Baada ya miaka zaidi ya 80 hatimae kupitia timu iliyoshuka daraja Yanga inaingia Fainali

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
yangaf.jpg

Nawapongeza kwa miaka yote mlijaribu lakini baada ya miaka zaidi ya 80 mmefanikiwa.

Kuna mtu mmoja anasema eti mwaka mmoja tu semi na hatuishii hapo.

Nawakumbusha ninyi siyo Ihefu, ninyi ni Dar Young Africans mlioanza miaka mingi kabla ya uhuru na mafanikio mmekuja kuyabahatisha mwaka huu.

Hongereni.
 
Nawakumbusha ninyi siyo ihefu.Ninyi ni Dar young Africans mlioanza miaka mingi kabla ya uhuru na mafanikio mmekuja kuyabahatisha mwaka huu.

Hongereni
umeandika mavi
 
View attachment 2625886

Nawapongeza kwa miaka yote mlijaribu lakini baada ya miaka zaidi ya 80 mmefanikiwa.

Kuna mtu mmoja anasema eti mwaka mmoja tu semi na hatuishii hapo.

Nawakumbusha ninyi siyo Ihefu, ninyi ni Dar Young Africans mlioanza miaka mingi kabla ya uhuru na mafanikio mmekuja kuyabahatisha mwaka huu.

Hongereni.
Duh
 
Hivi ukikubali tu kuwa Yanga ni ya moto kuna shida Gani ewe kolowizard?💪💪

Sanamu zuri la Rage the Great linachelewa sana kujengwa! Hawa mbumbumbu ni almost half the population Sanamu is a necessity for now!
 
Haya yanga anacheza kombe looser sawa!!,
Haya yanga amecheza na timu inayoshuka daraja sawa,
Haya yanga wamekutana na timu mpya zote hazijawahi kushiriki sawa.
Yoteeeee hayo yanaondoa historia mpya ya GOLDEN GENERATION ya wachezaji wetu kuifikisha fainali Yanga?.
 
Hayaondoi ni sahihi kabisa.
Ila wadau wanachopinga ni kujificha et tumeshiriki Kwa mara ya kwanza na kufika fainali ,uhuni upo hapo tu.
Ilipaswa mseme baada ya kuteseka Kwa muda mrefu sana miaka na miaka tukiangukia pua hatimae tumefanikisha jambo letu.

Watu wanakosoa sabab ya siasa zenu na ujanja ujanja mwingi sio wakweli.
Kwann mnficha neno kufeli Kwa miaka mingi ila mnakuja na ngonjera et tumeenda mara ya kwanza na kufika mbal, uhuni huu haukubalik
 
Kusema kweli yanga wajengewe mnara pale dodoma tu.. Si munasikia kuwa ligi na ubora utapanda hadi 3
 
Hayaondoi ni sahihi kabisa.
Ila wadau wanachopinga ni kujificha et tumeshiriki Kwa mara ya kwanza na kufika fainali ,uhuni upo hapo tu.
Ilipaswa mseme baada ya kuteseka Kwa muda mrefu sana miaka na miaka tukiangukia pua hatimae tumefanikisha jambo letu.

Watu wanakosoa sabab ya siasa zenu na ujanja ujanja mwingi sio wakweli.
Kwann mnficha neno kufeli Kwa miaka mingi ila mnakuja na ngonjera et tumeenda mara ya kwanza na kufika mbal, uhuni huu haukubalik
Pole maumivu yakikuzidi kunywa maji.... Kwahiyo thimba ilotoka moja kwa moja kufika Robo fainal?. Mbona katika maelezo yenu hamsemi kuwa mmewahi shiriki Mara kdhaa na kufeli?.
 
View attachment 2625886

Nawapongeza kwa miaka yote mlijaribu lakini baada ya miaka zaidi ya 80 mmefanikiwa.

Kuna mtu mmoja anasema eti mwaka mmoja tu semi na hatuishii hapo.

Nawakumbusha ninyi siyo Ihefu, ninyi ni Dar Young Africans mlioanza miaka mingi kabla ya uhuru na mafanikio mmekuja kuyabahatisha mwaka huu.

Hongereni.
Una wivu wa kinyesi sana mleta mada. Just STUPID.
 
Back
Top Bottom