Baada ya miaka mitano hawa ma-celebz watakuwa wapi?

Mambo yatakua magumu kwao umejuaje? Wewe ni Mungu? Sometimes tuwe tunafikiria mambo ya maana.Wakati kama huu nchi ipo kwenye attention kubwa ya kura ya maoni ya katiba na uchaguzi mkuu wewe unawaza miaka mitano baadaye ya akina wema!

Kuna jamaa yetu mmoja amekuwa kama chizi mkikaanaye hataki stori zingine zaidi ya siasa
Yaani ukitaja tu si Man U au Barcelona au sijui Ali kiba aisee atakucrash balaa, eti nchi ipo kipindi kigumu nyie mnaongelea Chelsea?..... Eboooooo

Kura za maoni haziwezi kusimamisha maisha na interest zingine zisiendelee bana

Na kukusaidia tu usije kabisa jukwaa hili maana huku hawajadili kura za maoni kabisaaaaaa

Btw nahakika asilimia kubwa ya post zako ni mambo kama haya
 

Sana ago matycoon kila siku wanakuwa mufilisi.Acha kujifanya unafanya kazi insurance anayokatia bill gates.
Pia wewe mwongo mwongo.
 
Sana ago matycoon kila siku wanakuwa mufilisi.Acha kujifanya unafanya kazi insurance anayokatia bill gates.
Pia wewe mwongo mwongo.

Hata Bill Gate akifilisika hawezi kugongea 100, hizi story nyingine mpeane huko kwenye ubanda.
 

kimahesabu ungejiuliza j.lo yuko wapi
 
Hata Bill Gate akifilisika hawezi kugongea 100, hizi story nyingine mpeane huko kwenye ubanda.

Kwani USA wanatumia shs hayo madafu so kutumia 100 sijazungumzia bongo acha kukariri.
Shida yako simsomaji wa vitu punguza kusoma magazeti ya udaku.
Yeye kweli Tajiri namba 1 duniani asset zake kweli zina thamani ya more than 87 billion hizi $.
Ila kuwa Filisika kupo palepale wewe unadhani sheria ya kutangaza mtu kafilisika ni option ile ni ukiishiwa wanakamata sijui umesema insurance unabakizwa mweupe.
 


Nijuacho mimi kuwa hata misukule huwa inachoka kufugwa....hivyo sitoshangaa mabwana wanaowaweka hawa mastaa uchwara mujini wakaja kuchoka pia na hawa mastaa uchwara wakaanza kujiuza kule Sodoma (Sinza), tena kwa bei ya glasi moja ya gongo (2,500).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…