Dadi Barnea
JF-Expert Member
- Nov 30, 2024
- 746
- 1,512
Bora hata angekuwa mmeo.Mlitaka nani awe rais?
Inasikitisha sanaAtakaa kule kuwafurahia akina Muliro, Mafwele, Mchengerwa na Makonda wanavotekeleza maagizo yake kuwapiga, kuwateka, kuwa
😁😁😁 KIFO ni KIFO tu!Lolote baya limpate asilione jua la kesho
Bora hata tubaki bila rais, huyo mama uwezo wake mdg mnooo...hawezi kuchambua masuala ya uchumi au kisheria popote pale duniani mbele ya jamii ya wasomi wakamuelewa!.Mlitaka nani awe rais?
Haina shida..Basha wako anayekufira
Msilete mbwembwe hapa..Bora hata angekuwa mmeo.
Kwa hiyo akiwa Kizimkazi na Serikali itakuwa Kizimkazi?Baada ya kumwaga petrol ya kutosha kila eneo Tanganyika, na baada ya mkutano usio na maana yoyote (empty pleasure) kule mwanza, Bi.Nwyinwyi na familia yake yote wataelekea zao Zanzibar na Dubai kujificha. Hatajipigia hiyo kura yake Dodoma wala Dar es Salaam. Shida za Bara hazimhusu mjue
Atakaa kule kuwafurahia akina Muliro, Mafwele, Mchengerwa na Makonda wanavotekeleza maagizo yake kuwapiga, kuwateka, kuwaumiza(kuwaua?) watoto wa Tanganyika.
Halaf wakati huo huo anawasimanga Watanzania walio katika diaspora, kuna mtu anaelewa??
Yan namtafakari huyu Bibi nashindwa kuelewa, ni hasira za kuolewa ukewenza mke wa 3 au ni incompetence tu???
Mungu Ibariki Tanganyika
Kwahiyo hutaki mmeo kuwa Rais?Msilete mbwembwe hapa..
Kesho ingieni tuowaone mlivyo wanaume!
Acha mbwembwe za kurusha mipasho..siku yenyewe ni kesho, ingia makamanda tuwaone!Kwahiyo hutaki mmeo kuwa Rais?
Lolote baya limpate asilione jua la kesho
kesho anapiga kura yake Dodoma alipojiandikisha.Ameona isiwe tabu asepe zake mapema