Baada ya miaka miwili anarudi na kuomba nimuoe bila mahari

Sio mchezo! Kuna kipindi nilikuwa nasikia baadhi ya makabila usijaribu kugusa na sikuamini, ila nilipoangukia huko ndo nikapewa somo moja laana!

Nimekoma bro!
 
Tusipepese macho,….. wewe ni mpumbavu sana kWa kuvumilia watu wa hovyo namna hiyo

Pili utakua na mapungufu makubwa ya uanaume

Tatu, some things define me, this is one of them!!! Stay away because kuendelea na huu ufala ni kudhalilisha all the fraternity
 
Mkuu, matusi sio ushauri, tuheshimiane tafadhali... Kama huwezi kunishauri pita zako mdogo mdogo hatuhitaji kuvunjiana heshima!

Yani unalinganisha 15m na uanaume?! kuwa serious mkuu
 
Samahani Kaka yangu nauliza sio kwa ubaya
Huyo Mwanamke ni kabila gani? Na huyo mama pia ni kabila gani?
 
Kama hii stori ni ya kweli basi wewe ni mpumbavu sana bwana mdogo
 
Kama hii stori ni ya kweli basi wewe ni mpumbavu sana bwana mdogo
Mimi sio mpumbavu bro, ningekuwa mpumbavu hata nisingeweza ku restart na kuweka mambo yangu sawa tena!

Narudia kusema, nilimsaidia nikijua nimepata mke sahihi, kukosea kuowa kupo na sio upumbavu
 
Mkuu, matusi sio ushauri, tuheshimiane tafadhali... Kama huwezi kunishauri pita zako mdogo mdogo hatuhitaji kuvunjiana heshima!

Yani unalinganisha 15m na uanaume?! kuwa serious mkuu
Huwezi kushauri kilichooza the whole story you are giving confirms that you are not a man!!!!

You can’t repeat the same textbook blunders over and over and over again

Any smart man would quick on incidence 1

Low IQ MUPPET
 
Huwezi kushauri kilichooza the whole story you are giving confirms that you are not a man!!!!

You can’t repeat the same textbook blunders over and over and over again

Any smart man would quick on incidence 1

Low IQ MUPPET
Wewe ndo sio mwanaume mzee, unajiona perfect kinoma! Sijui kwako mtu kuwa mwanaume ni nini?! Nimefanya makosa, nimerecover, naishi vizuri, familia yangu naitunza vizuri, nna katoto kangu kamoja, MIMI NI MWANAUME MZEE!

Kama wewe ni perfect na hujawahi fanya makosa fresh endelea kuishi ukifa uitwe Mtakatifu TIMING, pita kushoto mzee achana na mimi. Najikaza kulinda heshima ila unanilazimisha nionyeshe upande usiofaa
 
You don’t need to know the tribe

Hiyo ni dysfunctional family na mama na shemeji yako have joined forces to be scammers
Bro, mtu kwenye comment kauliza kabila, hata kumjibu ni kosa pia?!
 
Wa Mbeya vijijini ndani ndani huko
Aysee haya turudi kwenye hoja

KatIka uislam Mtume wetu anafundisha wanaume kuangalia sifa hizi 4 muhimu ili kijana azitumie katika kufanya vetting ya mke

1. Dini yake (awe anaijua dini yake kwa Ku practice mafundisho )
2. Uzuri wake (awe ni mzuri kwako na akuvutie useme eeeh ua langu hili)
3. Ukoo wake (hapa anatakiwa ujue ukoo wake nadhani kwa case kama yako kwa Jambo hili tayari ame disco)
4. Mali zake ( hapa kama anampunga unaweza jiweka ila kwa salary ya 300k manake hapa Napo zero)


Haya unaweza angalia hapo ila katika mambo yote Ndoa sio kitu chakuparamia
 
You're very right! Namba 1&2 hizo zilikuwa safi, lakini hasa namba 3 hapo kweli niliingia chaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…