Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
AmeenNaiombea Tanzania kuishinda Uganda mechi ya leo ili EAC kuzipeleka timu nne kule Egypt.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmeenNaiombea Tanzania kuishinda Uganda mechi ya leo ili EAC kuzipeleka timu nne kule Egypt.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Haya la kwanza tushawapiga waganda
Na Inawezekana Kundi Hili ndo Litakaloshangilia Sana.Msuva ananyua walevi watu uwanja wa mkapa.
TFF wameshakanusha kuhusika na hizo jeziKusema ukweli mpaka sasa sioni matumaini ya misalaba kushinda labda Uganda waamue kuwaachia tu
Uganda wanawasoma kwanza kawaida ushindi wa the cranes ni kipindi cha pili kama wakiwa ugenini,nawatakia Uganda ushindi wa goli 3-1 bar zifungwe baada ya mechi.Kimoko Tayari.
Kwenye IOS hamna TBC app, labda wawe wanatumia jina jingine tusaidie kiongozi.Download app ya TBC, Mimi nafaidi mechi kwa app yao.
Mungu ibariki Cape verdeNacheck pia game la Lesotho
Dk 27 Cape verde 0-0 Lesotho
Hamna kitu Uganda wametuachia sanaaaa.Star iko vizuri,