Baada ya miaka 40 akiwa padri mkuu wa kanisa ya orthodox, David Gould, kasilimu

Huwa mnatafuta ukubwa fake
Sasa mtu kukengeuka nakujiunga na dini yenu ni habari ya kuleta Uzi.
Watu wanaenda hadi Kwa sangoma na Sangoma yupo kimya Haji kutamba
Naona uzi umekuchoma sana,kunywa maji upumzike,
Kila mtu yupo huru kuamini anachokiamini,

Kama uliona huu uzi hauna maana,kwanini umeusoma na kuuchangia?
ungepita kimya tu.
 
hakuna haja ya kuvikuza hivi visa na kuvitangaza, mnatakiwa muelewe ni mambo ya kawaida

akili ya binadamu ipo flexible, ndo upekee wake

misimamo ya watu inaweza kubadilishwa wakati wowote kwa namna za ajabu, na sio vibaya

tuwaache watu wafuate vile wanavyoona ni kweli kwao
Kwani hivyo vitu vikitangazwa,wewe vinakuathiri vipi katika maisha yako binafsi?

JamiiForums is an open forums.
 
Naona uzi umekuchoma sana,kunywa maji upumzike,
Kila mtu yupo huru kuamini anachokiamini,

Kama uliona huu uzi hauna maana,kwanini umeusoma na kuuchangia?
ungepita kimya tu.
Nenda Kwa Mwamposa Jumapili uone akina Ramadhan, Shaban, Asha wanavo batizwa Kwa wingi
Lakini hakuna mkiristo anajali hayo ni kawaida mno
 
Bongo kuna chungaji moja linaitwa mwaipopo lilikimbilia uislam, na sasa linaonekana kituko tu huko. Si ajabu linatamani kurudi lilikotoka ila linaona aibu
Jikite kwenye mada,au anzisha mada yako kuhusu hili,tutakuja kuchangia,
Naona uzi umekuuma sana mpaka unatafuta njia za kujifariji,

Kila mtu yupo huru kuamini anachokiamini,
Heshimu maamuzi ya watu.
 
Nenda Kwa Mwamposa Jumapili uone akina Ramadhan, Shaban, Asha wanavo batizwa Kwa wingi
Lakini hakuna mkiristo anajali hayo ni kawaida mno
Endelea kujifariji,

Kwani wao wakitangaza,wewe inakuathiri nini?
 
Bongo kuna wakristo wengi tena ni wapentekoste walitoka kwenye uislam na maisha yao yanapendeza hakuna wa kushangaa maana kristo ni wa watu wote
 
Kwa utumishi wa zaidi ya miaka 40 kama padri mkuu wa kanisa ya orthodox David Gould, kwa sasa anaitwa kwa majina ya Abdul Rahman amekua Muislamu rasimi.

Na hili limeanza baada ya kuenda Perth kuudhuria msiba wa ndugu yake, roho mtakatifu kamshukia na kujikuta kwenye mskiti wa eneo, (village mosque) na kulazimika kuomba mungu amuongoze kupata dini ya ukweli na haki. roho mtakatifu ikamsisitizia kwamba Uislamu ndo dini ya kweli katoa shahada na kua muislamu na sasa imeenda ku hijji kufanya umra nchini Saud Arabia, kuongeza shahadah yake.

My worry ni hi hapa, hawa watu wetu wanao amini sanaa wazungu kwa kila jambo, sasa wazungu wa meeanza kuamini Uislamu bàada ya kuona uislamu ndo njia peke ya ukweli dini zingine ni utapeli na ushogaa watafanya je?
 
Kwani nani kakwambia ushangae?

Kama ni kweli,sasa mbona huu uzi umekuuma?

Usingechangia wala kuusoma,ningeamini hayo usemayo kua hili sio jambo la kushangaa,
nakuona kabisa kua huu uzi umekuchoma sana,heshimu maamuzi ya watu.
 
Kwa utumishi wa zaidi ya miaka 40 kama padri mkuu wa kanisa ya orthodox David Gould, kwa sasa anaitwa kwa majina ya Abdul Rahman amekua Muislamu rasimi.

Na hili limeanza baada ya kuenda Perth kuudhuria msiba wa ndugu yake, roho mtakatifu kamshukia na kujikuta kwenye mskiti wa eneo, (village mosque) na kulazimika kuomba mungu amuongoze kupata dini ya ukweli na haki. roho mtakatifu ikamsisitizia kwamba Uislamu ndo dini ya kweli katoa shahada na kua muislamu na sasa imeenda ku hijji kufanya umra nchini Saud Arabia, kuongeza shahadah yake.

My worry ni hi hapa, hawa watu wetu wanao amini sanaa wazungu kwa kila jambo, sasa wazungu wa meeanza kuamini Uislamu bàada ya kuona uislamu ndo njia peke ya upukweli dini zingine ni utapeli na ushogaa watafanya je?

Kwa utumishi wa zaidi ya miaka 40 kama padri mkuu wa kanisa ya orthodox David Gould, kwa sasa anaitwa kwa majina ya Abdul Rahman amekua Muislamu rasmi.

Na hili limeanza baada ya kuenda Perth kuudhuria msiba wa ndugu yake, roho mtakatifu kamshukia na kujikuta kwenye mskiti wa eneo, (village mosque) na kulazimika kuomba mungu amuongoze kupata dini ya ukweli na haki.

Roho mtakatifu ikamsisitizia kwamba Uislamu ndo dini ya kweli katoa shahada na kua muislamu na sasa imeenda ku hijji kufanya umra nchini Saud Arabia, kuongeza shahadah yake.

My worry ni hi hapa, hawa watu wetu wanao amini sanaa wazungu kwa kila jambo, sasa wazungu wa meeanza kuamini Uislamu bàada ya kuona uislamu ndo njia peke ya ukweli dini zingine ni utapeli na ushogaa watafanya je?

View attachment 3185351
Mtu kubadili dini na kuhamia dini nyingine hakufanyi kua dini aliyoamia kua ndio dini ya kweli kumbuka huyo ni binadamu tu kama binadamu wengine na mara nyingi binadamu tunaongozwa na hisia
 
Sasa unatumia kigezo gani kusema kwamba dini ilio hama ndo ya ukweli na hakua huko kwasababu ya hisia tu hizo hizo? Tufikie mahara tupokee na kuheshimu maamuzi ya wengine.
 
Kama unaona ni habari ndogo,ungepita kimya tu ila wanao ona ni habari kubwa wachangie,
Hatufanani,unataka wote tuwe kama wewe?
Lengo langu ni kuwaeleza nwacheni kuleta habari ndogo kama hizi
Post mambo ya uchumi, siasa nk
Sasa wewe kunatuletea habari za mtu kuhama dini
 
Kwa utumishi wa zaidi ya miaka 40 kama padri mkuu wa kanisa ya orthodox David Gould, kwa sasa anaitwa kwa majina ya Abdul Rahman amekua Muislamu rasmi.

Na hili limeanza baada ya kuenda Perth kuudhuria msiba wa ndugu yake, roho mtakatifu kamshukia na kujikuta kwenye mskiti wa eneo, (village mosque) na kulazimika kuomba mungu amuongoze kupata dini ya ukweli na haki.

Roho mtakatifu ikamsisitizia kwamba Uislamu ndo dini ya kweli katoa shahada na kua muislamu na sasa imeenda ku hijji kufanya umra nchini Saud Arabia, kuongeza shahadah yake.

My worry ni hi hapa, hawa watu wetu wanao amini sanaa wazungu kwa kila jambo, sasa wazungu wa meeanza kuamini Uislamu bàada ya kuona uislamu ndo njia peke ya ukweli dini zingine ni utapeli na ushogaa watafanya je?

View attachment 3185351
Mbona wapo wengi tu? Muwapokee na tamaduni zao pia...hongereni sana.View attachment 3185387
Screenshot_20241226_105236_Google.jpg
 
Waislamu na wasabato hizi ndo habari zao bila shaka mtoa mada utakua Moja kati ya hayo madhehebu
 
Mm Bado nafanyia utafiti kuhusu hii issue ya bikra 72 nikigundua ni kweli na sio fiksi basi naslim faster ,

Imagine utamu unaoupata ukichakata bikra mmoja kesho unaambiwa unakabidhiwa 72 na nguvu za uchakataji unapewa maradufu How Do your Dudu fee? Ila hapo sijajua kwamba ukishabikir unaletewa zingine 72 au zile 72 za mwanzo zinarudishwa kwenye default mode?
 
Kwani hivyo vitu vikitangazwa,wewe vinakuathiri vipi katika maisha yako binafsi?

JamiiForums is an open forums.
nisikilize mvunja barafu,

dini zikiendekeza habari za namna hii, zitajenga chuki, dini zinatakiwa zi'co-exist'

uislamu sio ukweli pekee kwenye hii dunia

dini zijikite kwenye kutangaza mafundisho yake tu
 
Back
Top Bottom