Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Chuki za nini sasa? Tushukuru Mungu,Uganda walikuwa watakualify,they had nothing to lose.kuongoza kundi walikuwa washaongoza hata wakifungwa. Pia tuwashukuru Cape Verde kwa kuwabania Lethoso.

uliishapatwa, mengine kujifaragua tu
 
chadema wabaya sana wametawala miaka 38 taifa stars hawajahi kwenda afcon lakini ccm wamekaa miaka mitatu tu tunaenda afcon
 
Kwa hiyo ni sahihi kumlaumu kuhusu Korosho?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka asilaumie kuhusu korosho .hauko serious,au wewe robot.kwa amri yake sio waziri wa kilimo au PM,alizuia wanunuzi akatamka atanunua siku 2,walinda mipaka yetu watabangua hata kwa meno maana aliambiwa viwanda havitoshi hata robô ya uzalishaji.sasa tunaenda miezi sita badala siku 2.wakulima wengi hawajalipwa korosho zinaharibika.unataka walaumie wakulima kwa kuzalisha zaidi 1500kg kwa kuwa nembo ya chama jembe la mkono ,kwamba mkulima amiliki si zaidi ya miti ya korosho 30-50=ekari 1-2. Jifunzeni kufikiri nje ya box la jembe la mkono.cherehani 3 kiwanda!
LAWAMA ZA KOROSHO ZITAFIKA MIAKA 2 ZAIDI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kereka hadi ususe lakini hali halisi ndiyo hiyo. Hivi wewe hujawahi kusikia kuwa' enzi ya nyerere mpira ulikuwa juu kuliko sasa' Hivi tuseme Nyerere kama rais hakuhusika kwa njia moja au nyingine.
Maskini muonee lakini haki apewe. Hivi mara ya mwisho ni rais gani hapa nchini aliwahi kutoa 50 million kwa ajili ya stars?
Wenyewe wanasema kuwa huu ni mwaka wao. Mimi na wewe aidha tusherehekee nao au tunyamaze kimya.
 
Magufuli anapewa pongezi kwa kuwa ni mmoja wa mashabiki kama ulivyosema kwenye andiko lako.
 
Mlioko Dar ni kweli Vinywaji viliuzwa nusu bei?
 
Jana Togo wamefungwa na Benin wananchi wanamlaumu Rais wao na serikali yake kwa kushindwa kufuzu. Sasa wewe unashangaa nini Rais Magufuli kupewa pongezi kwa ushindi wa Stars.
 
Nina mashaka na umri wako!!! Kati ya JPM na JK raisi mwanamichezo ni nani? Choko ww... Kuna rais aliependa michezo kama JK?? Alimlipa hadi kocha. Alikua anahudhuria uwanjani karibuni kila mechi Magufuli hastahili pongezi yeyote kwenye mechi hii.
Kwa hiyo ikifungwa pia tumlaumu ama???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,walioko magerezani wanaharibuje mpira,?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…