Baada ya miaka mitano hawa ma-celebz watakuwa wapi?

Mambo yatakua magumu kwao umejuaje? Wewe ni Mungu? Sometimes tuwe tunafikiria mambo ya maana.Wakati kama huu nchi ipo kwenye attention kubwa ya kura ya maoni ya katiba na uchaguzi mkuu wewe unawaza miaka mitano baadaye ya akina wema!
 
we bo.ya nini....kama kura za maoni si uende huko jukwaa la siasa!!...kwani lazima uchangie....unajikuta conscious wakati mburula.......kalaleeee
 
[emoji126] [emoji126] [emoji126]
Message sent.
 
Mambo yatakua magumu kwao umejuaje? Wewe ni Mungu? Sometimes tuwe tunafikiria mambo ya maana.Wakati kama huu nchi ipo kwenye attention kubwa ya kura ya maoni ya katiba na uchaguzi mkuu wewe unawaza miaka mitano baadaye ya akina wema!

Nimekupenda bureeeeee
 
Jamani tutenge wakati wa kutakiana mema sisi kila waqt kuwaziana mabaya!
 
sihusiki naoo ndo kwanza mimi nafanya yangu!
sina habari nao mm nageukia njia zanguu
 
watu wa ajabu humu ndani, sasa wewe unaingia jukwaa la celebrities halafu unaleta habari za siasa wapi na wapi.. kwani hatujui uwepo wa kura za maoni? kwani mleta mada hajui kuna majukwaa mengine na hili ndio relevant kwa swali lake? Steve junior , inawezekana ndio kina team Wema hao wanaleta siasa humu
 
Last edited by a moderator:
Wewe mleta mada wewe mwenyewe maisha yanakushinda 5 years unajua utakuwa wapi?Acha ubonya wa kuoneana wivu fanya yako.Hapa kila mtu hajui kesho bill gates mwenyewe kesho sio ajabu akagongea 100 au utajiri wake ukadouble yote yanawezekana so piga kimya.
 
Huyu jamaa aliyeleta uzi atakuwa mwenyekiti wa wachawi Mkoa wa Kigoma
 
watu wa ajabu humu ndani, sasa wewe unaingia jukwaa la celebrities halafu unaleta habari za siasa wapi na wapi.. kwani hatujui uwepo wa kura za maoni? kwani mleta mada hajui kuna majukwaa mengine na hili ndio relevant kwa swali lake? Steve junior , inawezekana ndio kina team Wema hao wanaleta siasa humu

boss ahsante kwa kunisaidia!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom