Baada ya miaka 40 akiwa padri mkuu wa kanisa ya orthodox, David Gould, kasilimu

Baada ya miaka 40 akiwa padri mkuu wa kanisa ya orthodox, David Gould, kasilimu

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Kwa utumishi wa zaidi ya miaka 40 kama padri mkuu wa kanisa ya orthodox David Gould, kwa sasa anaitwa kwa majina ya Abdul Rahman amekua Muislamu rasmi.

Na hili limeanza baada ya kuenda Perth kuudhuria msiba wa ndugu yake, roho mtakatifu kamshukia na kujikuta kwenye mskiti wa eneo, (village mosque) na kulazimika kuomba mungu amuongoze kupata dini ya ukweli na haki.

Roho mtakatifu ikamsisitizia kwamba Uislamu ndo dini ya kweli katoa shahada na kua muislamu na sasa imeenda ku hijji kufanya umra nchini Saud Arabia, kuongeza shahadah yake.

My worry ni hi hapa, hawa watu wetu wanao amini sanaa wazungu kwa kila jambo, sasa wazungu wa meeanza kuamini Uislamu bàada ya kuona uislamu ndo njia peke ya ukweli dini zingine ni utapeli na ushogaa watafanya je?

Screenshot_20241226-094617_Lite.jpg
 
Huwa mnatafuta ukubwa fake
Sasa mtu kukengeuka nakujiunga na dini yenu ni habari ya kuleta Uzi.
Watu wanaenda hadi Kwa sangoma na Sangoma yupo kimya Haji kutamba
Mkuu kalete hoja not accusations, epuka jambo lisio kua na ushahidi, mtu kusilimu kwa waislamu ni jambo muhimu kwasabb amenusurika na kurudi kwenye Dini yake ya asili.
 
hakuna haja ya kuvikuza hivi visa na kuvitangaza, mnatakiwa muelewe ni mambo ya kawaida

akili ya binadamu ipo flexible, ndo upekee wake

misimamo ya watu inaweza kubadilishwa wakati wowote kwa namna za ajabu, na sio vibaya

tuwaache watu wafuate vile wanavyoona ni kweli kwao
 
Tuna habarishana tu, ili tukumbushane kwamba binaadamu wote walizaliwa wakiwa waislamu isipo kua hubadilishwa dini yao ya asiri na wazazi wao, lakini kabla ya kiama wengi watalejea kwenye dini yao ya asili, kwa mjibu wa Qur"an tukufu.
 
Mkuu kalete hoja not accusations, epuka jambo lisio kua na ushahidi, mtu kusilimu kwa waislamu ni jambo muhimu kwasabb amenusurika na kurudi kwenye Dini yake ya asiri.
Kivipi uislamu ni dini ya asili?
 
Keshaingiziwa za kutosha kwenye akaunti ili ahadae watu! Michezo yote inayochezwa na fedha za mafuta zisizo na kazi hapo middle East inafahamika. Let him go; Kristo analichunga kanisa lake.

Watu huhama dini
Mbona mamia ya waislamu hukimbilia Kwa Mwamposa kupata upako na hakuna mkiristo anajali
Si bure, hilo zungu kuna utafiti wa kitheolojia linafanya, at the end litarudi kwenye u othodox wake

View: https://youtu.be/pMECi3OLac0?t=3
 
Huwa mnatafuta ukubwa fake
Sasa mtu kukengeuka nakujiunga na dini yenu ni habari ya kuleta Uzi.
Watu wanaenda hadi Kwa sangoma na Sangoma yupo kimya Haji kutamba
Why all this mkuu?
 
Tuna habarishana tu, ili tukumbushane kwamba binaadamu wote walizaliwa wakiwa waislamu isipo kua hubadilishwa dini yao ya asiri na wazazi wao, lakini kabla ya kiama wengi watalejea kwenye dini yao ya asili, kwa mjibu wa Qur"an tukufu.
Asili kivipi
 
Tuna habarishana tu, ili tukumbushane kwamba binaadamu wote walizaliwa wakiwa waislamu isipo kua hubadilishwa dini yao ya asiri na wazazi wao, lakini kabla ya kiama wengi watalejea kwenye dini yao ya asiri, kwa mjibu wa Qur"an tukufu.
acha uongo, dini zipo kibao, kuna sehemu duniani waislamu hawaishi kabisa

msitumie mapito ya huyo padri kujipiga promo, jiulizeni kwanini amehamia kwenu? hicho ndo cha msingi

hapa unachochea udini

unadhani alihamia huko kwasababu ya vitisho kama hivi?

unadhani atapenda bandiko kama hili?
 
Story ni ya kweli. Ila ni ya miezi 11 iliyopita (January 2024)
 
Keshaingiziwa za kutosha kwenye akaunti ili ahadae watu! Michezo yote inayochezwa na fedha za mafuta zisizo na kazi hapo middle East inafahamika. Let him go; Kristo analichunga kanisa lake.
Ningeshangaa sana kama usingekuja kwenye huu uzi na kumwaga matapishi yako kama kawaida yako,

Inaonekana huu uzi umekuchoma kama Pasi,

Unaweza kuweka ushahidi wa unachokiongea?
 
Back
Top Bottom