Mambo yatakua magumu kwao umejuaje? Wewe ni Mungu? Sometimes tuwe tunafikiria mambo ya maana.Wakati kama huu nchi ipo kwenye attention kubwa ya kura ya maoni ya katiba na uchaguzi mkuu wewe unawaza miaka mitano baadaye ya akina wema!
Kuna jamaa yetu mmoja amekuwa kama chizi mkikaanaye hataki stori zingine zaidi ya siasa
Yaani ukitaja tu si Man U au Barcelona au sijui Ali kiba aisee atakucrash balaa, eti nchi ipo kipindi kigumu nyie mnaongelea Chelsea?..... Eboooooo
Kura za maoni haziwezi kusimamisha maisha na interest zingine zisiendelee bana
Na kukusaidia tu usije kabisa jukwaa hili maana huku hawajadili kura za maoni kabisaaaaaa
Btw nahakika asilimia kubwa ya post zako ni mambo kama haya