YoungPastor
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 1,031
- 1,940
Ni kweli na nimetenda hakiKama ni kweli wakafie mbele huko, maana wamehamishia ukahaba kanisani, Ila kama si kweli hujawatendea haki.
Good.Ni kweli na nimetenda haki
Sasa hivi tayari kashakua matured woman. Anajua thamani yake. Katulia na real man wake whozu
Acha kabisa mkuu. Ilikuwa balaa. Mpaka leo imeacha funzo kwenye ubongo, ukikumbuka tu unaghairi uzinzi achilia mbali uzinzi pekupeku.
Haichekeshi ila nimecheka sababu aliyeleta UKIMWI Africa alijua kutunyoosha.Noma mkuu, dizaini mimi huwa nikikumbuka hizo mambo nanyong'onyea sana! Stimu zinakata kabisa.
Nakumbuka kuna mshua mmoja, 1999 kijijini alibaki mifupa mitupu. Asubuhi wakimtoa kuota jua, wakimsahau jua likiwa kali analia, hawezi hata kujivuta!
Dah kweli tumetoka mbali mkuu.
Haichekeshi ila nimecheka sababu aliyeleta UKIMWI Africa alijua kutunyoosha.
Ukiona mwanaume wa 80's 70's anasusa na amepewa bure wala usimdharau, we jua tu kuna alichowahi kuona.Amejua kututesa na kutumaliza mkuu! Noma sana mkali.
Ukiona mwanaume wa 80's 70's anasusa na amepewa bure wala usimdharau, we jua tu kuna alichowahi kuona.
exactlyMimi sina kabisa ratiba ya kwenda kanisani. Nikienda kanisani basi kuna event yenye umuhimu wa kuwepo mfano kipaimara, kumunio ya kwanza, ubatizo wa mtoto wa ndugu wa karibu au ndoa ya ndugu au rafiki wa karibu sana. Sasa siku za nyuma nipo kanisani nikawaona wadada wawili nikajiuliza nimeziona wapi hizi sura.
Wapi nimewaona hawa? Baada ya kurudisha kumbukumbu kidogo ndio nikakumbuka ooooh ni Sandra na Grace(sio majina yao halisi). Wanafanya nini kanisani tena mbele kabisa mmoja wao akiwa ameshika microphone mkononi.
Kwa kifupi Sandra na Grace walikimbiza mtaa kwa zaidi ya miaka 10 enzi zao. Niliishi nao mtaa mmoja maeneo ya Mwenge wakati huo mimi nilikua bado mtoto. Pale Mwenge mpakani zamani kulikua na kiwanja kinaitwa silent inn. Hawa wadada wawili walikua masuperstar pale. Baadae silent inn ikabomolewa kupisha ujenzi wa barabara. Sandra na Grace wakaamishia harakati zao meeda bar. Pale sinza ambapo ipo kitambaa cheupe sasa hivi. Zamani kulikua na bar inaitwa meeda. Ilikimbiza sana zama za Mkapa.
Baadae Sandra na Grace waliama mtaani na mimi pia kwenye harakati za maisha nikaondoka mtaani. Nikabaki na swali jingine. Nini kimewaleta kanisani? Tena wapo mbele kabisa kule. Nikapata jibu oooh ndoa, wamekuja kutafuta ndoa, wanataka kustaafu, wapo kanisani kuwalaghahi nice guys na church boys.
Kwa kuwaangalia kwa kusema kweli hata kupiga bure lazima ujiulize kwanza. Sio wale wadada hotcake wa enzi zao. The looks have faded so much they can't even land customers again. The best bet is a christian brother that will have to wait untill marriage to touch her
Idadi ya wanawake makanisani ni kubwa zaidi ya wanaume, na tafiti zinaonyesha wanawake wenye umri mkubwa ndio wahudhuriaji zaidi uko makanisani. Haijatokea hivyo kwa miujiza au by coincidence, isipokua ni life cycle. They pivot to religion for rebranding when the dating market stops rewarding their choices.
Gents, pick young women who are not used up for marriage. Your father picked your mother young and fresh. He never looked for maturity, he simply looked for youthfulness. Because the truth is women don't mature, they just get old. There's really not much difference between a 30 plus years and 18 years old women. The only difference is the older woman has lost value on the sexual market, but they are all still childish. When they faced with tough situation, both will either call a man for help or just cry
Kusettle na mwanamke wa 30+ utalipia gharama ya uaribifu aliofanyiwa na wengine. Utalipia gharama ya usaliti aliofanyiwa na maex wake. Utalipia gharama ya kila chozi alilomwaga kwenye mahusiano yake ya nyuma. Utaingia kwenye uwanja wa vita ukifikiri ni upendo. You will say something simple and she will overreact like you hit a landmine, because you did. Men before you buried it there.
After more than a decade of partying and exporation in dating pool. Now her looks starts fading, she don't get attention like before and menopause is around the corner. She will rebranding herself as a matured and religious woman and start searching for a naive, fool and innocent man who will ignore her past, fix her mistakes and secure her future. Don't be that man.
Sielewi kwanini mpka leo hii tupo 2026 kuna wanaume wanadanganyika na rebranding. Your job is not to judge salvation. Your job is to protect your legacy. Verify her character. Check her past. Test her discipline, humility and teachability. This is not hate. This is clarity. Simps get trapped by guilt and religion performance. Alpha men evaluate patterns.
Go for a young and feminine woman. You didn't hustle building your life to end up with a left over.
Don’t be a simp
Ukimwi uliondoka na vichwa vingi sana pale silent inn. Kwa macheni wasanii wa bongofleva walikua wanapapenda sana. Enzi hizo nasoma azania ukipita kwa macheni wakina feruzi, kala pina na wasanii wengine lazima uwaone paleMtoa mada una akili sana!
Mwanamke ni mtu mwerevu!
Mwanamke ni bingwa wa kujificha kwa mazingira "Camouflage"!
Fear women.
Nje ya mada; Umetaja Silent inn, menikumbusha kitambo around 2001-2005 nikiwa sekondari, kilikuwa ni bonge la kiwanja, mambo Isidingo; mademu nusu uchi fegi mdomoni. Watu walikuwa wakipiga starehe mitaa hiyo, kulikuwa hapo, DDC-Mlimani Park- Survey, Igongwe Mwenge, Kwa macheni Magomeni.
Kwa udogo wetu, sisi tukikuwa tunapita tuu mitaa hiyo kuangalia wakubwa wanavyokula bata, hasa siku zile kulikuwa na matamasha, wasanii na shows. Asubuhi ni pakti za kondomu zimezagaa, vizibo vya bia na sindano za mateja/wala unga. 😊
Note: UKIMWI umepukutisha watu hapo sio poa.
Ni kweli. Na wakiona siku zinaenda tu wanachokitaka hawakipati,wanahama fasta sana. Yaani huwa wananichekesha sana.Mimi sina kabisa ratiba ya kwenda kanisani. Nikienda kanisani basi kuna event yenye umuhimu wa kuwepo mfano kipaimara, kumunio ya kwanza, ubatizo wa mtoto wa ndugu wa karibu au ndoa ya ndugu au rafiki wa karibu sana. Sasa siku za nyuma nipo kanisani nikawaona wadada wawili nikajiuliza nimeziona wapi hizi sura.
Wapi nimewaona hawa? Baada ya kurudisha kumbukumbu kidogo ndio nikakumbuka ooooh ni Sandra na Grace(sio majina yao halisi). Wanafanya nini kanisani tena mbele kabisa mmoja wao akiwa ameshika microphone mkononi.
Kwa kifupi Sandra na Grace walikimbiza mtaa kwa zaidi ya miaka 10 enzi zao. Niliishi nao mtaa mmoja maeneo ya Mwenge wakati huo mimi nilikua bado mtoto. Pale Mwenge mpakani zamani kulikua na kiwanja kinaitwa silent inn. Hawa wadada wawili walikua masuperstar pale. Baadae silent inn ikabomolewa kupisha ujenzi wa barabara. Sandra na Grace wakaamishia harakati zao meeda bar. Pale sinza ambapo ipo kitambaa cheupe sasa hivi. Zamani kulikua na bar inaitwa meeda. Ilikimbiza sana zama za Mkapa.
Baadae Sandra na Grace waliama mtaani na mimi pia kwenye harakati za maisha nikaondoka mtaani. Nikabaki na swali jingine. Nini kimewaleta kanisani? Tena wapo mbele kabisa kule. Nikapata jibu oooh ndoa, wamekuja kutafuta ndoa, wanataka kustaafu, wapo kanisani kuwalaghahi nice guys na church boys.
Kwa kuwaangalia kwa kusema kweli hata kupiga bure lazima ujiulize kwanza. Sio wale wadada hotcake wa enzi zao. The looks have faded so much they can't even land customers again. The best bet is a christian brother that will have to wait untill marriage to touch her
Idadi ya wanawake makanisani ni kubwa zaidi ya wanaume, na tafiti zinaonyesha wanawake wenye umri mkubwa ndio wahudhuriaji zaidi uko makanisani. Haijatokea hivyo kwa miujiza au by coincidence, isipokua ni life cycle. They pivot to religion for rebranding when the dating market stops rewarding their choices.
Gents, pick young women who are not used up for marriage. Your father picked your mother young and fresh. He never looked for maturity, he simply looked for youthfulness. Because the truth is women don't mature, they just get old. There's really not much difference between a 30 plus years and 18 years old women. The only difference is the older woman has lost value on the sexual market, but they are all still childish. When they faced with tough situation, both will either call a man for help or just cry
Kusettle na mwanamke wa 30+ utalipia gharama ya uaribifu aliofanyiwa na wengine. Utalipia gharama ya usaliti aliofanyiwa na maex wake. Utalipia gharama ya kila chozi alilomwaga kwenye mahusiano yake ya nyuma. Utaingia kwenye uwanja wa vita ukifikiri ni upendo. You will say something simple and she will overreact like you hit a landmine, because you did. Men before you buried it there.
After more than a decade of partying and exporation in dating pool. Now her looks starts fading, she don't get attention like before and menopause is around the corner. She will rebranding herself as a matured and religious woman and start searching for a naive, fool and innocent man who will ignore her past, fix her mistakes and secure her future. Don't be that man.
Sielewi kwanini mpka leo hii tupo 2026 kuna wanaume wanadanganyika na rebranding. Your job is not to judge salvation. Your job is to protect your legacy. Verify her character. Check her past. Test her discipline, humility and teachability. This is not hate. This is clarity. Simps get trapped by guilt and religion performance. Alpha men evaluate patterns.
Go for a young and feminine woman. You didn't hustle building your life to end up with a left over.
Don’t be a simp
Ukimwi uliondoka na vichwa vingi sana pale silent inn. Kwa macheni wasanii wa bongofleva walikua wanapapenda sana. Enzi hizo nasoma azania ukipita kwa macheni wakina feruzi, kala pina na wasanii wengine lazima uwaone pale
😂😂😂Ule UKIMWI ulinifanya Nikaiogopa ngono sana. Unamuona binadamu mwenzako Kawa kama kijiti, madonda mdomoni, ute mweupe, chakula ni uji mwepesi na ananyweshwa na mtu anamuogopa utadhani anategua bomu.
Kuokoa ni kitu kizuri,tatizo wanaenda kanisani huku wakiwa hawapo tayari kubadilika. Wanawataka church boys ila still bado zile lifestyle zao wamezificha kwenye koti la dini na bado kuna maex ana connection nao. Ndio maana siku hizi kwenye group la michango ya ndoa, mwanamke anapata ujasiri wa kuwaweka maex wake kwenye hilo group wa mchangie, mixer kuwasumbua kwa simu na meseji.Ndio maana siku hizi mechi wenyewe wanaziita za kuagana zinachezwa sana ile wiki moja ya kufunga ndoa, utakuta bi harusi na ex wake wanakamuana baada ya hapo wanapeana hela za mchango.
Kuna wengine huwaga maombi yao ni magumu kusikilizwa sababu ya kufarakanisha ndoa au familia ya mwanamke mwenzie kipindi hiko yy yupo kwenye ubora wake, so vile vinyongo walivyo beba wale wanawake ,ndivyo vinavyo mfanya hata aombe vipi mume hapati,sababu hajaenda kuwaface kuwaomba msamaha.
Kuna mabinti wanabisha ila kwa mabinti 30+ ndoa kwao ni muujiza mkubwa ndio maana wamegeuka deal kwa wachungaji na waganga wa kienyenyeji na wanastress sana, hawa mabinti wenye hela ambao wao 30+,kuna wahuni wanazila sana hela zao na wengine hufikia hatua ya kuwablackmail ili tu wapate hela zao. Ila wakiwa mbele ya kadamnasi, wanavyo ziponda ndoa utazani hawazihitaji.
Mkuu, wengi wana agenda aliyoisema mleta mada. Mpango wa kuokoka kwa dhati kabisa hawana. Wataokoka kimaigizo kama huko "kuokoka" kutampa matumaini ya kupata Mume.Wakiristo tunaamini YESU ni MUNGU aliyekuja duniani kupitia mwanamke. Complicated but it's faith.
MUNGU alipotaka mwanamke amzae YESU alimtafuta bikira hakutafuta kahaba aliyestaafu ila YESU ambaye ni MUNGU alizuia mwanamke mzinzi asipigwe mawe, aliruhusu mwanamke mzinzi amuoshe miguu.
FUNZO: Regardless ya historia ya mwanadamu na makosa yake, anapoamua kubadilika anapaswa kuheshimiwa na kupokelewa kama sehemu ya jamii kama YESU alivyompokea mwanamke aliyemuosha miguu.
Ikitokea kuna anayeamua kujihusisha na mwanadamu aliyebadili tabia kimahusiano hapaswi kupuuza historia yake kama ambavyo MUNGU hakupuuza historia ya atakayemzaa YESU.