Muigai Jr
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 1,762
- 3,362
Lipeni madeni acha kulalama na watu,mikopo isipotolewa,utakuwa wa kwanza na uzi mpya hapa,wale wa kusifu na kuabudu (UVCCM na mataga) huwezi waona kwenye huu uzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lipeni madeni acha kulalama na watu,mikopo isipotolewa,utakuwa wa kwanza na uzi mpya hapa,wale wa kusifu na kuabudu (UVCCM na mataga) huwezi waona kwenye huu uzi
Deni linalobaki6% ya retention fee kila mwaka huwa ni ya deni la awali au deni linalobaki?
Hivi kumbe lilikuwa wazo la Nimrodi, au ndo sababu anateseka saivi!!
Ni ya deni la lililobaki.6% ya retention fee kila mwaka huwa ni ya deni la awali au deni linalobaki?
Tatizo letu vijana mnaokaa kwa shemeji zenu huwa hamsomi post na kuielewa mnakimbilia kuchangia ili shemeji waone msikose msosiLipeni madeni acha kulalama na watu,mikopo isipotolewa,utakuwa wa kwanza na uzi mpya hapa,
Ni principal au outstanding loan?Haionekani mkuu.
Labda kama ukitaka ionekane inabidi umwambie mwajiri wako aiingize.
Kwa maelezo yao retention fee inachajiwa kwenye principal amount.
Na inachajiwa katika kipindi chote kuanzia kipindi hujaanza kulipa mpaka utakapoanza kulipia na kuendelea hadi pale itakapoisha kulipwa hiyo principal amount!
Umefanya la maana.
Mimi hii mbinu ya bi mkubwa ndipo nilipowapiga chenga. Na nina mpango kabisaa nibadilia majina. Kwani kitu gani bwana?
Ni ya deni la lililobaki.
Mie baada tu ya kumaliza chuo jumla ya pesa niliyokuwa nimetumia ilikuwa 11,394,700 hii ni pesa ambayo ilitumika kunihudumia kipindi cha masomo yangu. Mwaka huo huo namaliza chuo hii pesa ilikuwa na retention fee ya Tsh 1,400,094. Hii inamaanisha retention fee inaanza kuhesababiwa toka siku ya kwanza unapoanza kupokea hela ya bodi. Ukijumlisha na administration charges ya 113,947 deni langu la awali ndio lilikuwa linaleta jumla ya 12,908,741.
Hili deni nimelilipa kwa mda wa miaka kama 6 likaisha ila nikajikuta kuna retention fee mpya ambayo imezaliwa katika miaka hii 6 tena ambayo ndiyo ambayo haikuonekana kule hazina maana haipo kwenye deni la awali. Jumla ya Tsh 1,192,422.82 iliongezeka kama retention fee kwa miaka hiyo ambayo nilikuwa nalipa.
Sasa unaweza ukaangalia hiyo retention fee inaongezeka kwa kiasi gani na ni kutoka kwenye principal au ni deni lilobakia.
Kwangu jumla ya retention fee toka naanza first year hadi siku namaliza kulipa deni ilifikia Tsh 2,592,516.82 hii inajumuisha retention fee ile ya awali Tsh 1,400,094 hii ipo by default na inaanza kuwa calculated tangu ulipoanza kupokea boom na ile nyingine ni ile inayoongezeka kadiri unavyokaa na hela ya bodi baada ya kumaliza chuo, ambayo kwangu ilifikia Tsh 1,192,422.82.
Note:
Kuna data nimeirekebisha kwenye original post yangu uliyoiquote. Nilikosea badala ya kuweka retention fee ya Tsh 1,400,094 niliweka ile iliyoongezeka ambayo ni Tsh 1,192,422.
OkNdio linaua watanzania kuua hata kisaikolojia ni kuua vilevile
Miaalimu ndio nn mkuu?? 😯😯Retention fee ni pale serikali inapodai ila serikali inapodaiwa Kama malimbikizo ya haya maalimu areas hakuna retention fee.
MIALIMU bana.
Well said mkuuWe llelAcha kukurupuka bila kujua kinacho zungumzwa!!iukimya wakati mwingine unaficha kiwango chako cha kufikiria(elimu), mtu kimuonekano anaweza akahisi wewe ni prof!!lakini ukaongea kidogo, tu akajua kumbe ni std 3 B, inshu sio kukataa kulipa deni bali ni hicho kinachotozwa kwenye deni!!
Poleeeh dea, ila usijar ni maisha tyuuh haya yatapita.Nadaiwa mkuu Mimi wa asilimia 8% nili sign mikopo sasa nadaiwa 15% ya mkopo nje ya mkataba huo si wizi wa mchana kweupe kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] saivi kwenye malipo ndo utamu mara 2 sasa.Sema BOOM lilikuwa tamu sana!
Utapatikana tu huna pa kwenda.Ndio maana mi silipi hilo deni lao na hawanipati ng'o.