Landson Tz
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 304
- 238
Vipi kuhusu madini, gesi, utalii, bandari...Basi hiyo serikali kubwa ijichapishie hela zake za matumizi na mishahara na hela za kodi zetu zibaki kujenga Nchi ya kisasa na maendeleo yanayoakisi hii miaka 60 ya uhuru umri wa mzee anayestaafu kwa lazima.
CCM huwa hawataki kabisa nyuzi kama hizi zisambae, hizi wanaziita uchochezi yaani unachochea wananchi kuichukia Serikali yao... kwa hiyo wewe na gaidi hamna tofauti yoyote.Ni mshangao mkubwa TZ baada ya miaka 60 tunakopa tena kwa riba fedha za kujenga madarasa ya shule Za sekondari.?
Kama Taifa tujiulize tumekosea wapi au tumelogwa na nani?
Nilitarajia mikopo iombwe kwa ajili ya miradi mikubwa mfano SGR .
Next year kuna uwezekano kuomba tena mkopo kutoka WB kwa ajili ya ujenzi wa matundu ya vyoo kwa ajili ya shule za sekondari.
Bajeti ya Serikali Kuu 2021/22 ya maendeleo iko wapi na imeelekezwa kufanya shughuli zipi Za maendeleo?
Ni Muhimu kukopa ila kwa ajili ya miradi ya Kimkakati Ili ichangie ajira na pato la Taifa ila madarasa serikali ilikuwa na uwezo na sababu ya kuyajenga bila mikopo na riba.
Nina mdogo wangu wa mwisho yupo Tamisemi -Dom, anaishi jirani na mkuu wa idara hapo Tamisemi.Madini yote
Gesi
Mafuta
Bandari
Utalii
Na bado wameleta TOZO
NA Sasa wanakopa
Tatizo ni kuwa na serikali kubwa mno, na utitiri wa viongozi Bila kuleta tija. Posho, V8, mafuta, nyumba, etc
Ni mshangao mkubwa TZ baada ya miaka 60 tunakopa tena kwa riba fedha za kujenga madarasa ya shule Za sekondari.?
Kama Taifa tujiulize tumekosea wapi au tumelogwa na nani?
Nilitarajia mikopo iombwe kwa ajili ya miradi mikubwa mfano SGR .
Next year kuna uwezekano kuomba tena mkopo kutoka WB kwa ajili ya ujenzi wa matundu ya vyoo kwa ajili ya shule za sekondari.
Bajeti ya Serikali Kuu 2021/22 ya maendeleo iko wapi na imeelekezwa kufanya shughuli zipi Za maendeleo?
Ni Muhimu kukopa ila kwa ajili ya miradi ya Kimkakati Ili ichangie ajira na pato la Taifa ila madarasa serikali ilikuwa na uwezo na sababu ya kuyajenga bila mikopo na riba.
Sidhani kama tulikuwa na mahitaji kweli ya lazima ya huu mkopo. Tanzania tulikuwa tayari tumejijengea utaratibu wetu wa community katika ngazi ya kata na vijiji kuchangia ujenzi wa miundo mbinu muhimu kwa ajili yao. Vituo vya afya, shule za sekondari, shule za msingi na zahanati.Ni mshangao mkubwa TZ baada ya miaka 60 tunakopa tena kwa riba fedha za kujenga madarasa ya shule Za sekondari.?