Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Dah! Mwili unasisimka kwa furaha kubwa sana.

 
Online TV hamna ilokua na Camera Leo wote ni chenga TUPU tunaangalia vinukta tuuu na sauti
 
Shukurani Zote Ziende Kwa Timu Yangu Pendwa ya SIMBA SC iliyoanzisha Mkakati wa "Do or Die" inapokuwa kwa Mchina na Kushinda ni Lazima.

Leo Taifa Stars wameamua Kufuata Nyayo za Mnyama kwa Kushinda Kwa Mchina.

Sasa tunawasubiri na Wale [emoji196] [emoji196][emoji196] wa pale Madimbwini nawao wafuate Nyayo zetu za "Do or Die" pale kwa Mchina.

Nawasilisha
 
Acha Acha ungese kyuma wew

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nonsense.
 
Maneno ya Mbwana Samatta

Hakika sioni kama naweza kumshukuru Mungu vya kutosha kwa alichotutimizia katika ndoto zetu. Ni rekodi nzuri kwa mimi na timu ya Taifa stars na Taifa zima kwa ujumla. Tumekuwa tukiisubiri hii siku kwa miaka 38. Nawashukuru sana waTanzania kwa sapoti yenu. Hakika kwa jinsi mlivyotushangilia leo tusingeweza kufungwa hata kidogo. Nyinyi mlikua mnatupa nguvu kama vile mlikua na sisi uwanjani. Kwa hakika tulijihisi kuongezeka idadi uwanjani kwa zile sauti zenu. We made it. Tanzania ni zamu yetu Afcon 2019. Haina kufeli #captain_diego. #proudly_Tanzanian
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…