enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,089
- 3,634
Yani game ihairishwe kisa kutekwa kwa Mo.
U can't be serious.
U can't be serious.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana Mkuu.Utakua ujinga wa karne!
Akina Ben Saa nane wenyewe hawakua watu?
Vipi Tundu Lisu yeye hana roho?
We are all humans, we all have the right to live.
Sio wengine waonekane kama malaika wakati wengine wanaokotwa kwenye viroba
Namuombea Heri Mo Dewji, ila sio kwa hizi exeggrations mnazofanya!
Mungu ajalie apatikane huyu kaka! Wasije na wenzetu wakatembeza bakuli
Ben saa8 amewahi kulipa mishahara ya simba??Utakua ujinga wa karne!
Akina Ben Saa nane wenyewe hawakua watu?
Vipi Tundu Lisu yeye hana roho?
We are all humans, we all have the right to live.
Sio wengine waonekane kama malaika wakati wengine wanaokotwa kwenye viroba
Namuombea Heri Mo Dewji, ila sio kwa hizi exeggrations mnazofanya!
Wewe ndio uache upuuzi..Acha upuuzi wewe Mo ni nani ashushe morali za wachezaji wa stars..?? MUNGU ANAJISIFU KWA KUTUUMBA BINADAMU NA WOTE TUKO SAWA MBELE ZA MUNGU.. ILA KUNA WAPUUZI WANATAKA KUJIONA WANATHAMANI KUBWA NA HAPO NDIPO TATIZO..
ikiwezekana huyo MO waondoke hata na macho yake... Masikini wakitekwa hakuna utafutaji wowote shenzi zenu... Siku atatekwa mtu mkubwa wa serikali na muanze kuhangaika..
Binadamu gani huyoNinaishia hapo mkuu
kwa hiyo MO akifa, na Simba imekufa!Mkuu hebu mwisho wa mwezi kalipe wachezaji na viongozi wa pale Msimbazi mishahara na posho zao.
Ukiweza basi nawewe utaonekana wa muhimu kama Mo.
Alafu hujui kuwa JF kuna wazee wengi wa kitengo? Chunga hizo kauli zako maana hawakawii kukukwapua kama kifaranga kisicho na mama.
Duuuh!!!Kuna binadamu mwenye madeni mengi na anakusudia kuyamaliza kupitia account ya Mo
Asilimia kubwa ya wachezaji wa Taifa Stars wanatokea Simba...hivyo ni wazi morali itaporomokaHivi unapata faida gani unapozusha uongo? Dewji pamoja na umaarufu wake wote, thamani yake haiwezi kuzidi utaifa wetu. Iacheni timu ya taifa ituwakilishe vyema huko iliko na suala la dewji iachieni jeshi la Polisi mbona wanalifanyia kazi. Mijitu imekaa kimya lakini mitandaoni inashinda kulaumu serikali wakati hata kulisaidia jeshi kukamata wahalifu hajafanya inakera sana.
Muda wa kahawa ukifika fanya unicheckUtakua ujinga wa karne!
Akina Ben Saa nane wenyewe hawakua watu?
Vipi Tundu Lisu yeye hana roho?
We are all humans, we all have the right to live.
Sio wengine waonekane kama malaika wakati wengine wanaokotwa kwenye viroba
Namuombea Heri Mo Dewji, ila sio kwa hizi exeggrations mnazofanya!
Wachezaji wa Simba wasipangwe,kama mimi shabiki tu nina stress wao je
Kwa hiyo wewe hao waliotajwa hawajaajiri au?hata wao pia wana watu wanaowategemeaTaifa Stars inao wachezaji wa Simba ambao maisha yao yanategemea uwepo wa MO , hili unalijua vizuri tu ila umeamua kuleta siasa kwenye jukwaa la michezo , sijui kwa faida ya nani .
Sijui. Labda utuambie nyie wazee wa Lumumba mna mpango gani nae baada ya kumteka.kwa hiyo MO akifa, na Simba imekufa!
I didn't expect you to go this low!Ben saa8 amewahi kulipa mishahara ya simba??
Au lisu amewahi kununua basi la team yoyote..?
Usitake binadamu wote tuwe sawa..kila mtu anathaminika kulingana na mchango wake kwenye jamii husika..
Mimi personally ben saa8 nimemjulia jf.
Lakini MO amemlipia scholarship jamaa yangu ambaye hio hela ya scholarship tunaitafuna wote..
Unategemea wakipotea wote ntamsikitikia nani??
Binadamu anathaminika kulingana na mchango wake..
Ndio maana hata mzazi wako akipotea na akipotea mzazi wa mwingine maumivu ni tofauti..
#watu hawawezi kufanana