Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Tunasubiri kwenye kuongeza mishahara.. alisema yeyey hatoi kiduchukiduchu atatoa BIG ya kufungia uchaguzi... ila akumbuke kuwa JAKAYA yeyey hakusubiri michosho alikuwa kila mwaka anatekeleza wajibu wa kisheria kwa kuongeza kasma kila mwaka wa bajeti japo hicho kidogo lkn wananchi walikuwa na matumaini kidogo. aliweza kuongeza takriban 15% mpaka 35% kutoka kima cha chini. mfano mshahara ulikuwa 100,000/= alijitahidi ukapanda mapaka 150,000/= aliweza kuongeza 35,000 mpaka kufikia 50,000/= kiasi kwamba ukichukua 50,000/= za Jakaya x 5yrs ni karibia aliongeza jumla ya 250,000/= kwa sasa huyu mkulu yeye anasema ataweka jazio kuu nadhani anategea kwenye uchaguzi.. je salio atakalo weka litavunja rekodi ya jakaya ama ndio litakuwa changa la macho?
 
Uwezo wa watanzania kufikiri ni Mdogo sana wachezaj na bench LA ufundi hawapewi sifa, Ila sifa anakuja kupewa mpiga debe
 
Tuendako mtu atahangaika kupata mtoto muda mrefu siku akishika mimba utasikia "asante sana ccm na serikali ya awamu ya tano Kwa kuniwezesha pata mimba, hongera mzee mwenyewe"
Hapo ndio waume tutabaki na mshangao!

Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna timu za vijana , hakuna miundombinu ya soka, ligi inachezeshwa kishabiki wewe unashangilia upuuzi
 
Ushindi wa Taifa Stars has nothing to do with Magufuli being in power. Inawezekana kabisa hayo matokeo yalikuwa "Arranged" kwani Uganda tayari hawakuwa na cha kupoteza.

All in all, tusubiri fainali ya Afcon kule Egypt mwezi June, ndio ukweli utadhihiri. Sasa huko tukijafungwa sijui Magufuli atakuwa katoka madarakani. I can't say it right now.
 
Ukweli vingine ni irrelevant. Muhimu kama Taifa tumeanza kupiga hatua fulani katika Mpira wa miguu. Na kwamba tukijipanga kisayansi tunaweza Fanya vizuri zaidi. Jinsi timu ya Taifa ilivyocheza jana hata kama isingefuzu au ingefungwa kiwango cha timu kilikuwa kizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua maana ya big brain?? hiyo kazi hata Pierre mlevi si anaweza Fanya?? Huu ushindi waganda wametubeba
 
Kweli Nabii hakubaliki kwao
Tulishawahi kumwandikia barua ya wazi Mh rais,kuwa atupe makonda a,k.a bashite katika mkoa wetu
Sisi huwa hatufati wala hatujali majina
Tunachokitaka ni utendaji tu
Cha ajabu hadi leo barua yetu mkuu hajaijibu[emoji1321]‍♂️
 
Tusidanganyike. Bila rais imara hakuna taasisi imara..tunaanza na rais imara ndio taasisi na raia imara tunapata. Tulianza na rais imara nyerere....hatimae raia imara wamemleta rais imara jpm.
 
liangalie...chuki tu
Chuki za nini sasa? Tushukuru Mungu,Uganda walikuwa watakualify,they had nothing to lose.kuongoza kundi walikuwa washaongoza hata wakifungwa. Pia tuwashukuru Cape Verde kwa kuwabania Lethoso.
 
Ila kutumia watu ambao ni 'mfano mzuri wa kuepukwa na jamii' sikuunga mkono kabisa hilo. Ni vyema tungewatumia wachezaji wa mpira wa miguu walioipa Taifa mafanikio kuhamasisha kuliko wavuta bange na picha za utupu ktk mitandao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…