Baada ya miaka 30 sababu inayowafanya wanawake kuzama kwenye dini sio wokovu. Kijana shtuka

Religion is a scam
Na wewe umesema ni mlokole plus sijui tukuweke kundi lipi?
Kanisani ni a social place , tumeanza kwenda toka tukiwa watoto tuache?

It’s not that deep, and some of us are not making it seem deep!

Sijui unaelewa?
 
So inakwenda kuwachora wenzako wanalia na kunena kwa lugha!

Unajitetea sana leo daah😂

Anyways ninggeomba na wewe uwe advocate wa Natafuta Ajira na mimi uwe una anzisha nyuzi za kusanua simps
 
Kwaiyo sio kuacha, ni kutafuta mbinu nyingine. Aisee kumbe vita bado mbichi
Huyo huwa anafika mahala anaanza michezo na kutumia lugha flan hivi akidhani hatuelewi. She's having issues ila namkubali huwa anakuwa authentic to some extent
 
So inakwenda kuwachora wenzako wanalia na kunena kwa lugha!

Unajitetea sana leo daah😂

Anyways ninggeomba na wewe uwe advocate wa Natafuta Ajira na mimi uwe una anzisha nyuzi za kusanua simps
Siendi kumchora mtu! Kanisani ni social place integrity ndiyo inaamua, sio mimi kukwambia nimeokoka blah blah.

Siwezi kuwa advocate wa mambo yenu kama Natafuta ajira, Mimi ni a feminist, sio kwa kujiamulia tu ni kwa kukaa darasani, kwahiyo lazima nipingane na Natafuta ajira sababu ideologies zake zimekuwa rooted from patriarchy, which patriarchy ni adui yangu mkubwa.

Lakini; kuna mahali tunakutana, feminism inasisitiza accountability, Na mabandiko yake mengi yanahold gender yetu accountable (sio yote) baadhi ni ya uonevu wa wazi (misogyny) Hapo napo lazima tupingane hadi cheche.

Halafu jiheshimu, sijitetei naeleza! 😏
 
Siendi kumchora mtu! Kanisani ni social place integrity ndiyo inaamua, sio mimi kukwambia nimeokoka blah blah.
From experience that's not integrity... It's just making yourself seen

Siwezi kuwa advocate wa mambo yenu kama Natafuta ajira, Mimi ni a feminist, sio kwa kujiamulia tu ni kwa kukaa darasani, kwahiyo lazima nipingane na Natafuta ajira sababu ideologies zake zimekuwa rooted from patriarchy, which patriarchy ni adui yangu mkubwa.

Lakini; kuna mahali tunakutana, feminism inasisitiza accountability, Na mabandiko yake mengi yanahold gender yetu accountable (sio yote) baadhi ni ya uonevu wa wazi (misogyny) Hapo napo lazima tupingane hadi cheche.
Well, unakosea sana... Ungefanya kuwa more into your zone sasa. Sio kuja kubisha tuu na wakati hatujui where you stand, in the spectrum...
. Mimi sioni kama jamaa anakuja na patriarchy... Yeye ana insist accountability kama usemavyo.

From my observation kuna kitu nazidi kujifunza kuhusu aina ya mtu wewe ulivyo.. Una some sort of manipulative toxicity unaweza kumfanya mtu aingie kwenye uvictim hood alaf ukamteka kihoja.

Stop making it seem wewe ndo una autonomy wewe Ala...
 
From experience that's not integrity... It's just making yourself seen

Well, unakosea sana... Ungefanya kuwa more into your zone sasa. Sio kuja kubisha tuu na wakati hatujui where you stand, in the spectrum...
. Mimi sioni kama jamaa anakuja na patriarchy... Yeye ana insist accountability kama usemavyo.

From my observation kuna kitu nazidi kujifunza kuhusu aina ya mtu wewe ulivyo.. Una some sort of manipulative toxicity unaweza kumfanya mtu aingie kwenye uvictim hood alaf ukamteka kihoja.

Stop making it seem wewe ndo una autonomy wewe Ala...
Mimi nafatalia huu mpambano kwa ukaribu
 
From experience that's not integrity... It's just making yourself seen
As in how? Seen na nani?

Well, unakosea sana... Ungefanya kuwa more into your zone sasa. Sio kuja kubisha tuu na wakati hatujui where you stand, in the spectrum...
. Mimi sioni kama jamaa anakuja na patriarchy... Yeye ana insist accountability kama usemavyo.
Hukumbuki ulichoniambia ni-advocate? nimekujibu i can’t sababu mimi na Natafuta ajira ni watu wawili tunaosimama sehemu mbili tofauti. Mbona mi na Natafuta ajira tunafahamu kuwa huwa tunapingana kwenye almost kila kitu. Tatizo lako ninini?
From my observation kuna kitu nazidi kujifunza kuhusu aina ya mtu wewe ulivyo.. Una some sort of manipulative toxicity unaweza kumfanya mtu aingie kwenye uvictim hood alaf ukamteka kihoja.
From the mouth of which river? Nikijua unamaanisha nini nitajibu, i won’t assume kama unavyofanya wewe. Na tumehamaje kwenye mjadala tumehamia kwenye tabia zangu binafsi? (if at all ulichosema umepatia)
Stop making it seem wewe ndo una autonomy wewe Ala...
Hili pia wala sielewi maana yake, umecatch feelings mara hii?
 
Kumbe haya sawa
Yes😀. Wangekuwa wanaenda kumtafuta Mungu angekuwa anawapa 'husband material' wa uhakika kabisa kama Mimi hivi. Lakini kwa sababu kwao Mungu sio kipaumbele ndio maana Mungu nae huwa 'anamyuti' kama hasikii maombi yao vile😀

NB: Mungu sio toilet paper. Hayupo ili atumike bali atumikiwe katika Roho na Kweli
 
Back
Top Bottom