Madogo mnatuaibisha sanaBro, mtu kwenye comment kauliza kabila, hata kumjibu ni kosa pia?!
Kama tayari umemove on na una mtoto…. Then unatafuta ushauri gani zaidi??Wewe ndo sio mwanaume mzee, unajiona perfect kinoma! Sijui kwako mtu kuwa mwanaume ni nini?! Nimefanya makosa, nimerecover, naishi vizuri, familia yangu naitunza vizuri, nna katoto kangu kamoja, MIMI NI MWANAUME MZEE!
Kama wewe ni perfect na hujawahi fanya makosa fresh endelea kuishi ukifa uitwe Mtakatifu TIMING, pita kushoto mzee achana na mimi. Najikaza kulinda heshima ila unanilazimisha nionyeshe upande usiofaa
Sometimes it's better kushare ili kuwaokoa wengineKama tayari umemove on na una mtoto…. Then unatafuta ushauri gani zaidi??
Why you like to waste your time and energy ?
Mh! Is it possible the first day unaombwa 2M!?Sometimes it's better kushare ili kuwaokoa wengine
Ni kweli haiwezekani, ndio maana hicho kitendo kilianza kunipa mashaka ila haikuwa sababu ya kumuacha huyo binti hapo hapo maana sio yeye aliyeomba hiyo amount the first day, ila ni mama yake na kaka yake. Huyo binti nilifahamiana nae kitambo na tulikuwa fresh tu, ila shida ilianza pale tu alipoenda kunitambulisha kwao.Mh! Is it possible the first day unaombwa 2M!?
Kwa jamii za kitanzania hiyo ni impossible labda ungetoa mwenyewe bila kuombwa kwa lengo la kujipendekeza.
Hopes! Nilidhani nimepata mke
Hopes! Nilidhani nimepata mke
Acha tu bro! Nilikuwa kipofu, nadhani kuna namna walinifanyia 😄Ile ilikuwa red flag kabisa......siku ya kwanza unapigwa mzinga wa 2M....na inaonyesha ndo michezo yao hata huyo demu kujifanya amepanic baada ya kuona kikaratasi.....alikuwa anakuzuga tu lao lilikuwa moja.
Siirudii ile familia kaka, hata iweje 😄😄Ukirudiana naye wanaenda kukumaliza😁😁
Nikupe pole kwa kukiri kuwa wewe ni BOYA mzee. Mi nilifanya makosa kweli ila nikafanikiwa kutoka huko na sasa mambo yangu yako fresh, sasa jitahidi na we utoke huko maana utakuwa umechukua nafasi yangu 😊Nilikuwa najua nikiingia kwenye mashindano ya Maboya nitashinda. Kumbe ningeshika nafasi ya pili nyuma ya mleta mada.
Kuleta huu uzi hapa ni kuwaokoa na wengine kiongozi, haikuwa rahisi kwangu kutuliza akili na kurecover kwahiyo hakuna namna yoyote wanaweza fanya sahivi wakanipata tena!Familia nyingine zina watu WA hovyoo ,.Hivi huwa ni ushirikina au nini??,.
We itakua ulirogwa sio bure..na Kwanza Tu kitendo cha kuwapokelea simu na kuwasikiliza tena itakua kunakitu washakufanyia kwasabu wameona kwako kuna mserereko
Nikwambie Tu huna mda mrefu unarudiana na huyo dada japo hautaleta Uzi humu
Utoto tuKama tayari umemove on na una mtoto…. Then unatafuta ushauri gani zaidi??
Why you like to waste your time and energy ?
Sasa mkuu, angalau ungesema kwanza kosa kubwa ni lipi hapo, ni kukutana na hiyo familia? au ni kutoa hizo pesa? Halafu ndo umuite kaka mkubwa sasa waje wanitandike 😄Maxence Melo huyu kijana afike ofisini kwako apigwe bakora 2 na kila moderator,,nawewe umtandike 5 safi..halafu arudi hapa tumshauri
Bro hii story imekuuma kuliko mimi iliyenipata, aise! Dah, hata nashindwa nikujibu nini tena mzee wangu maana umepanick kiasi kwamba unaanza kujibu comment zako mwenyewe! Anyways ulikua utoto kweli, yaishe sasa kuwa na amani 😄😄Utoto tu
Hana lolote
Brother nisikudanganye, kama sio mama yangu na mdogo wangu mmoja, basi mwaka 2024 pengine ningeandikwa kwenye magazeti. Nilipata majanga makubwa yaliyoinua hasira moja kali sana ndani yangu ila mwisho wa siku ilibidi nijifanye mjinga tu na kujifunza kuanza upya, la sivyo...Kwa Jinsi ninavo hangaika kujitafuta, NO. one will mess with my MONEY.
Nitafanya jambo la ajabu sana, litakalo andikwa kwenye kila Chombo cha habari ulimwenguni