Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

mpira ni dakika 90 hizo kamati zenu kama kweli zingekuwa zinafanyakazi tungeshakuwa mabingwa wa dunia na Africa

mpira una misingi yake sio siasa mpira una njia zake sio kelele

at least ungeandika haya kabla ya mechi kupigwa ningeona una logic sio kwamba upo sahihi ila tu angalau ningeona concern yako
 
Kuna fala anaitwa Kunta huyo nafikiri anamsaidia mwenzake kunya.
Ushindi huu ni wa kitaifa kwa watanzania wote wenye kuitakia mema Nchi hii tukufu Tanzania.
 
Kati ya magoli 3, huyo Makonda wako amefunga mangapi?
 
Uganda wanawasoma kwanza kawaida ushindi wa the cranes ni kipindi cha pili kama wakiwa ugenini,nawatakia Uganda ushindi wa goli 3-1 bar zifungwe baada ya mechi.
Dah [emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
Samahani mkuu, hadhina ndio kitu gani? Umeniacha hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala siyo siri mkuu! Dogo ni jembe sana! Watu oooh mpira hauhitaji siasa mara oooh Makonda anaingilia nini nini lakini ukweli ni kuwa mtu yoyote akiwa fully encouraged anaweza kufanya wonders kama ilivotokea leo. Ni maajabu ya dunia Taifa stars kuipiga tatu bila the Cranes! Shikamoo Makonda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingefikia wakati kuna wajinga wengine ingeruhusiwa kuwafutia utanzania ili wawafuate wanayoyatafuta.
 
Tumeshinda au hatujashinda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…