#COVID19 Baada ya mwezi kila family itakuwa imeguswa na Corona

Aliyepanga kuficha takwimu za Corona akiwa na nia ovu kibindoni alikuwa na nia ya kuwafanya wajinga kuulizana swali kama lako
Bahati nzuri mtu akisoma nilichoandika na ulichoandika wewe atajua nani mjinga[emoji23]
 
Mzigo upo jamani tuacheni mashara hata mwalimu kashasha anazikwa leo chanzo cha kifo chake mzigo huohuo, na aliuoata kigoma simba na yanga chukua tahadhari
 
Sasa misiba IPO karibu kila mtaa na Kijiji hasa wazee wanapukutika fastest ,miili ya watu imejaa mahospitalini ni misiba tu.

Mwenye magroup ya kazini wadau wanatangaza ndugu zao kufa kila uchao hali inatisha Sana

Nani hajaguswa nani hajaona Corona ilivyoshida watu wanazika kila siku kila mkoa na wilaya

USSR
Niliandika juzi Kati hapa kwamba ukoo wetu umepoteza watu 9 ndani ya wiki moja.kati ya watu walionidhihaki ni wewe naona leo yamekukuta endelea kuugua Sasa.
 
Bahati nzuri mtu akisoma nilichoandika na ulichoandika wewe atajua nani mjinga[emoji23]

Uzuri zaidi ni kuwa ujinga maana yake wajinga huwa hawaijui.

Au tufanye mwerevu wewe.

Umefurahi eeh?
 
Kuna tofauti kati ya magonjwa yenye tiba na/au kinga na janga la maambukizi (contagion pandemic) lisilo na tiba wala kinga madhubuti.
Tofauti ni zipi zibainishe hapa!!!

Virusi ni vijimelea vinavyoua kimya (silent killer)

Bakteria ni vijimelea vinavyoua kwa kuchochea maumivu kwa mgonjwa (aggressive killer)
 
Kwa mujibu wa maneno yako watu wameisha nchi hii imebaki milima pekee
 
Sasa misiba IPO karibu kila mtaa na Kijiji hasa wazee wanapukutika fastest ,miili ya watu imejaa mahospitalini ni misiba tu.

Mwenye magroup ya kazini wadau wanatangaza ndugu zao kufa kila uchao hali inatisha Sana

Nani hajaguswa nani hajaona Corona ilivyoshida watu wanazika kila siku kila mkoa na wilaya

USSR
Utafiti umefanya lini na wapi???
 
Sasa misiba IPO karibu kila mtaa na Kijiji hasa wazee wanapukutika fastest ,miili ya watu imejaa mahospitalini ni misiba tu.

Mwenye magroup ya kazini wadau wanatangaza ndugu zao kufa kila uchao hali inatisha Sana

Nani hajaguswa nani hajaona Corona ilivyoshida watu wanazika kila siku kila mkoa na wilaya

USSR
Vijiji vya wilaya gani,huku Nassa Magu vijijini hakuna majanga kama hayo
 
Hivi umejisahau ulivyokuwa (Pamoja na wenzako) mnashabikia kuwa hakuna corona ila ni vita za mabeberu wanawaonea donge na utajiri wenu? leo we ndio unaongea haya? Tazama hapa chini bandiko lako enzi za JPM kisha ujipige kifuani useme 'Mimi ni mmoja wa waliofikisha haya mambo hapa, nastahili kuwajibika na ujinga wangu'

View attachment 1898452
Kuna workmates wafuasi wahafidhina wa dini mojawapo kuu Tanzania, wao hawaamini kabisa
 
Sasa misiba IPO karibu kila mtaa na Kijiji hasa wazee wanapukutika fastest ,miili ya watu imejaa mahospitalini ni misiba tu.

Mwenye magroup ya kazini wadau wanatangaza ndugu zao kufa kila uchao hali inatisha Sana

Nani hajaguswa nani hajaona Corona ilivyoshida watu wanazika kila siku kila mkoa na wilaya

USSR
Familia yetu haijanguswa, kazini kwetu hatujanguswa, mtaani kwetu sijasikia aliyekufa kwa Covid 19, sijui research yako umeifanya wapi na wapi hadi ukaja na hitimisho hili.
 
Back
Top Bottom