GE2025 Baada ya Mkutano wa Mwanza leo, Samia atakimbilia zake Kizimkazi kujificha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Dadi Barnea

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2024
Posts
746
Reaction score
1,512
Baada ya kumwaga petrol ya kutosha kila eneo Tanganyika, na baada ya mkutano usio na maana yoyote (empty pleasure) kule mwanza, Bi.Nwyinwyi na familia yake yote wataelekea zao Zanzibar na Dubai kujificha. Hatajipigia hiyo kura yake Dodoma wala Dar es Salaam. Shida za Bara hazimhusu mjue

Atakaa kule kuwafurahia akina Muliro, Mafwele, Mchengerwa na Makonda wanavotekeleza maagizo yake kuwapiga, kuwateka, kuwaumiza(kuwaua?) watoto wa Tanganyika.

Halaf wakati huo huo anawasimanga Watanzania walio katika diaspora, kuna mtu anaelewa??

Yan namtafakari huyu Bibi nashindwa kuelewa, ni hasira za kuolewa ukewenza mke wa 3 au ni incompetence tu???

Mungu Ibariki Tanganyika
 
Kizimkaz ni Tz na yeye ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano , akienda huko bado yuko nchini na siyo kujificha.

Kwahiyo punguza mawenge we ingia barabarani kama ulivyokua unapiga mikwara miezi yote.
 
Ingekuwa ni hivyo hata leo asingekuwa mwanza.. Nchi ipo Salama ni kheri uanze kujifunza kuzoea tena kwa mara nyingine kuwa ni Rais wako ajae pia
 
ccmtanzania_d34a7066dab24c8cbe8f0553709a8ad7.jpg
 
Baada ya kumwaga petrol ya kutosha kila eneo Tanganyika, na baada ya mkutano usio na maana yoyote (empty pleasure) kule mwanza, Bi.Nwyinwyi na familia yake yote wataelekea zao Zanzibar na Dubai kujificha. Hatajipigia hiyo kura yake Dodoma wala Dar es Salaam. Shida za Bara hazimhusu mjue

Atakaa kule kuwafurahia akina Muliro, Mafwele, Mchengerwa na Makonda wanavotekeleza maagizo yake kuwapiga, kuwateka, kuwaumiza(kuwaua?) watoto wa Tanganyika.

Halaf wakati huo huo anawasimanga Watanzania walio katika diaspora, kuna mtu anaelewa??

Yan namtafakari huyu Bibi nashindwa kuelewa, ni hasira za kuolewa ukewenza mke wa 3 au ni incompetence tu???

Mungu Ibariki Tanganyika
Kwa hiyo akiwa Kizimkazi na Serikali itakuwa Kizimkazi?
 
Back
Top Bottom