Baada ya miaka miwili anarudi na kuomba nimuoe bila mahari

Mungu alikua anakuonesha nini kitatokea endapo ungemuoa huyo Binti ,Jifunze mkuu huoni wanakuhitaji wewe wakati wa Shida ?

Ukimuoa tu huyo Binti hapo umeoa ukoo mzima na chunga sana matukio ya siku hiziusishangae ukafa kifo cha kushtukiza Kwa maana Ndugu zake huyo dada Wana tamaa sana ila kama kichwa chako cha Chini hakielewi na hakisikii endelea mkuu.
 
Sahivi siendeshwi na kichwa cha chini, nimejifunza kukaza ndo maana tokea hicho kipindi nna katoto kamoja tu mkuu, haha... Nipo makini sahivi aise
 
uzuri 90% ya majibu wamekutukana wewe
Very sad 10% tu ndo wenye busara zao, na nna hakika hao 90% waliotukana wanapitia depression kali sana financially ndomana wamekasirika kama vile hao ndo huyo mkwe, shemeji au binti aliyekuwa anatafuta 2nd chance!

Uzuri matusi hayaondoi pumzi au kiungo chochote cha mwili zaidi ni kuonyesha jinsi akili za hao 90% ni finyu! Unakuta jitu lina 35-60 linajisifia kutukana na linaona ni ujanja kabisa, shame! Kwa mwanaume ujanja ni kutafuta rungu ya maisha bro (PESA) na sio kujisifu kwa matusi.

Anyways, na wewe ukitaka tukana hadi utapike πŸ˜‰
 
Muda mwingine huwa namlaumu Mungu kwa kuwapa wanaume mazoba aka simp-men kama wewe resources ambazo real masculine men walitakiwa kuwa nazo
 
Muda mwingine huwa namlaumu Mungu kwa kuwapa wanaume mazoba aka simp-men kama wewe resources ambazo real masculine men walitakiwa kuwa nazo
Endelea kujihesabia haki, utakufa vibaya Mtakatifu Kimbukiko
 
 

Attachments

  • 20260621_101836.jpg
    88.8 KB · Views: 5
au uli target mademu wakuone tajiri??????????????????????????mno uwale kimasikhara
 
Tupa namba zako zote sajiri namba mpya hama ulipokuwa unakaa tafuta makazi mengine rafiki zako waluokuwa wanafahamiana nao wapige marufuku kuwaelekeza uko wapi au namba zako mpya za cm

Hakuna mlokole anayeweza kuwekwa kinyuma akatoa unyumba harafu anaogopa kuzaa tu huyo ni zaidi ya shetwani

Kimbia wewe siyo ATM na unaweza logwa mpka hutoamini akinamama wenye mambo mengi hivyo hawakosi vibox
 
Kabisa bro, natafuta namna ya kufanya kabisa niwaepuke kwenye namba pia maana nimebadili ila wanafanya uhuni kunitafuta kama wateja kwenye namba ya office, hivi unajua imebidi nihame hadi nilipokuwa naishi?! Kuna mtu kanishauri hii ishu ipo serious hivyo wakinitafuta tena niende nikawaripoti, uzuri nina details zao woooote kuanzia copy za nida hadi leseni ya binti na huyo shemeji wa mchongo
 
L Lakin kwa mbali ni kama unamuelewa sana huyo Dem?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…