Baada ya Mwl. Mussa Iddy kulalamika, HESLB yatoa ufafanuzi kuhusu utaratibu wa urejeshaji mikopo

Livejr

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
2,070
Reaction score
2,794
Baada ya Mwl. Iddy wa Geita kufichua uonevu wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, Hatimaye Bodi wameamua watoke hadharani tena ni Jumapili [emoji116][emoji116][emoji116]

Watu mbalimbali wamehoji kwa nini Watumishi wanapoidai Serikali hakunaga hiyo 'Rentetion fee'?

 
Serikali hii imekaa kiwizi wizi.
Inakusanya kodi ni pesa zetu. Kisha inatukopesha na riba kubwa.
Hii retention fee ni ya nini?
Mbona wazee wetu wanaidai serikali kupitia NSSF na PSSSF mpaka mwaka unapita wanadai mafao....mbona hawaweki hiyo value retention fee?

Wangapi wanaidai serikali na mbona hatuoni wamejiwekea VRF?

Wizi mtupu.
 
Mie yaani hata sijawaelewa bado.....wakitaka twende sawa inabidi na madeni yote ambayo serikali inadaiwa yaani yale sugu nayo yawe na value retention fee....vinginevyo huu bado ni unyonyaji na uonevu wa hali ya juu😠😠😠😠😠
 
Guys, don't fools us around. Stop going around the bush.....tell us here in naked truth why salary slip shows 47+billion loan amount due? Why? Mnasema kinachoonekana kwenye loan statement
Una NIDA ???
Ninayo, sijaajiriwa. Natumia TIN ya mama yangu na biashara zinasoma zake yeye. Wananipata wapi?
 
Vipi ukitaka Passport ya kusafiria 😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…