binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Unapenda kushinda tena ushindi wa mezani.Mpaka hapo tayari nimesha chukua point zangu 3 kibindoni
Point zipi?!
Unapenda kushinda tena ushindi wa mezani.Mpaka hapo tayari nimesha chukua point zangu 3 kibindoni
Kwenda zako..ila Wewe ni old cat na ndo nakubatiza hilo🙀..Bila shaka, i’m honored to take the title.
Si ulikuwa unabweka tu umeishiwa hoja...Unapenda kushinda tena ushindi wa mezani.
Point zipi?!
Mi huwa sikatai kukupa ushindi wa mezani Gunner, sipendi kukupuuza kama wanavyokupuuzaga wengi humu 😂 Wengi ukishargue nao sentensi mbili tatu, wanaona unawachosha they are out.Si ulikuwa unabweka tu umeishiwa hoja...
Hapana issue ni kuwa wewe huwa una u honesty fulani hivi wa kujua kuwa umekamatwa... I know it and you know it...Mi huwa sikatai kukupa ushindi wa mezani Gunner, sipendi kukupuuza kama wanavyokupuuzaga wengi humu 😂 Wengi ukishargue nao sentensi mbili tatu, wanaona unawachosha they are out.
Actually am not an attention farmer huwa napenda ukweli na hata ego yangu inapenda hichooShukuru Mungu mi nakomaa na wewe, an attention farmer!
Issue ni kuwa most people hide in the zone of mada wakati... As for a discussion lazima Twende deep kujua motives na nini hasa tunacho kitetea. Hapo ndo watu wakiguswa tu wanakimbia..Nikikuuliza maana ya hoja na kwenye mabandiko yetu marefu manne kuliko na hoja gani lazima udank dank tena. Kama nakumbuka vizuri hoja iliishia kwenye quote yako ya kwanza yakafuata unayoyajua wewe.
Mkuu unaposema feminism inasisitiza accountability sio kweli labda kama ni accountability kwa wanaume.Siendi kumchora mtu! Kanisani ni social place integrity ndiyo inaamua, sio mimi kukwambia nimeokoka blah blah.
Siwezi kuwa advocate wa mambo yenu kama Natafuta ajira, Mimi ni a feminist, sio kwa kujiamulia tu ni kwa kukaa darasani, kwahiyo lazima nipingane na Natafuta ajira sababu ideologies zake zimekuwa rooted from patriarchy, which patriarchy ni adui yangu mkubwa.
Lakini; kuna mahali tunakutana, feminism inasisitiza accountability, Na mabandiko yake mengi yanahold gender yetu accountable (sio yote) baadhi ni ya uonevu wa wazi (misogyny) Hapo napo lazima tupingane hadi cheche.
Halafu jiheshimu, sijitetei naeleza! 😏
Nilishindwa kuingilia huo mpambano wao na bwana elevenn, lakini makosa mengi sana niliyaona. Suala la accountability nilishangaa kidogo. Tangu lini wanawake wameanza kuaccept accountability with no hard feelings.Mkuu unaposema feminism inasisitiza accountability sio kweli labda kama ni accountability kwa wanaume.
Ila practically kwa Yale tunayoyaona kwa feminists wengi ni kwamba they are there to defend woman whatever the case(Aidha awe amekosewa au amekosea)...
Kuna Mmoja humu alishwahi kusema na kauli yake naikumbuka kuwa yeye atawatetea wanawake on their rights and wrongs
Sasa hii kauli Kwenye Misingi ya accountability ni sahihi??
Kuna mengi ladies hasa feminists hawataki kuwa accountable na mfano mzuri ni kuwa hawataki kuwa accountable for their past
Ndo utasikia wanahubiri "don't judge her past" au utawaona waki discourage virginity as one (but not only)of a signs of purity,,, yote hii wana dodge accountability.
Ndio hao hao wanahubiri usawa lakini inapofika suala la provision and bills unawaona Tena wanahubiri Kinyume Kinyume...
Nahisi feminism ni kumtetea Mwanamke regardless of what,, regardless amenyimwa Haki zake au amedhulumu za wenzake, if that so ni kweli,,
ila kusema eti feminism ina preach accountability labda theoretical au labda accountability kwa Wanaume.
Unzunguka kama dawa ya mbu, nimekuuliza hunijibu.Sasa kwanini ushawishi bikra uitoe na unajua hutamuoa? Sasa bikra zitaendelea kuadimika kwa kuwa nature inataka hivyo.
Kwanini mwanaume ana mshawishi msichana, kwa kutegemea aukatae ushawishi huo, si ni angeacha kushawishi tu jumla?
Na ukumbuke bikra zinatolewa na hao hao wanaume ambao baadae wanazitafuta wakati wakiwa wanataka kuoa.
Sasa sijui wanatazipata vipi na ikiwa walisha zitoa huko mwanzo,
Na km ndio nature inataka hivyo basi kilio ni endelevu.
Atakupa hiyo laki kutokana na ushawishi wake kwako.Unzunguka kama dawa ya mbu, nimekuuliza hunijibu.
"Okay tufanye kweli wanashawishiwa, hivi leo nikimshawishi binti niliyekutana nae labda hata kwa wiki,anipe laki moja,je atanipa kisa tu nimemshawishi?"
Tuko kwenye dunia iliyojaa ushawishi wa maovu na ndio maana ukapewa akili na utashi wa kufanya maamuzi ya kiroho na kimwili.Kwenye dunia kuna pande mbili kuna nuru na giza, sasa kama unatolewa bikra na wanao kushawishi kwa maana ya giza, walio kwenye nuru kwa maana ya ndoa husiwashangae, bikra zipo na wapo wanawake wengi wanao tumia akili na utashi wao walio jaliwa na Mungu kufanya maamuzi juu ya miili yao na matendo yao ya kiroho.
Tatizo la kutokuwajibika kwako,hakulifanyi kosa fulani kuwa la kawada,eti kisa wengi hawana bikra au kisa wengi wanafanya,sasa hiyo akili na utashi uliyo jaliwa ina maana gani au unaitumia wakati wa kuvuka barabara.
Kijana wa kiume anaye jitafuta kifedha, anafuatwa na binti au yeye ndio ana mfuata binti? Naomba uelewe dhana hapo.Kwani wanaume wenye hela watapatikana vipi ikiwa mabinti wanataka gawio kwenye hicho hicho kidogo kutoka kwenye hela ya vijana wanaojitatuta?
Kila mmoja ashinde mechi zake. Kijana ajue thamani ya mwanaume ni finance and stability kwahiyo awe na nidhamu ya fedha. Binti ajue thamani ya mwanamke ni purity and loyalty kwahiyo ajitunze.
Asitokee kijana wa kiume akafeli kimaisha halafu akasingizia hela zote ametumia kwa kushawishiwa na wanawake, vivyo hivyo asitokee binti asiye na bikira akasingziai alishawishiwa na wanaume. Kwa sababu wakati wote wanashawishiwa walikua na option ya kusema "HAPANA"
Pambano lile ni Katika mapambano yanayotakiwa kuwekwa Kwenye Kumbukumbu za JF hahahahahahNilishindwa kuingilia huo mpambano wao na bwana elevenn, lakini makosa mengi sana niliyaona. Suala la accountability nilishangaa kidogo. Tangu lini wanawake wameanza kuaccept accountability with no hard feelings.
Hii technique Huwa inatumika sana kujaribu ku_dodge uhalisia.Pia kagusia suala la kwenda kanisani kama ratiba ya mtu kwa miaka mingi sana wakati mimi nililenga kundi ambalo linaanza safari za kanisani kuanzia hapo kwenye 30's
Wanawake hawa Chao Chao,chetu Chao akupe laki ndani ya wiki? Be real ...Atakupa hiyo laki kutokana na ushawishi wake kwako.
Wenye nuru ambao wana ndoa si ndo wanao lia hawajazikuta bikra? Sasa km unajua Dunia iliyojaa ushawishi unashangaa nini kukosekana kwa bikra? Hao wanawake waliojaliwa hekima ktk maamuzi juu yao kimwili na kiroho ni wachache mno, ndio maana vilio ni endelevu vya kutokuwepo kwa bikra.
Na uzuri sasa bikra zinatolewa na wanaume, na hao wanaume ndio wanao lia kutozikuta bikra wakiwa wanataka kuoa.
Halafu punguza mhemko.
Ni mimi ninasemaga hivyo sio mwingine. Kwanza hiyo ni kauli utani/tambo, sio kila kauli inayoandikwa humu ya kuichukulia serious. Ni kauli ya utani ambayo huwa tunaitumia tukiona mwenzetu kazingua kwa viwango fulani hivi.Mkuu unaposema feminism inasisitiza accountability sio kweli labda kama ni accountability kwa wanaume.
Ila practically kwa Yale tunayoyaona kwa feminists wengi ni kwamba they are there to defend woman whatever the case(Aidha awe amekosewa au amekosea)...
Kuna Mmoja humu alishwahi kusema na kauli yake naikumbuka kuwa yeye atawatetea wanawake on their rights and wrongs
Sasa hii kauli Kwenye Misingi ya accountability ni sahihi??
Hapa hatudoge accountability bali hatutaki mambo yetu ya kike yapimwe kwa social construct zilizowekwa na patriarchy. Na tumeuliza swali letu like maarufu kuwa kwenye mambo ya past mwanaume anahukumiwaje? au past ni gender attached?Kuna mengi ladies hasa feminists hawataki kuwa accountable na mfano mzuri ni kuwa hawataki kuwa accountable for their past
Ndo utasikia wanahubiri "don't judge her past" au utawaona waki discourage virginity as one of a signs of purity(not only),,, yote hii wana dodge accountability.
Kila kitu kina evolve, feminism ina evolve, feminism imepokelewa kwa mapokeo tofauti tofauti na zaidi sana misogynist wamepotosha maana halisi ya usawa tuliokuwa tunataka wafeminia. Hear me out; as long as hatusaidiwi kuzaa, basi muelewe ajenda yetu haikuwa 50/50 ya namna hiyo.Ndio hao hao wanahubiri usawa lakini inapofika suala la provision and bills unawaona Tena wanahubiri Kinyume Kinyume...
Sio kweli, kama ingekuwa hivyo basi wanawake wote wangekwepa mambo yote yaliyowekwa kumuwajibisha mwanadamu, mwanamke akiwemo.Nahisi feminism ni kumtetea Mwanamke regardless of what,, regardless amenyimwa Haki zake au amedhulumu za wenzake, if that so ni kweli,,
ila kusema eti feminism ina preach accountability labda theoretically au labda accountability kwa Wanaume.
Wanawake hawa hawa hutoa zaidi ya laki kwa wanaume waliokutana nao baada ya siku 2 tu, achilia week, inategemea na ushawishi uliopo baina yao.Wanawake hawa Chao Chao,chetu Chao akupe laki ndani ya wiki? Be real ...
Nani anamhemko, kutokuwajibika kwako hakukufanyi kitu fulani kiwe cha kawaida, eti kisa wengi hawana bikira.
Ila uchache kwa mtizamo wako sababu akilini ushaona kawaida, wajibika hiyo akili na utashi hujapewa kuvukia barabara.
Yaani sawasawa na sasa hivi kuna trend ya wanaume kushiriki ngono kinyume na maumbile,eti ni shiriki ngono kinyume cha maumbile kisa eti watu wengi wanashiriki.Ila si shangai kitokuwajiba hulifanya kosa fulani kuwa la kawaida, ila haliondoi kwamba ufanyacho ni kosa.
lol!Nilishindwa kuingilia huo mpambano wao na bwana elevenn, lakini makosa mengi sana niliyaona. Suala la accountability nilishangaa kidogo. Tangu lini wanawake wameanza kuaccept accountability with no hard feelings.
Comment yangu ya kwanza niliqoute kifungu kidogo, ulichosema tafiti zinaonesha nini nini… i was opposing a very specific point.Pia kagusia suala la kwenda kanisani kama ratiba ya mtu kwa miaka mingi sana wakati mimi nililenga kundi ambalo linaanza safari za kanisani kuanzia hapo kwenye 30's
Yapo mapambano mengine makali zaidi kati yangu na Gunner labda tu haujapita pita vizuri kitambo humu, au labda hili la leo limekufurahisha zaidi 🤣Pambano lile ni Katika mapambano yanayotakiwa kuwekwa Kwenye Kumbukumbu za JF hahahahahah
Ufeminist umejengwa katika dhana ya uhuru, tukiwa huru kama mlivyo nyie hatutaki kuambiwa chochote kuhusu bikra zetu sababu tuko huru kuzitoa muda wowote.Hii technique Huwa inatumika sana kujaribu ku_dodge uhalisia.
Ukizungumzia virginity kama one of the standards men should consider watakuja kukwambia kuwa Kuna walioolewa wakiwa virgins wakaishia kuwa malaya. Ndio tunajua hao wapo ila Bado haibadilishi ukweli kuwa virginity ni sign ya purity na ni sign ya Namna Gani Mwanamke anaweza kuepuka vishawishi na kuzishinda Tamaa zake.
Na cha ajabu hawajibu, wanaishia kuhemkwa tuu.Yapo mapambano mengine makali zaidi kati yangu na Gunner labda tu haujapita pita vizuri kitambo humu, au labda hili la leo limekufurahisha zaidi 🤣
Ufeminist umejengwa katika dhana ya uhuru, tukiwa huru kama mlivyo nyie hatutaki kuambiwa chochote kuhusu bikra zetu sababu tuko huru kuzitoa muda wowote.
Hatuingilii preferences zenu kutaka bikra lakini tunawauliza maswali yale yale anayoyauliza cocastic hapo kwenye comment section hamna haja ya mi kuyarudia.
Ni kawaida yao kwenye hili na hautapata majibu zaidi utalazimishwa majibu, kuna muda nilitaka nikwambie piga chini… utachoka bureeeee!Na cha ajabu hawajibu, wanaishia kuhemkwa tuu.
Lol 😂😂😂
😂😂😂 kwa kweli.Ni kawaida yao kwenye hili na hautapata majibu zaidi utalazimishwa majibu, kuna muda nilitaka nikwambie piga chini… utachoka bureeeee!