Brightburn
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 533
- 893
- Thread starter
-
- #361
Nilimpenda enzi hizo kabla hajageukia upande wa mama yake, tuliishi vizuri... ila naanza kuchoka kwasababu sahivi ananitafuta kwa namba za ofisi kama mteja maana alikuwa anaijua kazi yangu na huwa tunafanya promo sana, sio kwamba bado namuelewa ila najaribu kuwa hata na katone ka huruma tu angalau abaki mbali kama tulivyokuwa since 2024 bila yeye kupata majanga mengine, ila akiendelea itabidi nifanye maamuzi magumu tu!L
Lakin kwa mbali ni kama unamuelewa sana huyo Dem?
Mungu akutangulie ,hyo ni mission ( huyo muone kama adui namba Moja ktk maisha yakoNilimpenda enzi hizo kabla hajageukia upande wa mama yake, tuliishi vizuri... ila naanza kuchoka kwasababu sahivi ananitafuta kwa namba za ofisi kama mteja maana alikuwa anaijua kazi yangu na huwa tunafanya promo sana, sio kwamba bado namuelewa ila najaribu kuwa hata na katone ka huruma tu angalau abaki mbali kama tulivyokuwa since 2024 bila yeye kupata majanga mengine, ila akiendelea itabidi nifanye maamuzi magumu tu!
Nashukuru sana brother! Nitazingatia hiloMungu akutangulie ,hyo ni mission ( huyo muone kama adui namba Moja ktk maisha yako
Duh! Pole sana bro... Haya madeni sio mazuri kabisa aise, tena hizo kausha damu ndo hatari. Nilizijua karibia zote sababu ya huyo mama mkwe na bintieNdoa yangu imekufa mwaka huuu baada ya miaka 7 au 8 ya ndoa, tukiwa na watoto 2. sababu kubwa ni mamamkwe kua na maden mara kwa mara kweny hizi kausha damu. Story kama yako tu.
Za ugangaAwa watu wajinga ivi wanatoaga wapi izo ela za ivo.
Kuna mama mmoja mtaani kwetu alikuwa mbea mbea kama wewe, anajifanya anajua kuchunguza sana maisha ya watu tukampa jina la KICHUNGUZI... Naona linakufaa pia, otherwise wewe ndo huyo mganga ulinyenipa pesa 🤭Za uganga