Baada ya Mo Dewji kupost pesa ya usajili Tsh Bilioni 3, Barbara naye ajibu

Baada ya Mo Dewji kupost pesa ya usajili Tsh Bilioni 3, Barbara naye ajibu

UTOPOLO hamna akili wanacheza na ujinga wenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20230809-215200_Instagram.jpg

.
 
Muda mfupi baada ya Mwekezaji wa Simba SC, Mo Dewji kuchapisha ujumbe kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii akidai kutoa karibu bilioni 3 kwenye usajili wa msimu huu aliyekuwa CEO wa klabu hiyo Barbara Gonzalez amechapisha ujumbe unaodhaniwa kuwa amemjibu bosi wake huyo kwa zamani.

Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii Barbara ameandika “A magic trick only works if the audience allows themselves to be fooled.” akiwa na maana ya “Janja janja za kichawi hufanya kazi pale tu hadhira inaporuhusu kudanganywa"

Na. @JeremiahSulle

#KitengeSports

NB: hawa ndugu wanashida Gani[emoji23][emoji23]View attachment 2713751

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
You can not teach a dog old tricks
 
Back
Top Bottom