BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sasa wataangaliwa na wengi sana.
Mimi leo ndio nimesikiliza TBC Taifa...hehehehe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi leo ndio nimesikiliza TBC Taifa...hehehehe
Mimi ata nikikutana na mtu kavaa nguo za ccm simchukii tena, hii tabia imekuja baada ya stone kufa na mama yetu kushika hatamu ya uongoz.To be honest mimi niliacha kabisa kuangalia hotuba za Rais aliyepita baada ya kuona kwamba mh alikuwa anatukuna na kufokea watu km kawazaa yeye, maneno mengine ni kwenye nyimbo za mioasho lakini utayakuta kwenye hotuba yake, na jamaa alipenda mno kudharau watangulizi wake as if yeye ameleta kipya mno wakati watu ndo tumezidi kuwa masikini but hatimae kitabu chake duniani kimefungwa na mi nitamkumbuka kwa mabaya.
Awamu ya nne ulikuwa ukiniamsha usingizini nakutajia mawaziri wote na manaibu waziri ila awamu ya Magufuli nilikuwa namfahamu waziri mkata viuno na mpima samaki.
Hili ni funzo kwamba hata pale Mungu akitupa madaraka tusijipandishe sana tukasahau kwamba sisi ni binadamu wenye damu na nyama tu, muda wowote tunakufa na kuwa udongo.
TUISHI VIZURI NA WENZETU SIKU ZOTE HATA KAMA UNA MADARAKA MAKUBWA AU PESA NYINGI KUWA NA HESHIMA NA HEKIMA KWA WATU WOTE.
Cha ndaniHahahahaaa dah aisee.. kumbe nchi ilikuwa kwenye kifungo cha nje
Soon utarudi huko kwenye kutosikiliza hasa ikizingatiwa kuwa wote ni wanasiasa.To be honest mimi niliacha kabisa kuangalia hotuba za Rais aliyepita baada ya kuona kwamba mh alikuwa anatukuna na kufokea watu km kawazaa yeye, maneno mengine ni kwenye nyimbo za mioasho lakini utayakuta kwenye hotuba yake, na jamaa alipenda mno kudharau watangulizi wake as if yeye ameleta kipya mno wakati watu ndo tumezidi kuwa masikini but hatimae kitabu chake duniani kimefungwa na mi nitamkumbuka kwa mabaya.