Baada ya Mkwara wangu Kuzaa Matunda na leo Simba SC imeshinda japo kwa taabu naomba Kikosi hiki ndiyo kiwe kinaanza mwanzo mwisho tafadhali

Baada ya Mkwara wangu Kuzaa Matunda na leo Simba SC imeshinda japo kwa taabu naomba Kikosi hiki ndiyo kiwe kinaanza mwanzo mwisho tafadhali

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
FIRST ELEVEN YA USHINDI TUPU

1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein Zimbwe
4. Kennedy Wilson
5. Joash Onyango
6. Jonas Mkude Deco de Souza
7. Duncan Nyoni
8. Rally Bwalya
9. Meddie Kagere Mkombozi
10. Ibrahim Ajib Fundi wa Mpira
11. Kibu Denis Mpambanaji

SUBSTITUTES WA USHINDI TUPU

1. Beno Kakolanya
2. Israel Mwenda
3. Bernard Morrison
4. Chris Kope Mushimba Mugalu
5. Pape Ousmane Sakho
6. Henock Inonga Varane
7. Hassan Dilunga
8. Muzamir Yasin

WASHAURI WAKUU WA WACHEZAJI

1. John Boko
2. Erasto Nyoni

WACHEZAJI AMBAO SIJAWATAJA

Waendelee kuongeza bidii ya Mazoezi, Wajifunze kwa Wenzao na wasihofu watacheza tu hata katika Mechi za Mapinduzi, Kagame Cup na za Kirafiki pia.
 
Kibu Denis sijaona cha maana kwake zaidi ya kutumia minguvu. Hana control na ana papara.

Ajibu for ballon dor
Basi kwa Taarifa yako Wewe usiyejua Mpira hakuna Mchezaji Msumbufu, Mpambanaji na ambaye Nguvu zake zina Faida kwa Ufanisi wa Timu Kiuchezaji kama Kibu Denis.

Ana Mapungufu machache mno ila Kocha Matola, Hitimana na huyo Mkuu anayeenda Kutangazwa Ijumaa Saa 5 Asubuhi au Saa 9 Alasiri wakimrekebisha nakuhakikishia Kibu Denis anaenda kuwa Mbwana Samatta na tutauza Pesa ndefu na hata huko nje Afrika na Ulaya watamgombania.
 
Kibu Dennis Ni bonge la player
Presha ya kufunga ndo inayomuharibia
Ila Ni mzuri mno Kama atatulia

Paschal Serge Wawa Ni beki mxuri mwenye mapuuza ya kitoto

Onyango Kennedy juma na henock inonga Ni watu na nusu

Jonas mkude, raly bwalya na ibdahimu ajibu wanaweza kutengeneza partnership tishio pale katikati.
 
Namuona kama anapelea hiv ngoja nianze kumfatilia kibu ila katika ufungaji simuon huko
 
Kibu Dennis Ni bonge la player
Presha ya kufunga ndo inayomuharibia
Ila Ni mzuri mno Kama atatulia

Paschal Serge Wawa Ni beki mxuri mwenye mapuuza ya kitoto

Onyango Kennedy juma na henock inonga Ni watu na nusu

Jonas mkude, raly bwalya na ibdahimu ajibu wanaweza kutengeneza partnership tishio pale katikati.
Paragraph ya mwisho apo hao watatu Bwalya,Wamigomba na Nungunungu hao ndo wakuiokoa Simba msimu huu.
 
Banda ana nini Sasa hamsidi ata Denis nkane wa biashara
Yani Banda leo hii ndo wakufananishwa na watoto wa Biashara United.Mtu anacheza national team kaenda kucheza Ulaya kwa mkopo na kurejeshwa leo hii awe sawa na hao watoto.Banda lakini umewahi muona akicheza au kwa sababu unafata maneno ya wengi.Ukweli ni kwamba Banda ni mchezaji tishio hapa Afrika na duniani maana yule kashacheza Ulaya mwenzio, sasa kumpambanisha na watoto wa biashara unakuwa unamkosea heshima. Sema nini mi simlazimishi mtu kumuelewa Banda
 
Miluzi mimngi hupoteza mbwa, mwacheni kocha afanye kazi yake bila bugudha
 
Back
Top Bottom