Baada ya miaka 60 ya uhuru tunakopa IMF kujenga Madarasa?

Baada ya miaka 60 ya uhuru tunakopa IMF kujenga Madarasa?

Uhuru tulipata wa makaratasi ila uhuru kamili ni.uchumi imara kwa taifa hivyo hiyo kazi haijaanza. Ili ianze ondoa CCM madarakani kwani kazi yao ilikuwa kuleta Uhuru ilisjaisha kazi ya kujenga uchumi ni chama kingine au CCM mpya
 
Basi hiyo serikali kubwa ijichapishie hela zake za matumizi na mishahara na hela za kodi zetu zibaki kujenga Nchi ya kisasa na maendeleo yanayoakisi hii miaka 60 ya uhuru umri wa mzee anayestaafu kwa lazima.
Vipi kuhusu madini, gesi, utalii, bandari...

Hakuna haja ya kuchapisha Hela zake
 
Ni mshangao mkubwa TZ baada ya miaka 60 tunakopa tena kwa riba fedha za kujenga madarasa ya shule Za sekondari.?

Kama Taifa tujiulize tumekosea wapi au tumelogwa na nani?

Nilitarajia mikopo iombwe kwa ajili ya miradi mikubwa mfano SGR .

Next year kuna uwezekano kuomba tena mkopo kutoka WB kwa ajili ya ujenzi wa matundu ya vyoo kwa ajili ya shule za sekondari.

Bajeti ya Serikali Kuu 2021/22 ya maendeleo iko wapi na imeelekezwa kufanya shughuli zipi Za maendeleo?

Ni Muhimu kukopa ila kwa ajili ya miradi ya Kimkakati Ili ichangie ajira na pato la Taifa ila madarasa serikali ilikuwa na uwezo na sababu ya kuyajenga bila mikopo na riba.
CCM huwa hawataki kabisa nyuzi kama hizi zisambae, hizi wanaziita uchochezi yaani unachochea wananchi kuichukia Serikali yao... kwa hiyo wewe na gaidi hamna tofauti yoyote.
 
Tatizo sio serikali,tatizo no wananchi ujinga mwingi.......jitu kipato chake cha kuunga unga linaoa wake kibao na kushinda kwenye ulevi.
Mtu maisha magumu ana watoto 6 chini ya miaka 10 wote.
Watu hawataki kwenda shule,walioenda hawataki kutoka nje ya mipaka yao kusaka ajira na chochote kile cha harari.
Jitu limevaa nguo zote za mtumba,limeweka kitambi chake cha utapia mlo linaponda wazungu,wakati likizaa ovyo ovyo linapeleka watoto wake kwenye hizo chanjo.
Serikali wala haina makosa,ni ujinga wa raia tu.....watu kibao bongo hii waliojitambua wanaishi kama New-York
 
Madini yote

Gesi

Mafuta

Bandari

Utalii

Na bado wameleta TOZO

NA Sasa wanakopa

Tatizo ni kuwa na serikali kubwa mno, na utitiri wa viongozi Bila kuleta tija. Posho, V8, mafuta, nyumba, etc
Nina mdogo wangu wa mwisho yupo Tamisemi -Dom, anaishi jirani na mkuu wa idara hapo Tamisemi.
Cha kustaajabu asubuhi zinapaki Toyota LC VX V8 mbili kuja kuwachukua wafanyakazi wawili majirani ambao wanafanya kazi jengo moja!
Huu tuuite ni unini kama sio matumizi ya hovyo!!??
CCM ni laana.
 
Ni mshangao mkubwa TZ baada ya miaka 60 tunakopa tena kwa riba fedha za kujenga madarasa ya shule Za sekondari.?

Kama Taifa tujiulize tumekosea wapi au tumelogwa na nani?

Nilitarajia mikopo iombwe kwa ajili ya miradi mikubwa mfano SGR .

Next year kuna uwezekano kuomba tena mkopo kutoka WB kwa ajili ya ujenzi wa matundu ya vyoo kwa ajili ya shule za sekondari.

Bajeti ya Serikali Kuu 2021/22 ya maendeleo iko wapi na imeelekezwa kufanya shughuli zipi Za maendeleo?

Ni Muhimu kukopa ila kwa ajili ya miradi ya Kimkakati Ili ichangie ajira na pato la Taifa ila madarasa serikali ilikuwa na uwezo na sababu ya kuyajenga bila mikopo na riba.
FB_IMG_1597733863117.jpg
 
Sidhani kama tulikuwa na mahitaji kweli ya lazima ya huu mkopo. Tanzania tulikuwa tayari tumejijengea utaratibu wetu wa community katika ngazi ya kata na vijiji kuchangia ujenzi wa miundo mbinu muhimu kwa ajili yao. Vituo vya afya, shule za sekondari, shule za msingi na zahanati.
Ninachomaanisha ni kwamba hatujashindwa kujenga madarasa kwa mtindo wetu ule. Na kama hatujashindwa, hatukupaswa kuchukua mkopo kwa kitu ambacho hatujashindwa.
Huu mkopo ni kama tumelazimishwa.
 
Kuna vitu vinavyotushinda sisi kama nchi kwa sasa. Lakini pia mkopo wenyewe ni kiduchu. Hivi sasa tax capacitu yetu sio chini ya 1.3T kwa kwezi. Sasa imagine unachukua mkopo unaolingana na makusanyo yako kwa mwezi na bado tulipie riba. Kama mimi kipato changu ni Milioni Moja(Tsh. 1, 000, 000) kwa mwezi, nikitaka mkopo, nikakope milioni moja kwa riba? Sio uzembe wa haki ya juu kweli?
 
Back
Top Bottom