Baada ya miaka 40 akiwa padri mkuu wa kanisa ya orthodox, David Gould, kasilimu

Baada ya miaka 40 akiwa padri mkuu wa kanisa ya orthodox, David Gould, kasilimu

Nenda Kwa Mwamposa Jumapili uone akina Ramadhan, Shaban, Asha wanavo batizwa Kwa wingi
Lakini hakuna mkiristo anajali hayo ni kawaida mno
hayo majina yasikutishe unaweza kuwa na Jina Rajabu,Ramadhani,Shabani lakini sio Muislam..kuna watu wa Mkoa X unakuta mtu anaitwa Sharif,Juma,Ramadhani Jumapili anaenda kanisani
 
Kila mtu ana haki ya kuamini anachoamini..

Lakini haibadilishi kweli.. Ni Yesu Kristo pekee ndio njia kweli na uzima
 
Kila mtu ana haki ya kuamini anachoamini..

Lakini haibadilishi kweli.. Ni Yesu Kristo pekee ndio njia kweli na uzima
Hi ni myth kuna rafiki yangu mkuristo nilimuuliza anionyeshe Dini ya ukuristo kwenye Bibilia kakimbia mazima......sasa nikamuuliza utaguata je dini ambayo hata kwenye kitabu anacho amini haipo??
 
Kwa utumishi wa zaidi ya miaka 40 kama padri mkuu wa kanisa ya orthodox David Gould, kwa sasa anaitwa kwa majina ya Abdul Rahman amekua Muislamu rasmi.

Na hili limeanza baada ya kuenda Perth kuudhuria msiba wa ndugu yake, roho mtakatifu kamshukia na kujikuta kwenye mskiti wa eneo, (village mosque) na kulazimika kuomba mungu amuongoze kupata dini ya ukweli na haki.

Roho mtakatifu ikamsisitizia kwamba Uislamu ndo dini ya kweli katoa shahada na kua muislamu na sasa imeenda ku hijji kufanya umra nchini Saud Arabia, kuongeza shahadah yake.

My worry ni hi hapa, hawa watu wetu wanao amini sanaa wazungu kwa kila jambo, sasa wazungu wa meeanza kuamini Uislamu bĆ ada ya kuona uislamu ndo njia peke ya ukweli dini zingine ni utapeli na ushogaa watafanya je?

View attachment 3185351
Kumbe kwenye uislam kuna roho mtakatifu
 
Ile ahadi ya mabikra 72 peponi imefanya kazi
Usijejee na kuja na kebehi hapa hata mimi na wewe tunatakiwa tujitafakari tulipo kama ni mahali sahihi? miaka 40 aliyohudumu kwenye kanisa na kuchagua dini ya kiislam mahali sahihi ata mimi na wewe tunatakiwa kupinda goti kujua hasa nini huyu mzee ameona.

Si matusi wala kebehi, mambo mazuri huja na facts baadae ukafanya maamuzi sahihi. sote tunakubaliana kwamba hapa duniani tunapita tu. ni vyema kujifunza ukweli ni nini marejeo yetu kwa Mola muumba.
 
Hi ni myth kuna rafiki yangu mkuristo nilimuuliza anionyeshe Dini ya ukuristo kwenye Bibilia kakimbia mazima......sasa nikamuuliza utaguata je dini ambayo hata kwenye kitabu anacho amini haipo??
Lazima akimbie.. Ukristo sio dini.. Ukristo ni maisha..
 
Kwa utumishi wa zaidi ya miaka 40 kama padri mkuu wa kanisa ya orthodox David Gould, kwa sasa anaitwa kwa majina ya Abdul Rahman amekua Muislamu rasmi.

Na hili limeanza baada ya kuenda Perth kuudhuria msiba wa ndugu yake, roho mtakatifu kamshukia na kujikuta kwenye mskiti wa eneo, (village mosque) na kulazimika kuomba mungu amuongoze kupata dini ya ukweli na haki.

Roho mtakatifu ikamsisitizia kwamba Uislamu ndo dini ya kweli katoa shahada na kua muislamu na sasa imeenda ku hijji kufanya umra nchini Saud Arabia, kuongeza shahadah yake.

My worry ni hi hapa, hawa watu wetu wanao amini sanaa wazungu kwa kila jambo, sasa wazungu wa meeanza kuamini Uislamu bĆ ada ya kuona uislamu ndo njia peke ya ukweli dini zingine ni utapeli na ushogaa watafanya je?

View attachment 3185351

View: https://youtu.be/w1AoQrSgJNI?feature=shared
 
Ukitaka kucheka muulize alichoamini katika uislam then kichambue utacheka kufa... sasa hiyo Shahada tu ni ushahidi wa uongo. Kusema unashuhudia kuwa Mungu ni mmoja na mudy ndie mtume wake..
Ushahidi ni lazima uone kwa macho yaani umeshihudia so shahada ni ushahidi wa uongo
 
Sasa unatumia kigezo gani kusema kwamba dini ilio hama ndo ya ukweli na hakua huko kwasababu ya hisia tu hizo hizo? Tufikie mahara tupokee na kuheshimu maamuzi ya wengine.
Sijasema huko halipokua ndio dini ya kweli, lakini pia yeye kubadili dini hakufanyi huko alikohamia kua ndio dini ya kweli, kumbuka huyo ni mwanadamu tu.

Naona mnafungua mpaka uzi kutaka kutuaminisha kwamba huko alikohamia ndio mahali sahihi, au kwa kua ni mzungu
 
Huwa mnatafuta ukubwa fake
Sasa mtu kukengeuka nakujiunga na dini yenu ni habari ya kuleta Uzi.
Watu wanaenda hadi Kwa sangoma na Sangoma yupo kimya Haji kutamba
Yaani bado zama hizi za maarifa , vitabu viko wazi bado una mawazo muwa logic ya uislamu ni SANGOMA ?...
the more the global network the more knowledge inakuwa exposed....
Mimi nina rafiki anaeleza kuwa before internet kuna maswali alikuwa anakosa majibu....kila anapoenda church na kuhojiana wataalam, anapewa shortcut answers
 
Back
Top Bottom