GE2025 Baada ya Mkutano wa Mwanza leo, Samia atakimbilia zake Kizimkazi kujificha

GE2025 Baada ya Mkutano wa Mwanza leo, Samia atakimbilia zake Kizimkazi kujificha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Baada ya kumwaga petrol ya kutosha kila eneo Tanganyika, na baada ya mkutano usio na maana yoyote (empty pleasure) kule mwanza, Bi.Nwyinwyi na familia yake yote wataelekea zao Zanzibar na Dubai kujificha. Hatajipigia hiyo kura yake Dodoma wala Dar es Salaam. Shida za Bara hazimhusu mjue

Atakaa kule kuwafurahia akina Muliro, Mafwele, Mchengerwa na Makonda wanavotekeleza maagizo yake kuwapiga, kuwateka, kuwaumiza(kuwaua?) watoto wa Tanganyika.

Halaf wakati huo huo anawasimanga Watanzania walio katika diaspora, kuna mtu anaelewa??

Yan namtafakari huyu Bibi nashindwa kuelewa, ni hasira za kuolewa ukewenza mke wa 3 au ni incompetence tu???

Mungu Ibariki Tanganyika
watakuwa wamefanya jambo la maana sana. Kama watafanya mistake kumpigisha kura sehemu ya wazi kama ilivyo kawaida, kuna hatari ya bendera kupepea nusu mlingoti.

Kuna watu hadi muda huu wapo targeted halafu wote ni wazito tupu. Hili wala si la kupuuzia.Kwenye vituo vya kupigia kura kuna watalebani wapo standby kusepa na kijiji. kuna baadhi ya vituo vipo on target ni hayo tu kwa leo.
 
Back
Top Bottom