Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Mkuu, nadhani leo tutakua tumeshika mamba 1 angalau kwa saa 1 hivi

Sent using Jamii Forums mobile app


Hahahhaa kuna baadhi ya nchi mie naona Mungu angezishushia tu gharika ya kimbunga ida tukarest in pisi..mfano tanzania...hatuna la maana kbs..!

Labda uniambie makao makuu ya "FWIFWA" yatahamia Tz
..na vile siulew mpira najiona tofauti mwe
 
Sasa hao mamba si tuwachune ngozi tutengeneze viatu.
 
Ile milioni hamsini aliyobeti kipindi kile leo ndio imerudi, acha tu apongezwe, wewe ulishabeti wapi million hamsini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio ulisema utakunya starz ikifuzu?... Bora twende tukakomaze timu yetu kuliko mapambio kila siku
 
Unashangaa hili, wakati jamaa alipata ajali na shukrani zake za kwanza baada ya kunusurika kifo zilimuendea raisi???
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu kama nyie mnasikitisha sana. Na nikwambie negativity inakula moyo na figo subiri ulete uzi hapa wa kuomba msaada. Na watu kama nyie huwa maskini sana na kama una hela basi ulitambika au haramu , mtu mwenye maisha hswezi kuona half empty Cup tu, ataona always half full Cup. Every single thing is a sign of something better ahead. JPM kama Rais ndo alama ya nchi. So hongera kwake ni kujiongeza tu. Kama anaweza kupngezwa lissu kwa kelele itakuwa mto 50
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…