umeandika maviNawapongeza kwa miaka yote mlijaribu lakini baada ya miaka zaidi ya 80 mmefanikiwa.
Kuna mtu mmoja anasema eti mwaka mmoja tu semi na hatuishii hapo.
Nawakumbusha ninyi siyo ihefu.Ninyi ni Dar young Africans mlioanza miaka mingi kabla ya uhuru na mafanikio mmekuja kuyabahatisha mwaka huu.
Hongereni
DuhView attachment 2625886
Nawapongeza kwa miaka yote mlijaribu lakini baada ya miaka zaidi ya 80 mmefanikiwa.
Kuna mtu mmoja anasema eti mwaka mmoja tu semi na hatuishii hapo.
Nawakumbusha ninyi siyo Ihefu, ninyi ni Dar Young Africans mlioanza miaka mingi kabla ya uhuru na mafanikio mmekuja kuyabahatisha mwaka huu.
Hongereni.
Hayaondoi ni sahihi kabisa.Haya yanga anacheza kombe looser sawa!!,
Haya yanga amecheza na timu inayoshuka daraja sawa,
Haya yanga wamekutana na timu mpya zote hazijawahi kushiriki sawa.
Yoteeeee hayo yanaondoa historia mpya ya GOLDEN GENERATION ya wachezaji wetu kuifikisha fainali Yanga?.
Pole maumivu yakikuzidi kunywa maji.... Kwahiyo thimba ilotoka moja kwa moja kufika Robo fainal?. Mbona katika maelezo yenu hamsemi kuwa mmewahi shiriki Mara kdhaa na kufeli?.Hayaondoi ni sahihi kabisa.
Ila wadau wanachopinga ni kujificha et tumeshiriki Kwa mara ya kwanza na kufika fainali ,uhuni upo hapo tu.
Ilipaswa mseme baada ya kuteseka Kwa muda mrefu sana miaka na miaka tukiangukia pua hatimae tumefanikisha jambo letu.
Watu wanakosoa sabab ya siasa zenu na ujanja ujanja mwingi sio wakweli.
Kwann mnficha neno kufeli Kwa miaka mingi ila mnakuja na ngonjera et tumeenda mara ya kwanza na kufika mbal, uhuni huu haukubalik
Una wivu wa kinyesi sana mleta mada. Just STUPID.View attachment 2625886