindisha mambo msound soo innocent...

Wewe kubali tu, ya kuwa hii code imeenda..
Eti kuiwakilisha familia, wakati ndo nyie mnaishia kuliwa na wachungaji.... Tena walokole ndo usiseme kabisa.

Eti kuiombea familia iliyo na shida, ndo kudanganya kwenu huko muonekano innocent, there's no coming out of this sindano imepenya
 
Back
Top Bottom