Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
UTOPOLO hamna akili wanacheza na ujinga wenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwisho watazichapaUTOPOLO hamna akili wanacheza na ujinga wenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bila shakaOkay, bado yupo ile position ya VP CAF?
Tajiri wa mchongo [emoji1]Tajiri Lia lia [emoji23][emoji23]
Tukiwaambia makolo ni Mbu mbu mbu wanabishaImeingia eeeh chomoa uilambe, kolo wizard ww
Yes madam, Vice President of CAF inter-clubs competition and management of the club licensing system kutoka 2022 mpaka 2024.Okay, bado yupo ile position ya VP CAF?
Niliwahi kusoma sehenu zamani lakini sina uhakika kama alipata nafasi ile.
Kwani bibi wewe ni shabiki wa timu gani kati ya simba na yanga?Huyu binti yuko wapi siku hizi? Alikuwa analipendezesha soka la Tanzania.
Yupo zanzibarHuyu binti yuko wapi siku hizi? Alikuwa analipendezesha soka la Tanzania.
Yupo busy analea kichanga ,kijukuu cha Mzee wa Wazuri hawafiHuyu binti yuko wapi siku hizi? Alikuwa analipendezesha soka la Tanzania.
Taifa Stars.Kwani bibi wewe ni shabiki wa timu gani kati ya simba na yanga?
Namaanisha kati ya simba na yangaTaifa Stars.
Maza wako mlambaji mzuri sanaImeingia eeeh chomoa uilambe, kolo wizard ww
Nimemaanisha mimi ni mzalendo, sijali ni timu ipi, mradi ya Tanzania basi mimi ni shabiki wake.Namaanisha kati ya simba na yanga
You can not teach a dog old tricksMuda mfupi baada ya Mwekezaji wa Simba SC, Mo Dewji kuchapisha ujumbe kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii akidai kutoa karibu bilioni 3 kwenye usajili wa msimu huu aliyekuwa CEO wa klabu hiyo Barbara Gonzalez amechapisha ujumbe unaodhaniwa kuwa amemjibu bosi wake huyo kwa zamani.
Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii Barbara ameandika “A magic trick only works if the audience allows themselves to be fooled.” akiwa na maana ya “Janja janja za kichawi hufanya kazi pale tu hadhira inaporuhusu kudanganywa"
Na. @JeremiahSulle
#KitengeSports
NB: hawa ndugu wanashida Gani[emoji23][emoji23]View attachment 2713751
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
60mMichango ya ujenzi wa uwanja ilipatikana shilingi ngapi?