Pre GE2025 Baada ya Mtu Kusema Ukweli Kuhusu Uchaguzi Kuendeshwa kwa Mutatis Mutandis, Tunaomba Uchaguzi Mkuu wa 2025 Uendeshwe kwa Ceteris Peribus!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanabodi,
Saa hizi ni usiku mkubwa, usingizi umejigomea, hivyo nimeshuka jf.

Baada ya mwana CCM mwandamizi, ambaye ni born and breed CCM, kusema ukweli kuhusu ushindi wa uchaguzi kwenye baadhi ya maeneo, uchaguzi huendeshwa kwa mtindo wa Mutatis Mutandis!.

Hivyo kwa heshima na taadhima, naomba kuleta ombi maalum na mahsusi kwa watu maalum na mahsusi, hivyo hii thread sio thread ya kila mtu, au watu wote bali ni thread maalum na mahsusi kwa watu maalum na mahsusi na lengo maalum na mahsusi la
kutuma ujumbe maalum mahsusi kabisa kwa watu maalum na mahsusi kabisa!.

Tanzania sio nchi ya watu fulani tuu au chama fulani tuu, Tanzania ni nchi ya Watanzania wote, wa vyama vyote, wa dini zote, wa makabila yote, wa jamii zote, wa jinsia zote, wa rangi zote, wa hali zote za maisha, matajiri na masikini na Watanzania wa circumstances zote.

Mimi nikiwa mwandishi wa habari, nimeshuhudia chaguzi zetu zote za vyama vingi, zimekuwa zikiendeshwa kwa mtindo wa "Mutatis Mutandis" mwana CCM mwandamizi, amelithibitisha hili!.

Hivyo sasa tunapokwenda kwenye uchaguzi, naomba kutoa ombi maalum na mahsusi na angalizo muhimu kwa wahusika wakuu wa uchanguzi huu wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, baada ya kuendesha chaguzi zote zilizopita kwa Mutatis Mutandis, tunaomba uchaguzi wa serikali za mtaa wa mwaka huu wa 2024, usogezwe mbele, ufanyike siku moja na uchaguzi mkuu na kwa sheria moja ya uchaguzi na usimamiwe na uendeshwe na Tume moja huru na Shirikishi ya uchaguzi na utumie kanuni ya Kilatini ya "ceteris paribus" na sio kutumia zile kanuni zetu za kawaida za "Mutatis Mutandis"!. Mnaonaje Uchaguzi wa Serikali za Mtaa Ufanywe Siku Moja na Uchaguzi Mkuu na Usimamiwe na Tume Huru ya Uchaguzi? Samia Atabarikiwa Sana!

Nimesikia sauti, "voices from within" kuwa tukiendelea kufanya chaguzi zetu kwa Mutatis Mutandis, kama mwana CCM mwandamizi alivyoeleza, lile janga kama lile lililotokea, litatokea tena!.

Kwasababu hakuna ajuaye sababu ya kutokea lile janga, ni vizuri kusema ili kumkinga huyu akiyepo na majanga ya kujitakia bila kujua!. Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!

Wahusika wakuu wa uchanguzi huu, wakikubali uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 na uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 kuunganishwa na kuendeshwa kwa ceteris paribus , taifa Letu litabarikiwa, na viongozi wetu wabarikiwa, na sisi wananchi wa kawaida pia, tutabarikiwa na kupata neema na mafanikio makubwa, na nchi yetu kupata ustawi mkubwa wa kisiasa, kiuchumi na kijamii, lakini tukiendelea kutumia ule mtindo wetu wa kawauda wa mutatis mutandis, taifa tutalaaniwa na viongozi wetu watalaaniwa na kuadhibiwa!, and you never know ni adhabu gani viongozi wetu wakuu wataadhibiwa this time around!

Mungu Mbariki Rais Samia, na watendaji wake wapate uwezo, watumie "Ceteris Peribus" kwa vyama vyote na sio kuendeleza "Mutatis Mutandis"

Mungu ibariki Tanzania.

NB. Sijaweka ufafanuzi wa maneno "Ceteris Peribus" na "Mutatis Mutandis" sio kwa bahati mbaya, nimefanya hivi kwa makusudi Mazima, kwa sababu ujumbe huu ni ujumbe maalum na mahsus kwa watu maalum na mahsus ambao mimi nawajua huwa wanatembelea sana jf, kwa vile watu hao, wanayajua maneno hayo. Wengine wasio husika hayawahusu, hivyo sikufafanua ili ujumbe huu uwafikie walengwa maalum na mahsusi tuu.

Hata Mungu alipotaka kumfikishia ujumbe maalum mfalme Belshaza, alimtumia kiganja cha mkono kikaandika kwenye ukuta wake, "Mene Mene Tekeli na Peresi", tukiendelea kufanya chaguzi zetu kwa Mutatis Mutandis badala ya kutumia Ceteris Peribus, then kuna siku Mene Mene Takeli na Peresi itakuja kuishukia Tanzania na kumshukia kiongozi wetu!.

Nawatakia Siku Njema,

Paskali.
Mutatis mutandis ni opposite ya ceteris paribus.

Ccm wanatumia uchaguzi wa local gorvernment kama kipima upepo cha general election, hawawezi kukubali chaguzi hizi ziende pamoja.

Wakishapima upepo kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa wanajuwa wazi wameshakataliwa na umma, sasa kinachofuata kwenye general election ni kata funuwa tu.
 
Mh. Pascal, wewe ni mwandishi wa habari mahiri tena mzoefu wa siku nyingi, tena za kitafiti na za kipelekezi, pia ni mwanasheria mzuri tu, hebu naomba sana ututengenezee kikideo kenye mambo ya"Mutatis na Mutandis" hasa kakihusu wakati wa nyuma kidogo, enzi za mwalimu na enzi za Mwinyi, hasa kule Kigoma, Mwinyi alipopata kura nyingi zaidi kuliko idadi ya wapiga kura. Halafu uweke na kikideo ka juzi ka Nape, halafu pia uweke na kale ka mwalimu akihutubia kuhusu ulevi wa madaraka na kavideo vingine vinanavyoonya na kukanya Mutatis na Mutandis.
Hii nina maana huwenda na jambo hili, tabia hii ya Mutatis na Mutandis ilianza kitambo tu, pia rejea kale kakideo ka mwalimu juu ya mtu aliyezoea kula nyama ya mtu, je, ataacha? Huwenda watakuwa walishazoea kula nyama hiyo enzi na enzi tangu tulipotwaa madaraka toka kwa "KWINI ELIZA". Je, kama tulisha zoea hivyo hiyo, "Ceteri Paribus" itatoka wapi? Tafadhali tusaidie kwa hili kama ulivyotusaidia ktk somo fulani hivi la vifungu vya katiba. Nafahamu kwa hili sii gumu sana kwa sababu Library yako na notice za darasani enzi hizo unazo.
 
Wanabodi,
Saa hizi ni usiku mkubwa, usingizi umejigomea, hivyo nimeshuka jf.

Baada ya mwana CCM mwandamizi, ambaye ni born and breed CCM, kusema ukweli kuhusu ushindi wa uchaguzi kwenye baadhi ya maeneo, uchaguzi huendeshwa kwa mtindo wa Mutatis Mutandis!.

Hivyo kwa heshima na taadhima, naomba kuleta ombi maalum na mahsusi kwa watu maalum na mahsusi, hivyo hii thread sio thread ya kila mtu, au watu wote bali ni thread maalum na mahsusi kwa watu maalum na mahsusi na lengo maalum na mahsusi la
kutuma ujumbe maalum mahsusi kabisa kwa watu maalum na mahsusi kabisa!.

Tanzania sio nchi ya watu fulani tuu au chama fulani tuu, Tanzania ni nchi ya Watanzania wote, wa vyama vyote, wa dini zote, wa makabila yote, wa jamii zote, wa jinsia zote, wa rangi zote, wa hali zote za maisha, matajiri na masikini na Watanzania wa circumstances zote.

Mimi nikiwa mwandishi wa habari, nimeshuhudia chaguzi zetu zote za vyama vingi, zimekuwa zikiendeshwa kwa mtindo wa "Mutatis Mutandis" mwana CCM mwandamizi, amelithibitisha hili!.

Hivyo sasa tunapokwenda kwenye uchaguzi, naomba kutoa ombi maalum na mahsusi na angalizo muhimu kwa wahusika wakuu wa uchanguzi huu wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, baada ya kuendesha chaguzi zote zilizopita kwa Mutatis Mutandis, tunaomba uchaguzi wa serikali za mtaa wa mwaka huu wa 2024, usogezwe mbele, ufanyike siku moja na uchaguzi mkuu na kwa sheria moja ya uchaguzi na usimamiwe na uendeshwe na Tume moja huru na Shirikishi ya uchaguzi na utumie kanuni ya Kilatini ya "ceteris paribus" na sio kutumia zile kanuni zetu za kawaida za "Mutatis Mutandis"!. Mnaonaje Uchaguzi wa Serikali za Mtaa Ufanywe Siku Moja na Uchaguzi Mkuu na Usimamiwe na Tume Huru ya Uchaguzi? Samia Atabarikiwa Sana!

Nimesikia sauti, "voices from within" kuwa tukiendelea kufanya chaguzi zetu kwa Mutatis Mutandis, kama mwana CCM mwandamizi alivyoeleza, lile janga kama lile lililotokea, litatokea tena!.

Kwasababu hakuna ajuaye sababu ya kutokea lile janga, ni vizuri kusema ili kumkinga huyu akiyepo na majanga ya kujitakia bila kujua!. Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!

Wahusika wakuu wa uchanguzi huu, wakikubali uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 na uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 kuunganishwa na kuendeshwa kwa ceteris paribus , taifa Letu litabarikiwa, na viongozi wetu wabarikiwa, na sisi wananchi wa kawaida pia, tutabarikiwa na kupata neema na mafanikio makubwa, na nchi yetu kupata ustawi mkubwa wa kisiasa, kiuchumi na kijamii, lakini tukiendelea kutumia ule mtindo wetu wa kawauda wa mutatis mutandis, taifa tutalaaniwa na viongozi wetu watalaaniwa na kuadhibiwa!, and you never know ni adhabu gani viongozi wetu wakuu wataadhibiwa this time around!

Mungu Mbariki Rais Samia, na watendaji wake wapate uwezo, watumie "Ceteris Peribus" kwa vyama vyote na sio kuendeleza "Mutatis Mutandis"

Mungu ibariki Tanzania.

NB. Sijaweka ufafanuzi wa maneno "Ceteris Peribus" na "Mutatis Mutandis" sio kwa bahati mbaya, nimefanya hivi kwa makusudi Mazima, kwa sababu ujumbe huu ni ujumbe maalum na mahsus kwa watu maalum na mahsus ambao mimi nawajua huwa wanatembelea sana jf, kwa vile watu hao, wanayajua maneno hayo. Wengine wasio husika hayawahusu, hivyo sikufafanua ili ujumbe huu uwafikie walengwa maalum na mahsusi tuu.

Hata Mungu alipotaka kumfikishia ujumbe maalum mfalme Belshaza, alimtumia kiganja cha mkono kikaandika kwenye ukuta wake, "Mene Mene Tekeli na Peresi", tukiendelea kufanya chaguzi zetu kwa Mutatis Mutandis badala ya kutumia Ceteris Peribus, then kuna siku Mene Mene Takeli na Peresi itakuja kuishukia Tanzania na kumshukia kiongozi wetu!.

Nawatakia Siku Njema,

Paskali.
Kauli ya nape kauli ya ccm na ndivyo walivyo
 
.mkuu ndugu yako paskali nimeshindwa msamee tangu 2020View attachment 3045154
Hiyo sheria ya uchaguzi ilitungwa na chama kimoja ikilenga kuvidhulumu vyama vingine, hivyo ili kuleta usawa kwenye uchaguzi ni lazima kuifuta na itungwe sheria mpya ya uchaguzi itakayovihusisha vyama vyote.
Tujikumbushe, mwenyekiti wa CCM aliwahi kusema huko nyuma kwamba "kura wapigieni upande ule lakini CCM ndiyo itakayounda serikali".
 
Ccm hawawezi kuruhusu uchaguzi huru siku wakiruhusu uchaguzi huru ndio utakuwa mwisho wake

Ccm kimeundwa na watu wajinga wajinga tu
 
Back
Top Bottom