#COVID19 Baada ya mwezi kila family itakuwa imeguswa na Corona

Acha uongo. Hizi ni kazi za watu. Covid-19 imeua 4.3 milioni mpaka sasa dunia nzima. Malaria kwa 2020 na 2021 imeua 0.5 milioni dunia nzima.
Acha uongo wako, kwani magonjwa mengine hayaui?

Malaria ndio inaongoza kuua ikifuatiwa na maradhi yanayoathiri mfumo wa kupumua (respiratoru complications), Ukimwi (AIDS), upungufu wa damu na magonjwa ya moyo.

Mbona hayasemwi?
 
Mbona wewe hujafa?

Kufa ili tuamini. Vinginevyo hizi ni porojo za machanjo tu.

Maswali ya kijinga ambayo maficha takwimu yalidhani kuwa kuna mtu achilia mbali mpumbafu yeyote atakaa kujiuliza au kumwuliza mtu yeyote mwenye akili zake
 
Mama alianza kutangaza visa vya corona naona ameishia njiani!
 
Ndania yawiki 1 nmezika ndugu zangu wawili
 
mleta mada si vibaya ukafanya check up ya akili hospitali naona kama huko sawa hivi
Kajifunze kuandika ndio uje kubishana na wenye akili Kama mm

USSR
 
Acha uongo. Hizi ni kazi za watu. Covid-19 imeua 4.3 milioni mpaka sasa dunia nzima. Malaria kwa 2020 na 2021 imeua 0.5 milioni dunia nzima.
Usikimbilie huko,
UVIKO-19 ni kichaka cha kupitia mgogoro wa kiafya (TB, Heart Cardiac attack, Ukimwi, Kisukari)
Tazama hapo chini

Communicable diseases ni nini?
Si magonkwa ya kuambukiza Malaria ikiwemo?

What causes the most deaths?​

1. Communicable, maternal, neonatal, and nutritional diseases
2. Non-communicable diseases
3. Injuries


Comparison with other countries


Magonjwa ya mifumo ya kupumua yalikuwa yanaathari hata kabla ya ujio wa UVIKO-19
"..Cardiovascular dysfunction were the most frequent cause of casualties in Tanzania as of 2019, with a rate of almost 96.04 deaths per 100,000 individuals. Respiratory infections and tuberculosis followed closely, causing 94.33 deaths per 100,000..."

Magonjwa makubwa yanayoongoza kusababisha vifo Tanzania ni:
  • HIV / AIDS.
  • Stroke.
  • Tuberculosis.
  • Ischemic heart disease.
  • Malaria.
  • Diarrheal diseases.
  • Congenital defects.
  • Cirrhosis.
Malaria
Malaria is a leading cause of death and disease in many countries, and young children and pregnant women are most affected including Tanzania especially in the rural areas.
6.12 deaths per thousand population

In 2020, the crude death rate for the United Republic of Tanzania was 6.12 deaths per thousand population . Crude death rate of the United Republic of Tanzania fell gradually from 17.88 deaths per thousand population in 1971 to 6.12 deaths per thousand population in 2020.
 
Kwa hiyo unataka kunidanganya kuwa covid-19 haijaua mtu tangu ianze? Takwimu zako hazinyeshi mtu hata 1 aliyekufa kwa covid-19. Huo ni uongo uliokubuhu. Hauna hata akili ya kujua kuwa takwimu unazijidai nazo ni za wakati ambao kulikuwa hakuna covid-19 (2009-2019).


 
Maswali ya kijinga ambayo maficha takwimu yalidhani kuwa kuna mtu achilia mbali mpumbafu yeyote atakaa kujiuliza au kumwuliza mtu yeyote mwenye akili zake
We shoga acha matusi. Jibu kistaarabu.
 
Acha uongo. Hizi ni kazi za watu. Covid-19 imeua 4.3 milioni mpaka sasa dunia nzima. Malaria kwa 2020 na 2021 imeua 0.5 milioni dunia nzima.
Sasa ulitegemea corona isiongoze kwa idadi ya vifo wakati imechukua nafasi ya vifo kama vya kisukari,presha,kansa,magonjwa ya moyo na magonjwa ya mfumo wa upumuaji.
 
Mjibu yule aliyesema kuwa corona haiuwi watu wengi Intelligence Justice. Soma uzi wote uelewe. Usikurupuke kumjibu mtu ambaye amesema kile unachokisema. Mjibu anayebisha. Don't waste your time by preaching to the converted.
Sasa ulitegemea corona isiongoze kwa idadi ya vifo wakati imechukua nafasi ya vifo kama vya kisukari,presha,kansa,magonjwa ya moyo na magonjwa ya mfumo wa upumuaji.
 
Mjibu yule aliyesema kuwa corona haiuwi watu wengi. Soma uzi wote uelewe. Usikurupuke kumjibu mtu ambaye amesema kile unachokisema. Mjibu nayebisha. Don't waste your time by preaching to the converted.
Kwani wewe umenielewa vp mkuu? nilichokusudia ni kwamba hivyo vifo vyengine sasa hivi ni kama vimepumzika na corona ndio inatamba sasa hivi mtu akisikia kifo tu keshafikiria ni corona tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…