#COVID19 Baada ya mwezi kila family itakuwa imeguswa na Corona

Aliyepanga kuficha takwimu za Corona akiwa na nia ovu kibindoni alikuwa na nia ya kuwafanya wajinga kuulizana swali kama lako
Bahati nzuri mtu akisoma nilichoandika na ulichoandika wewe atajua nani mjinga[emoji23]
 
Mzigo upo jamani tuacheni mashara hata mwalimu kashasha anazikwa leo chanzo cha kifo chake mzigo huohuo, na aliuoata kigoma simba na yanga chukua tahadhari
 
Niliandika juzi Kati hapa kwamba ukoo wetu umepoteza watu 9 ndani ya wiki moja.kati ya watu walionidhihaki ni wewe naona leo yamekukuta endelea kuugua Sasa.
 
Bahati nzuri mtu akisoma nilichoandika na ulichoandika wewe atajua nani mjinga[emoji23]

Uzuri zaidi ni kuwa ujinga maana yake wajinga huwa hawaijui.

Au tufanye mwerevu wewe.

Umefurahi eeh?
 
Kuna tofauti kati ya magonjwa yenye tiba na/au kinga na janga la maambukizi (contagion pandemic) lisilo na tiba wala kinga madhubuti.
Tofauti ni zipi zibainishe hapa!!!

Virusi ni vijimelea vinavyoua kimya (silent killer)

Bakteria ni vijimelea vinavyoua kwa kuchochea maumivu kwa mgonjwa (aggressive killer)
 
Corona is real, niko taabaan Mungu ni mwema naamini nitachomoka.
 
Kwa mujibu wa maneno yako watu wameisha nchi hii imebaki milima pekee
 
Utafiti umefanya lini na wapi???
 
Vijiji vya wilaya gani,huku Nassa Magu vijijini hakuna majanga kama hayo
 
Kuna workmates wafuasi wahafidhina wa dini mojawapo kuu Tanzania, wao hawaamini kabisa
 
Familia yetu haijanguswa, kazini kwetu hatujanguswa, mtaani kwetu sijasikia aliyekufa kwa Covid 19, sijui research yako umeifanya wapi na wapi hadi ukaja na hitimisho hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…