#COVID19 Baada ya mwezi kila family itakuwa imeguswa na Corona

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Sasa misiba IPO karibu kila mtaa na Kijiji hasa wazee wanapukutika fastest ,miili ya watu imejaa mahospitalini ni misiba tu.

Mwenye magroup ya kazini wadau wanatangaza ndugu zao kufa kila uchao hali inatisha Sana

Nani hajaguswa nani hajaona Corona ilivyoshida watu wanazika kila siku kila mkoa na wilaya

Wewe hukuwa mmoja wa mliokuwa hamwamini uwepo wake pamoja na kutotaka chanjo?
 
Sasa misiba IPO karibu kila mtaa na Kijiji hasa wazee wanapukutika fastest ,miili ya watu imejaa mahospitalini ni misiba tu.

Mwenye magroup ya kazini wadau wanatangaza ndugu zao kufa kila uchao hali inatisha Sana

Nani hajaguswa nani hajaona Corona ilivyoshida watu wanazika kila siku kila mkoa na wilaya

USSR

Wapuuzi nyie si ndiyo mmetufikisha hapa na sera zenu za nyungu?

IMG_20210718_063455_991.jpg

Na jamaa yenu huyu?

IMG_20210719_051952_877.jpg

Nini anafanya nani kuzuia hayo yasitokee? Au ni mwendo wa kodi na tozo tu?

hatutawaacha salama. Inshallah.
 
Sasa misiba IPO karibu kila mtaa na Kijiji hasa wazee wanapukutika fastest ,miili ya watu imejaa mahospitalini ni misiba tu.

Mwenye magroup ya kazini wadau wanatangaza ndugu zao kufa kila uchao hali inatisha Sana

Nani hajaguswa nani hajaona Corona ilivyoshida watu wanazika kila siku kila mkoa na wilaya

USSR
Acha uongo wako, kwani magonjwa mengine hayaui?

Malaria ndio inaongoza kuua ikifuatiwa na maradhi yanayoathiri mfumo wa kupumua (respiratoru complications), Ukimwi (AIDS), upungufu wa damu na magonjwa ya moyo.

Mbona hayasemwi?
 
Tunaelekea kuzuri na ufahamu unazidi kurejea maadui zetu naona yule kiongozi wao UJINGA anaendelea kutokomea kabaki MARADHI na UMASIKINI.
 
Hivi umejisahau ulivyokuwa (Pamoja na wenzako) mnashabikia kuwa hakuna corona ila ni vita za mabeberu wanawaonea donge na utajiri wenu? leo we ndio unaongea haya? Tazama hapa chini bandiko lako enzi za JPM kisha ujipige kifuani useme 'Mimi ni mmoja wa waliofikisha haya mambo hapa, nastahili kuwajibika na ujinga wangu'

CORONA .jpg
 
Acha uongo wako, kwani magonjwa mengine hayaui?

Malaria ndio inaongoza kuua ikifuatiwa na maradhi yanayoathiri mfumo wa kupumua (respiratoru complications), Ukimwi (AIDS), upungufu wa damu na magonjwa ya moyo.

Mbona hayasemwi?
Wapinga chanjo na njia za kisayansi za Kinga za kitaalamu,mnaishia kuamini uganga wa kienyeji.
 
Since 2019 Corona up to covid 19 watakufa watu ndo mahubiri ila tukija kitakwimu Kuna magonjwa yauwa zaidi ya uviko.!
Unafahamu kuwa maisha ya yeyote awae yule anafaa kulindiwa haki ya Maisha yake na Hatari zote zinazo hatarisha Maisha ikiwani pamoja na magonjwa?
 
Sasa misiba IPO karibu kila mtaa na Kijiji hasa wazee wanapukutika fastest ,miili ya watu imejaa mahospitalini ni misiba tu.

Mwenye magroup ya kazini wadau wanatangaza ndugu zao kufa kila uchao hali inatisha Sana

Nani hajaguswa nani hajaona Corona ilivyoshida watu wanazika kila siku kila mkoa na wilaya

USSR
Ww pia umekufa.....shtuka Chief
 
Sasa misiba IPO karibu kila mtaa na Kijiji hasa wazee wanapukutika fastest ,miili ya watu imejaa mahospitalini ni misiba tu.

Mwenye magroup ya kazini wadau wanatangaza ndugu zao kufa kila uchao hali inatisha Sana

Nani hajaguswa nani hajaona Corona ilivyoshida watu wanazika kila siku kila mkoa na wilaya

USSR
Tumeshasema na tunarudia, hatuko tayari kufanyiwa majaribio, inabidi mtuelewe tu, hizi kelele hazitawasaidia sana
 
Sasa misiba IPO karibu kila mtaa na Kijiji hasa wazee wanapukutika fastest ,miili ya watu imejaa mahospitalini ni misiba tu.

Mwenye magroup ya kazini wadau wanatangaza ndugu zao kufa kila uchao hali inatisha Sana

Nani hajaguswa nani hajaona Corona ilivyoshida watu wanazika kila siku kila mkoa na wilaya

USSR
Wafuasi wa gwajiboy watakushukia sasa hivi
 
Hali ni mbaya tuache kujitoa akili......watu wanakatika isivyo kawaida...
 
Back
Top Bottom