Baada ya miaka 40 akiwa padri mkuu wa kanisa ya orthodox, David Gould, kasilimu

Wakristo hawapendi kusikia hiyo kitu wanakasirika. Ila ndio hivyo kiongozi wao ameuona ukweli akaufuata.
Ndugu zetu Wakristo someni Quran kabla hamjaondoka hapa duniani. Huko mbele kuna majuto kweli kweli. Fursa ni hii hii moja tu usifanye makosa.

Kumbuka kaburini utaingia mwenyewe na maswali utaulizwa wewe mwenyewe
Ha ha ha ulichokiandika kipo tofauti na NENO la Mungu...
Yesu anasema:

Mt 23:10 SUV​

Wala msiitwe viongozi; maana kiongozi wenu ni mmoja, naye ndiye Kristo.
Lakini pia Yesu ndiye kweli yenyewe
Kwahiyo umeandika kitu ambacho hakipo kabisa,Soma maandiko ili upate hekma ya Mungu..
 
Kaja kufanya utafiti huko, roho mtakatifu unamjua wewe, huenda kashukiwa na nyanya yake sasa damu y YESU inamuunguza hivyo kaamua kimlagai ili aende huko kulikopoa
 
You can't change people, Never complain, Never explain.
 
Islam is the "mother" of all religions of the world. Dini ya asili

Religion is total way of life. Maana ya dini.

Asili means "originality" dini ya kwanza.
Brother,I think your lack of knowledge makes you think that you can write anything against the Children of God.
Muslims are looking for the way to their so called " Allah" little do they know that, us children of God we have he who is the way they are looking for.....as well as life they are after...
In John 14:6 the Word of God says:
New International Version
6 Jesus answered, “I am the WAY and the TRUTH and the LIFE. No one comes to the Father except through me.
 
Kwa utumishi wa zaidi ya miaka 40 kama padri mkuu wa kanisa ya orthodox David Gould, kwa sasa anaitwa kwa majina ya Abdul Rahman amekua Muislamu rasmi.

Na hili limeanza baada ya kuenda Perth kuudhuria msiba wa ndugu yake, roho mtakatifu kamshukia na kujikuta kwenye mskiti wa eneo, (village mosque) na kulazimika kuomba mungu amuongoze kupata dini ya ukweli na haki.

Roho mtakatifu ikamsisitizia kwamba Uislamu ndo dini ya kweli katoa shahada na kua muislamu na sasa imeenda ku hijji kufanya umra nchini Saud Arabia, kuongeza shahadah yake.

My worry ni hi hapa, hawa watu wetu wanao amini sanaa wazungu kwa kila jambo, sasa wazungu wa meeanza kuamini Uislamu bàada ya kuona uislamu ndo njia peke ya ukweli dini zingine ni utapeli na ushogaa watafanya je?

View attachment 3185351
Jasusi waislamu ni wapumbavu milele daima ...hapo wanachekelea kama mazuzu...kumbe ni mtego wa mabeberu
 
Kwa utumishi wa zaidi ya miaka 40 kama padri mkuu wa kanisa ya orthodox David Gould, kwa sasa anaitwa kwa majina ya Abdul Rahman amekua Muislamu rasmi.

Na hili limeanza baada ya kuenda Perth kuudhuria msiba wa ndugu yake, roho mtakatifu kamshukia na kujikuta kwenye mskiti wa eneo, (village mosque) na kulazimika kuomba mungu amuongoze kupata dini ya ukweli na haki.

Roho mtakatifu ikamsisitizia kwamba Uislamu ndo dini ya kweli katoa shahada na kua muislamu na sasa imeenda ku hijji kufanya umra nchini Saud Arabia, kuongeza shahadah yake.

My worry ni hi hapa, hawa watu wetu wanao amini sanaa wazungu kwa kila jambo, sasa wazungu wa meeanza kuamini Uislamu bàada ya kuona uislamu ndo njia peke ya ukweli dini zingine ni utapeli na ushogaa watafanya je?

View attachment 3185351
Toka lini ukristo ilikuwa dini ya Mungu, wendawazimu ndio hawajielewi na wendawazimu, au vichaa pekee yao ndio wanaweza kusema Mungu ana mtoto au 1=3.
 
Kwa utumishi wa zaidi ya miaka 40 kama padri mkuu wa kanisa ya orthodox David Gould, kwa sasa anaitwa kwa majina ya Abdul Rahman amekua Muislamu rasmi.

Na hili limeanza baada ya kuenda Perth kuudhuria msiba wa ndugu yake, roho mtakatifu kamshukia na kujikuta kwenye mskiti wa eneo, (village mosque) na kulazimika kuomba mungu amuongoze kupata dini ya ukweli na haki.

Roho mtakatifu ikamsisitizia kwamba Uislamu ndo dini ya kweli katoa shahada na kua muislamu na sasa imeenda ku hijji kufanya umra nchini Saud Arabia, kuongeza shahadah yake.

My worry ni hi hapa, hawa watu wetu wanao amini sanaa wazungu kwa kila jambo, sasa wazungu wa meeanza kuamini Uislamu bàada ya kuona uislamu ndo njia peke ya ukweli dini zingine ni utapeli na ushogaa watafanya je?

View attachment 3185351
Huko kwenu kwa Shetani kaallah, wanajifanya Wakristo ili wajifiche kufanya uchinjaji wa kaallah

View: https://x.com/jihadwatchRS/status/1873277931163648419
 
Kwa utumishi wa zaidi ya miaka 40 kama padri mkuu wa kanisa ya orthodox David Gould, kwa sasa anaitwa kwa majina ya Abdul Rahman amekua Muislamu rasmi.

Na hili limeanza baada ya kuenda Perth kuudhuria msiba wa ndugu yake, roho mtakatifu kamshukia na kujikuta kwenye mskiti wa eneo, (village mosque) na kulazimika kuomba mungu amuongoze kupata dini ya ukweli na haki.

Roho mtakatifu ikamsisitizia kwamba Uislamu ndo dini ya kweli katoa shahada na kua muislamu na sasa imeenda ku hijji kufanya umra nchini Saud Arabia, kuongeza shahadah yake.

My worry ni hi hapa, hawa watu wetu wanao amini sanaa wazungu kwa kila jambo, sasa wazungu wa meeanza kuamini Uislamu bàada ya kuona uislamu ndo njia peke ya ukweli dini zingine ni utapeli na ushogaa watafanya je?

View attachment 3185351
Mnadukuliwa!! Mwenzenu yupo kazini nyinyi mnakenua meno tu
 
Waislam mpokeeni, kaja sehemu sahihi kwake. Mmwambie mafundisho na maonyo ya mtume MSW.
 
Back
Top Bottom