Teamanaconda
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 602
- 564
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Group halikuwa jepisi wewe labda hufuatiliagi mpira Cape Verde unawajua vizuri wewe na Uganda je? Hawa wote sio size yetu labda Kesotho hvyo usiwe mgumu kupongeza. Kilichokuwa kinatuangusha sisi ni rushwa kila sehemu sasa wala rushwa wamedhibitiwa na JPM matunda tunayaona.Timu za kufuzu zimeongezwa, group tulilopangwa ni jepesi. Mimi nawapongeza CAF, na wala si mtu mwingine
Pumbafu kabisa mnaleta siasa Kwenye mpira ninyi niwa hovyo kabisa nashindwa niwaandikeje. Fyuuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbaf kabisa jitu kama wewe.Shukurani Zote Ziende Kwa Timu Yangu Pendwa ya SIMBA SC iliyoanzisha Mkakati wa "Do or Die" inapokuwa kwa Mchina na Kushinda ni Lazima.
Leo Taifa Stars wameamua Kufuata Nyayo za Mnyama kwa Kushinda Kwa Mchina.
Sasa tunawasubiri na Wale [emoji196] [emoji196][emoji196] wa pale Madimbwini nawao wafuate Nyayo zetu za "Do or Die" pale kwa Mchina.
Nawasilisha
Maslahi feki yamefeli. Atukuzwe Mungu aliyetuvusha. Shukrani kwa Taifa Stars, Coach na benchi la ufundi kwa juhudi zenu.Nisiwe mnafki ..
Kwa maslahi mapana ya taifa hili kimataifa ni vyema tufungwe na Uganda ili kuepukana na aibu pamoja na fedheha hapo mwakani AfCON
Miaka michache iliyopita tulifungwa 7 kwa 0 na hakukuwepo na jitihada zozote za kuridhisha ili kuzuia tukio kama hilo lisitokee tena
Ok tusubiri fainali za AfCONMaslahi feki yamefeli. Atukuzwe Mungu aliyetuvusha. Shukrani kwa Taifa Stars, Coach na benchi la ufundi kwa juhudi zenu.
Hatimaye AFCON
Waliombea tufungwe ile mbayaKuna makamanda ya ufipa yalitaka Taifa Stars ifungwe yapate pa kupaazia sauti. Imekula kwao.
yeam zimeomgezwa ngapi na mwanzo zilikuwa zinatakiwa ngapi mkuu?Timu za kufuzu zimeongezwa, group tulilopangwa ni jepesi. Mimi nawapongeza CAF, na wala si mtu mwingine