#COVID19 Baada ya mwezi kila family itakuwa imeguswa na Corona

Wewe mleta mada umezika wangapi kwenye ukoo Au family yako waliokufa kwa Corona.
 
Watu mnasema wanakufa kwa corona ile hali watu wanafariki hovyo sababu ya kukosa furaha ya maisha kutokana na hali mbaya ya kiuchumi katika nchi yetu.

Mzazi amesomesha watoto wake kwa shida anawaona bado wapo kitaa wanatangatanga hawana ramani unadhani anajiskiaje?!

Wazee wanazungushwa mafao yao hadi wakiyapata ni mbinde na bado wakiyapata wanagawana na watoto wao wasio na ramani, kwann mtu asipate maradhi na kukata kauli ?!

Vijana wa sasa wengi ramani hazisomi kimaisha, unatarajia wanakuwaje na amani au furaha?!
 
Sasa misiba IPO karibu kila mtaa na Kijiji hasa wazee wanapukutika fastest ,miili ya watu imejaa mahospitalini ni misiba tu.

Mwenye magroup ya kazini wadau wanatangaza ndugu zao kufa kila uchao hali inatisha Sana

Nani hajaguswa nani hajaona Corona ilivyoshida watu wanazika kila siku kila mkoa na wilaya

USSR
My Ex-coworker ameaga dunia tarehe 15/08 kwa changamoto ya kupumua. RIP Omega
Mbilinyi. Tufanye mazoezi wakuu hali sio nzuri!!!
 
Kwani zamani watu walikuwa hawafi?

Huyo rafiki yako ana kipi cha ziada mpaka ushangae akifa!?

Ama hakupaswa kufa?
 
Sasa misiba IPO karibu kila mtaa na Kijiji hasa wazee wanapukutika fastest ,miili ya watu imejaa mahospitalini ni misiba tu.

Mwenye magroup ya kazini wadau wanatangaza ndugu zao kufa kila uchao hali inatisha Sana

Nani hajaguswa nani hajaona Corona ilivyoshida watu wanazika kila siku kila mkoa na wilaya

USSR
Nimetoka Moshi kuzika jamaa zangu 2...na nikiwa pale kijijini ndani ya siku saba kila siku ilikuwa ni misiba na mazishi. Nilienda KCMC kucheki jamaa yangu nikakuta kawekewa mitungi 2 na kwa hali ni mbaya kweli. Sasa maajabu ni kwamba serikali pamoja na kuleta chanjo na maelekezo mengi ya Waziri, yaani ndiyo vinara wa mikusanyiko kupitia mikutano ya Waziri mkuu, mawaziri, ma RC na DC... Matamasha na mwenge wa uhuru vinaendelea kama kawaida. Sasa sijui ni kwa sababu wao sasa wameshapata chanjo???
 
Wapuuzi nyie si ndiyo mmetufikisha hapa na sera zenu za nyungu?

View attachment 1898430

Na jamaa yenu huyu?

View attachment 1898431

Nini anafanya nani kuzuia hayo yasitokee? Au ni mwendo wa kodi na tozo tu?

hatutawaacha salama. Inshallah.
Wewe si ndiyo ulikuwa unataka corona iwepo ulikuwa unaomba usiku na mchana? Namuomba Mungu aruhusu corona ikuue kabisa wewe mwenyewe shetani mkubwa!!
 
Nimetoka Moshi kuzika jamaa zangu 2...na nikiwa pale kijijini ndani ya siku saba kila siku ilikuwa ni misiba na mazishi. Nilienda KCMC kucheki jamaa yangu nikakuta kawekewa mitungi 2 na kwa hali ni mbaya kweli. Sasa maajabu ni kwamba serikali pamoja na kuleta chanjo na maelekezo mengi ya Waziri, yaani ndiyo vinara wa mikusanyiko kupitia mikutano ya Waziri mkuu, mawaziri, ma RC na DC... Matamasha na mwenge wa uhuru vinaendelea kama kawaida. Sasa sijui ni kwa sababu wao sasa wameshapata chanjo???
Nyumbani kwenu wamekufa wangapi mkuu?? Pole sana lakini naona wewe umebaki!!
 
Acha uongo wako, kwani magonjwa mengine hayaui?

Malaria ndio inaongoza kuua ikifuatiwa na maradhi yanayoathiri mfumo wa kupumua (respiratoru complications), Ukimwi (AIDS), upungufu wa damu na magonjwa ya moyo.

Mbona hayasemwi?

Kuna tofauti kati ya magonjwa yenye tiba na/au kinga na janga la maambukizi (contagion pandemic) lisilo na tiba wala kinga madhubuti.
 
Vp takwim za vifo vitokanavyo na Malaria unazo?
 
Wewe si ndiyo ulikuwa unataka corona iwepo ulikuwa unaomba usiku na mchana? Namuomba Mungu aruhusu corona ikuue kabisa wewe mwenyewe shetani mkubwa!!

Ulivyokuwa mpumbavu unadhani mwuungwana huogopa kufa.

Mwuungwana haogopi kufa bali huogopa kufiwa. Kwa mwuungwana ni heri afe yeye kuliko kufiwa wapendwa wake.

Labda huyu ni mwuungwana hata ku tuzidi sisi?

Balozi Mulamula alifafanua kauli yake kwa kusema kuwa, Balozi au afisa Diplomasia anayekwenda mahakamani kuhudhuria kesi ya Mbowe anajihatarishia maisha yake na pia yuko hatarini kuambukizwa Corona!"

Balozi Mulamula usiwatishe mabalozi. Mahakama ni eneo la umma, huru na salama

Kwa sababu mu wajinga mamburula bila shaka mnadhani waliokufa mmewazidi sana.

IMG_20210821_093125_815.jpg

Yaonesha hata huyo hamuamini kuwa hivi sasa anaongoza malaika.

Cc: Lorenzo Samike
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Sasa misiba IPO karibu kila mtaa na Kijiji hasa wazee wanapukutika fastest ,miili ya watu imejaa mahospitalini ni misiba tu.

Mwenye magroup ya kazini wadau wanatangaza ndugu zao kufa kila uchao hali inatisha Sana

Nani hajaguswa nani hajaona Corona ilivyoshida watu wanazika kila siku kila mkoa na wilaya

USSR
Haahahhahahaaha shenzi wewe hahaahhahaha nimecheka kiboya sana sana. Tuliwahi kusema hapa mkasema oogh misiba wapi mmeona kuna misiba? Hahhaha eti mbona watu wanakufa tu hata kwa malaria? Hahaahaah Leo mmepiga u-turn sio? Nasema mfe na mtakufa hadi akili ziwakae vizuri. Wakuu njooni msikie huku BAK Erythrocyte na wengine
 
Mtatisha ila hamtashinda kwa vitishio, taharuki itawashangaza pale watakao chanjwa kupukutika kwao
 
😂😂😂😂😂😂😂
Ulivyokuwa mpumbavu unadhani mwuungwana huogopa kufa.

Mwuungwana haogopi kufa bali huogopa kufiwa. Kwa mwuungwana ni heri afe yeye kuliko kufiwa wapendwa wake.

Labda huyu ni mwuungwana hata ku tuzidi sisi?

Balozi Mulamula alifafanua kauli yake kwa kusema kuwa, Balozi au afisa Diplomasia anayekwenda mahakamani kuhudhuria kesi ya Mbowe anajihatarishia maisha yake na pia yuko hatarini kuambukizwa Corona!"

Balozi Mulamula usiwatishe mabalozi. Mahakama ni eneo la umma, huru na salama

Kwa sababu mu wajinga mamburula bila shaka mnadhani waliokufa mmewazidi sana.

View attachment 1902361

Yaonesha hata huyo hamuamini kuwa hivi sasa anaongoza malaika.

Cc: Lorenzo Samike
Haahahhahahaaha shenzi wewe hahaahhahaha nimecheka kiboya sana sana. Tuliwahi kusema hapa mkasema oogh misiba wapi mmeona kuna misiba? Hahhaha eti mbona watu wanakufa tu hata kwa malaria? Hahaahaah Leo mmepiga u-turn sio? Nasema mfe na mtakufa hadi akili ziwakae vizuri. Wakuu njooni msikie huku BAK Erythrocyte na wengine
 
ivo vifo, ni huko kwenu,
uku kwetu cc hakuna mambo izo,
acha kutisha watu mzee....
 
Back
Top Bottom