Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,963
- 5,757
Kabla hata utandawazi yalishaharibika ni simu hizi hatukuzijua ndiyo maana hayakuwa maarufuActually ni utandawazi umeharibu kizazi, we so confused than ever
Kabla hata utandawazi yalishaharibika ni simu hizi hatukuzijua ndiyo maana hayakuwa maarufuActually ni utandawazi umeharibu kizazi, we so confused than ever
Ila mkuu zamani hasa wazazi wetu, walijitahidi sana. Mwanamke aliolewa na kutulia kwenye ndoa. Na walikuwa hata kutongoza sio kirahisi, na heshima kuwa yule mke wa fulani.Kabla hata utandawazi yalishaharibika ni simu hizi hatukuzijua ndiyo maana hayakuwa maarufu
Ohh sorry umetumia akili ndogo sana kujibu, umerudi kule kule kwenye matumizi yako madogo ya akili.Mm natumia lugha ya kupindisha pindisha mambo msound soo innocent...
Wewe kubaki tu, ya kuwa hii code imeenda..
Eti kuiwakilosha familia, wakati ndo nyie mnaishia kuliwa na wachungaji.... Tena walokole ndo usiseme kabisa.
Eti kuiombea familia iliyo na shida, ndo kudanganya kwenu huko muonekano innocent, there's no coming out of this sindano imepenya
Jaribu kukaa na wazee vijana utasikia dunia ya kipindi chao ilikuwaje, wengi hawataki wajulikane enzi zaoIla mkuu zamani hasa wazazi wetu, walijitahidi sana. Mwanamke aliolewa na kutulia kwenye ndoa. Na walikuwa hata kutongoza sio kirahisi, na heshima kuwa yule mke wa fulani.
Leo wanawake akiwa kwenye prime yake anapangilia wanaume hata saba na anakwambia ndo fashion... Soko likipita akili inarudi
Unajua kwa nini nimejibu hivyo.... 😂Ohh sorry umetumia akili ndogo sana kujibu, umerudi kule kule kwenye matumizi yako madogo ya akili.
Do better!
What do you mean, ya kuwa na wao walifanya Ufuska?Jaribu kukaa na wazee vijana utasikia dunia ya kipindi chao ilikuwaje, wengi hawataki wajulikane enzi zao
Haupo humu JF kitambo ndiyo maana siku hizi hawachangii hizi mada, ungeona mengi sanaWhat do you mean, ya kuwa na wao walifanya Ufuska?
Sidhani mkuu, hata kama walifanya not to this extent
AI hiyo nn mkuuAnaetaka kitabu hiki pdf
View attachment 3641508
Rudi kwenye comment niliyomqoute Natafuta ajira nilianzaje?Unajua kwa nini nimejibu hivyo.... 😂
Nimejibu kwasababu ulivyojibu ile hoja na namna ulivyo nijibu mimi ili usound soo innocent havi colerate hata kidogo..
It was trying to put a facade on a rotting reality. Kwanini huwa hamkubali ya kuwa hili swala lipo then ndo mkaanza kuongea another side of the coin?
Sasa wanawake wa kipindi kuanzia 2011 na kuendelea si ndo hawa Feminist millenials? Hawa ndo toleo la kwanza kabisa...Haupo humu JF kitambo ndiyo maana siku hizi hawachangii hizi mada, ungeona mengi sana
😀Hivi unaijua ile JF ya wazee ambao hivi sasa wana miaka 60+?Sasa wanawake wa kipindi kuanzia 2011 na kuendelea si ndo hawa Feminist millenials? Hawa ndo toleo la kwanza kabisa...
Mm nasema wanawake kuanzia early 2000s kurudi nyuma
Nimesoma...Rudi kwenye comment niliyomqoute Natafuta ajira nilianzaje?
Mimi sio innocent na sijawahi kuplay victim.
Nimeeleza reality yakuwa kwenye kundi kubwa la wanawake walioko kanisani, wengi wanaombea vitu mbalimbali ikiwemo kupata ndoa, kuombea existing ndoa, familia etc.
Dahh aisee😂😂😂 naelewa ila kipindi kile haikuwa soo toxic like now.😀Hivi unaijua ile JF ya wazee ambao hivi sasa wana miaka 60+?
Si kila unayemwona humu ni 30+ kulikuwa na visa vya ngono hadi vya 1970's vinasimuliwa
hahahahaha et kama anategua bomu ila watuUle UKIMWI ulinifanya Nikaiogopa ngono sana. Unamuona binadamu mwenzako Kawa kama kijiti, madonda mdomoni, ute mweupe, chakula ni uji mwepesi na ananyweshwa na mtu anamuogopa utadhani anategua bomu.
Mitandao ndiyo imekuza mamboDahh aisee😂😂😂 naelewa ila kipindi kile haikuwa soo toxic like now.
Kama unahisi nilikuwa napinga, fanyia kazi reading skills zako!Nimesoma...
Ofcourse nimeona maandishi yako ila that is not what is... Ndo maana reaction ya wana Jf hasa wanaume imeitika because it reflects reality... Hao wanawake wanaokesha wakiomba jua they're old and lost... Not old and gold.
Huko kusema wanaombea familia ni kificho cha ujinga waliofanya in their prime years. Wengine wamwharibu vizazi, wengine hawaolewi, wengine wameachika, na wengi wao ma single mama.
Hiding in the facade of innocence. Nimeshihudia baba yangu mkubwa alipata mwanamke kanisani... She was a single mama, aisee alikuwa mfia dini ila kichomi na alimfanyia kitu mbaya.. Na alikuwa ana pasha kiporo kwa yule bwana aliye mzalisha
Yaani unajua nini Natafuta Ajira sawa itakuwa alipigwa na tukio au laa ila kaja na comeback nzuri na ya kipekee kwenye kuamsha vijana.Yaani we jamaa kuhusu wanawake sijui unajionaga nani aisee🤣🤣🙌
Unavyochambua like wewe ndio uliwafinyanga
So wanawake wasio na ndoa wakifika 30yrs wasiende kanisani ?
I got you, I got you.👍Kama unahisi nilikuwa napinga, fanyia kazi reading skills zako!
Mbona inajulikana kuhusu wanawake wa makanisani? mostly
Few of them ni mazoea kwenda kanisani, kanisani it’s a social place , tumeanza kwenda since we’wa small. Pia wengine wana majanga yamewakuta ndio maana wanatafuta suluhu kanisani, kwanini unaiondoa point yangu kuwa sio wote wanatafuta ndoa bali wengine ndoa/familia zimewapelekea washinde makanisani, na wengine ndio hao wasaka ndoa.
Mbona aliyeniqoute mara ya kwanza alinielewa akasema uwepo wa hayo makundi ninayozungumzia hakuondoi uwepo wa kundi analolisemea mleta mada!